Author: admin

  • TANZANIA YAREJESHA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA NA HUNGARY BAADA YA MIAKA 35 – Habari Mpya

    TANZANIA YAREJESHA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA NA HUNGARY BAADA YA MIAKA 35 – Habari Mpya

    Na. Fullshangwe Blog,Bungeni Dodoma ‎Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amesema kuwa Tanzania na Hungary zimefungua ukurasa mpya wa ushirikiano wa kidiplomasia baada ya Hungary kufungua tena ubalozi wake jijini Dar es Salaam baada ya zaidi ya miaka 35. ‎Akiwasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya…

    Continue Reading

  • Mchanga lori moja wanunuliwa kwa Sh1.2 milioni Manyara, Takukuru yashtuka

    Mchanga lori moja wanunuliwa kwa Sh1.2 milioni Manyara, Takukuru yashtuka

    Babati. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Manyara imeokoa fedha za mradi wa ujenzi wa madarasa matatu na vyoo katika Shule ya Msingi Namalulu wilayani Simanjiro, baada ya kubaini ubadhirifu uliofanywa katika ununuzi wa vifaa vya ujenzi. Naibu Mkuu wa Takukuru mkoani Manyara, Anthony Gang’olo ameeleza hayo mjini Babati Mei 26, 2026…

    Continue Reading

  • WAZIRI MKUU ATETA NA RAIS WA BENKI YA AfDB – Habari Mpya

    WAZIRI MKUU ATETA NA RAIS WA BENKI YA AfDB – Habari Mpya

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Sidi Ould Tah kando ya Mkutano wa 61 wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika unaofanyika leo Jumanne Mei 26, 2026 katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kintele (Kintele Congress Centre) jijini…

    Continue Reading

  • Mchanga lori moja wanunuliwa kwa Sh1.2 milioni Manyara, Takukuru yashtuka

    Mchanga lori moja wanunuliwa kwa Sh1.2 milioni Manyara, Takukuru yashtuka

    Babati. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Manyara imeokoa fedha za mradi wa ujenzi wa madarasa matatu na vyoo katika Shule ya Msingi Namalulu wilayani Simanjiro, baada ya kubaini ubadhirifu uliofanywa katika ununuzi wa vifaa vya ujenzi. Naibu Mkuu wa Takukuru mkoani Manyara, Anthony Gang’olo ameeleza hayo mjini Babati Mei 26, 2026…

    Continue Reading

  • Wabunge wajibu muswada wa maseneta Bunge la Marekani

    Wabunge wajibu muswada wa maseneta Bunge la Marekani

    Dar es Salaam. Wakati Serikali ikilieleza Bunge kuwa itatoa majibu ya kidiplomasia kufuatia hatua ya maseneta wawili wa Marekani wanaoshinikiza Tanzania iwekwe vikwazo, baadhi ya wabunge kwa upande wao wametaka heshima kwa uhuru na mamlaka ya nchi kupewa kipaumbele. Kufuatia shinikizo la maseneta hao wawili wa Marekani, Jeanne Shaheen na Ted Cruz, Waziri mwenye dhamana…

    Continue Reading

  • Jumuiya ya maridhiano Tanzania yajibu muswada wa maseneta wa Marekani

    Jumuiya ya maridhiano Tanzania yajibu muswada wa maseneta wa Marekani

    Dar es Salaam. Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), imeitaka Serikali ya Marekani kuwakemea maseneta Jeanne Shaheen na Ted Cruz na madai yao kwenye muswada wa sharia kuhusu Tanzania yabaki maoni binafsi yasiyoakisi msimamo rasmi wa nchi hiyo. Imesema, kauli ya maseneta hao ni uzushi, uchochezi wa wazi ambao hauwezi kukubalika kwa namna yeyote…

    Continue Reading

  • Utekaji, maridhiano vyawaibua wanawake wa vyama 12 vya siasa

    Utekaji, maridhiano vyawaibua wanawake wa vyama 12 vya siasa

    Dar es Salaam. Matukio ya utekaji, ajenda ya maridhiano na amani ni miongoni mwa mambo matano yaliyowaibua wanawake wa vyama 12 rafiki vya siasa wakitaka suluhu na hatua stahiki kuchukuliwa. Umoja huo wa wanawake umeeleza sintofahamu ya kuwepo kwa matukio ya utekaji na mauaji ni jambo linalopaswa kutazamwa kwa upana na kudhibitiwa kisheria ili kuondoa…

    Continue Reading

  • Matumaini chanjo ya Ebola ikitarajiwa miezi miwili ijayo

    Matumaini chanjo ya Ebola ikitarajiwa miezi miwili ijayo

    Dar es Salaam. Chanjo ya majaribio ugonjwa wa Ebola inayotengenezwa na watafiti waliohusika na chanjo ya Uviko-19, inatarajiwa kuanza ndani ya miezi miwili hadi mitatu kuanzia sasa. Tayari majaribio ya chanjo hiyo kwa wanyama yameanza ikiwa ni juhudi za kukabiliana na kuenea kwa ugonjwa huo. Mkuu wa Kitengo cha Kinga katika Taasisi ya Sayansi ya…

    Continue Reading

  • Mgodi wazindua kliniki kutatua changamoto za wanakijiji

    Mgodi wazindua kliniki kutatua changamoto za wanakijiji

    Tarime. Mgodi wa dhahabu wa Barrick North Mara umezindua kliniki maalumu ya kusikiliza na kutatua malalamiko pamoja na migogoro ya wananchi kutoka vijiji 11 vinavyozunguka mgodi huo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha mahusiano na jamii. Kliniki hiyo inayohusisha wajumbe kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya…

    Continue Reading

  • Mke amuua mume kwa sindano ya sumu kisa wivu wa mapenzi

    Mke amuua mume kwa sindano ya sumu kisa wivu wa mapenzi

    Songwe. Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linamtafuta mwanamke anayefahamika kwa jina la Queen Mbuba kwa tuhuma za mauaji ya mume wake, Shizya Mwangwale (35), mkazi wa Kijiji cha Igunda, Wilaya ya Mbozi. Inadaiwa kuwa Shizya alichomwa sindano inayodhaniwa kuwa na sumu begani upande wa kushoto, kisha baadaye kuchomwa kisu tumboni upande wa kulia na…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports