Author: admin

  • USALAMA WA NISHATI NI NGUZO MUHIMU YA USALAMA WA TAIFA- MHA. MRAMBA – Habari Mpya

    USALAMA WA NISHATI NI NGUZO MUHIMU YA USALAMA WA TAIFA- MHA. MRAMBA – Habari Mpya

    *Asema changamoto ya upatikanaji mafuta duniani imeathiri uchumi wa mataifa mengi Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Umeme na Nishati Jadidifu, Mha. Felchesmi Mramba amesema kuwa usalama wa nishati umeendelea kuwa sehemu muhimu ya usalama wa taifa kutokana na mchango wake katika kukuza uchumi, utoaji wa huduma za kijamii na maendeleo ya viwanda. Amesema…

    Continue Reading

  • Kauli ya Serikali kilichotokea Afrika Kusini

    Kauli ya Serikali kilichotokea Afrika Kusini

    Dodoma. Serikali imesema hakuna Mtanzania aliyeathirika nchini Afrika Kusini kutokana na hali ya sasa ya nchi hiyo, huku ikifafanua kuwa video zilizozua taharuki kwenye mitandao ya kijamii ni za zamani na si matukio ya hivi karibuni. Hayo yameelezwa bungeni leo Jumanne Mei 26, 2026 na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,…

    Continue Reading

  • Rafiki wa Binti wafanya kweli Afya ya Hedhi

    Rafiki wa Binti wafanya kweli Afya ya Hedhi

    PWANI; MPANGO wa Rafiki wa Binti umezindua wimbo maalumu wa  kielimu wa Afya ya Hedhi ikiwa ni kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Hedhi Mei 28, 2026. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Saumu Zidadu, ambaye ni Mratibu wa Mpango wa Rafiki wa Binti, amesema pia wamepanua kuongeza usambazaji wa chupi maalumu za…

    Continue Reading

  • RAIS DKT. SAMIA AWAAPISHA MAJAJI WA MAHAKAMA YA RUFANI IKULU DAR ES SALAAM – Habari Mpya

    RAIS DKT. SAMIA AWAAPISHA MAJAJI WA MAHAKAMA YA RUFANI IKULU DAR ES SALAAM – Habari Mpya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Imani Daud Aboud kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 26 Mei, 2026. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Rabia Hussein Mohamed kuwa Jaji wa…

    Continue Reading

  • Mambo ya Nje waanika vipaumbele wakiomba Sh359 bilioni

    Mambo ya Nje waanika vipaumbele wakiomba Sh359 bilioni

    Dodoma. Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetaja vipaumbele vinne katika bajeti ya 2026/27, wakati ilipoomba bajeti ya Sh359.32 bilioni. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabiti Kombo ametaja mikakati hiyo leo Jumanne Mei 26, 2026 wakati akisoma hotuba yake. Waziri amevitaja vipaumbele ni kuendelea…

    Continue Reading

  • KAMANDA KUZAGA AMPONGEZA ASKARI ALIYEOKOA MAISHA YA DEREVA BODABODA – Habari Mpya

    KAMANDA KUZAGA AMPONGEZA ASKARI ALIYEOKOA MAISHA YA DEREVA BODABODA – Habari Mpya

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga leo Mei 26, 2026 amempongeza kwa kumpaKAMANDA KUZAGA AMPONGEZA ASKARI ALIYEOKOA MAISHA YA DEREVA BODABODA cheti cha pongezi Konstebo wa Polisi Baraka Wambura Nyakarungu kwa kitengo cha ujasiri alichofanya na kuokoa maisha ya mhanga wa ajali ya Pikipiki. Konstebo wa Polisi…

    Continue Reading

  • UDSM yawaita wadau kutafakari fikra za Mwalimu Nyerere

    UDSM yawaita wadau kutafakari fikra za Mwalimu Nyerere

    Dar es Salaam. Wadau wa maendeleo ya siasa, uchumi na masuala ya kijamii wametakiwa kushiriki Kongamano la Kigoda cha Kiprofesa cha Mwalimu Julius Nyerere cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Kongamano hilo litakalofanyika kwa siku tatu mfulululizo kuanzia Mei 28-30, 2026, linatarajiwa kuwakutanisha wanazuoni na wadau kutoka sehemu mbalimbali kwa lengo la kuibua…

    Continue Reading

  • Madiwani Temeke wataka miradi yenye ubora

    Madiwani Temeke wataka miradi yenye ubora

    DAR E SALAAM: BARAZA la Madiwani Manispaa ya Temeke limewataka wakandarasi wanaotekeleza miradi wilayani humo kufanya hivyo kwa ubora na wakati. Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke, Uzairu Athumani amesema hayo leo Mei 26, 2026 wakati wakipokea taarifa ya robo ya mwaka wa tatu katika wilaya hiyo 2025/26 na kusema kuwa halmashauri hiyo inawapa kipaumbele…

    Continue Reading

  • SERIKALI YAONGEZA NGUVU KUIMARISHA AFYA ZA MAMA WAJAWAZITO NA WATOTO NCHINI – Habari Mpya

    Na Shaban Juma, Dodoma Naibu Waziri wa Afya, Florence Samizi amesema Serikali imeendelea kuchukua hatua mbalimbali za kimkakati za kuimarisha afya za mama wajawazito na watoto nchini ikiwemo kuongeza miundombinu ya huduma, kuimarisha huduma za dharura wakati wa kujifungua, pamoja na kuboresha huduma za watoto wachanga kwa lengo la kupunguza vifo vya mama na mtoto.…

    Continue Reading

  • WHO yatahadharisha kasi na Ebola, nchi 11 zipo hatarini

    WHO yatahadharisha kasi na Ebola, nchi 11 zipo hatarini

    Dar es Salaam. Wakati vifo vya Ebola vikifikia 220, ikiwa ni ongezeko la watu 20 waliopoteza maisha ndani ya saa 24 zilizopita, Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha kasi ya kuenea kwa ugonjwa huo huku Kituo cha Kukinga na Kudhibiti Magonjwa (CDC) kikisema nchi 11 zipo kwenye hatari ya maambukizi. Nchi hizo ni Angola, Burundi,…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports