Author: admin

  • WHO yatahadharisha kasi na Ebola, nchi 11 hatarini

    WHO yatahadharisha kasi na Ebola, nchi 11 hatarini

    Dar es Salaam. Wakati vifo vya Ebola vikifikia 220, ikiwa ni ongezeko la watu 20 waliopoteza maisha ndani ya saa 24 zilizopita, Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha kasi ya kuenea kwa ugonjwa huo huku Kituo cha Kukinga na Kudhibiti Magonjwa (CDC) kikisema nchi 11 zipo kwenye hatari ya maambukizi. Nchi hizo ni Angola, Burundi,…

    Continue Reading

  • WAZIRI SANGU AZINDUA BODI YA SABA YA USHAURI YA OSHA – Habari Mpya

    Mwenyekiti wa Bodi mpya Makwaia Makani. Mheshimiwa Deus Clement Sangu ,Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi,Ajira na Mahusiano akiwa kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Saba ya Ushauri ya Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA) mara baada ya kuizindua 25 Mei 2026 jijini Dar es Salaam. Hafla…

    Continue Reading

  • CEOrt kushirikiana na GGML Kili Challenge katika mapambano ya VVU

    CEOrt kushirikiana na GGML Kili Challenge katika mapambano ya VVU

    Dar es Salaam. Mapambano dhidi ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) yameungwa mkono na Jukwaa la Wakurugenzi Wakuu wa Kampuni Tanzania (CEOrt), likisema sekta binafsi inashiriki kikamilifu kuhakikisha upatikanaji wa huduma kwa wanaoishi na virusi hivyo. CEOrt imeungana na Taasisi ya GGML Kilimanjaro Challenge Against HIV/AIDS Trust katika kuandaa kampeni mpya ya matembezi ya…

    Continue Reading

  • MKOMI AWATAKA WAKUU WA RASILIMALIWATU KUSHIRIKI KIKAO KAZI DODOMA – Habari Mpya

    MKOMI AWATAKA WAKUU WA RASILIMALIWATU KUSHIRIKI KIKAO KAZI DODOMA – Habari Mpya

    Na. Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog,Dodoma ‎Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (OR-MUUUB), Bw. Juma Mkomi, amewataka Wakurugenzi na Wakuu wa Idara za Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu katika taasisi za Serikali kushiriki kikao kazi kitakachofanyika Jijini Dodoma kuanzia Juni 1 hadi 3, 2026 kwa lengo la kujadili maboresho…

    Continue Reading

  • Asilimia 70 ya wagonjwa wa moyo kanda ya kaskazini washindwa kufika JKCI

    Asilimia 70 ya wagonjwa wa moyo kanda ya kaskazini washindwa kufika JKCI

    Tanga. Asilimia 70 ya wagonjwa wanaohitaji huduma za matibabu ya moyo kutoka Kanda ya Kaskazini wanashindwa kufika katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kutokana na changamoto za gharama za usafiri na malazi, hali inayochangia wagonjwa wengi kushindwa kupata matibabu kwa wakati. Kutokana na changamoto hiyo, Hospitali ya Rufaa ya KCMC imeanza ujenzi wa…

    Continue Reading

  • TANESCO KINONDONI KUSINI YAKUTANA NA WATEJA WAKUBWA – Habari Mpya

    TANESCO KINONDONI KUSINI YAKUTANA NA WATEJA WAKUBWA – Habari Mpya

    * Lengo ni kusikiliza maoni na kutatua changamoto zao kwa wakati. * Ni katika muendelezo wa kuboresha na kuimarisha uhusiano na wateja. Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Kinondoni Kusini, Mei 20, 2026, limekutana na kufanya mazungumzo na wateja wakubwa kwa lengo la kuimarisha uhusiano, kusikiliza changamoto zao na kuzitafutia ufumbuzi wa haraka katika…

    Continue Reading

  • Usafiri wa reli, kampuni ya ndege kipaumbele Wizara ya Ujenzi Zanzibar

    Usafiri wa reli, kampuni ya ndege kipaumbele Wizara ya Ujenzi Zanzibar

    Unguja. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeomba kuhidhinishiwa Sh1.8 trilioni kutekeleza vipaumbele vinane kwa mwaka 2026/27, vikiwemo kuanzisha kampuni ya ndege ya Zanzibar pamoja na kuanza maandalizi ya uanzishwaji wa usafiri wa umma kwa njia ya reli. Akisoma makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo katika mkutano wa bajeti wa Baraza la Wawakilishi Mei…

    Continue Reading

  • MWIGULU, BALOZI OMAR WAPANGA MIKAKATI MKUTANO MKUU WA ADB, ADF CONGO BRAZZAVILLE – Habari Mpya

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu, akizungumza jambo na Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), baada ya kumalizika kwa kikao cha kujadili agenda zinazohusu ushiriki wa Tanzania katika Mkutano Mkuu wa 61 wa mwaka 2026 wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya…

    Continue Reading

  • Viongozi wamlilia mama wa Magufuli

    Viongozi wamlilia mama wa Magufuli

    Dar es Salaam. Viongozi mbalimbali wa Serikali wametuma salamu za rambirambi kwa familia ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Hayati John Pombe Magufuli kufuatia kifo cha mama yake mzazi, Suzana Magufuli. Suzana alifariki dunia nyumbani kwake Chato, Mkoa wa Geita saa 1 jioni ya jana Jumatatu, Mei 25, 2026 baada ya kuugua kwa muda…

    Continue Reading

  • Mambo ya Nje wataja changamoto zao

    Mambo ya Nje wataja changamoto zao

    Dodoma. Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ya Tanzania imesema bado inakabiliwa na changamoto mbalimbali katika utekelezaji wa majukumu yake. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabiti Kombo amezitaja baadhi ya changamoto ni kwa nchi wanachama katika jumuiya za kikanda kutoheshimu baadhi ya Mikataba na…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports