Author: admin
-

Vigogo wa zamani wa Temesa, CWT kortini kwa uhujumu uchumi
Dodoma. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru) imewafikisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma waliokuwa viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) pamoja na watendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (Temesa). Viongozi na watendaji hao wanatuhumiwa kwa makosa ya kuunda genge la uhalifu, uhujumu uchumi, utakatishaji fedha kwa kujipatia fedha…
-

TANZANIA KUANDAA MPANGO WA HATUA ZA MAPEMA ZA KUJIANDAA KUKABILIANA NA UKAME – DKT. YONAZI – Habari Mpya
Na Mwandishi wetu – Msumbiji TANZANIA inaandaa Mpango wa Kitaifa wa Hatua za Mapema za kujiandaa, kukabiliana na ukame kwa maeneo yanayokabiliwa na janga hilo kwa kushirikiana na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), ikiwa ni jitihada za kupunguza athari za janga hilo nchini. Hatua hiyo inaonesha dhamira ya serikali kuachana na utaratibu wa…
-

Serikali kushirikiana na mataifa ya Afrika kuwawezesha vijana
Arusha. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka amesema Serikali ya Tanzania itaendelea kushirikiana na nchi mbalimbali za Afrika katika kuandaa na kutekeleza mipango ya maendeleo ya vijana kwa lengo la kukabiliana na changamoto zinazowakabili, pamoja na kuongeza ushiriki wao katika maendeleo ya uchumi. Nanauka amesema changamoto zinazowakabili vijana hazipo Tanzania…
-

WANAHABARI WATAKIWA KUJIUNGA VYAMA VYA WAFANYAKAZI KULINDA HAKI ZAO – Habari Mpya
Na.Sophia Kingimali. Rais wa Shirikisho la vyama vya wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini Nyamhokya, amewataka wanahabari nchini kujiunga na vyama vya wafanyakazi ili kujenga umoja, kulinda maslahi yao na kupigania haki zao mahali pa kazi kwani kupitia umoja huo waandishi wa habari wataweza kupata nguvu ya pamoja katika kushughulikia changamoto mbalimbali zinazowakabili ikiwemo ukosefu wa mikataba…
-

Akutwa amefariki dunia chumbani kwake kwa kukosa hewa
Makete. Mkazi wa Kijiji cha Ikonda kilichopo Wilaya ya Makete mkoani Njombe, Nestory Mbilinyi (43), amefariki dunia baada ya mwili wake kukutwa ndani ya chumba alichokuwa amejiwekea kufuli kwa siku kadhaa huku chanzo cha kifo kikielezwa kuwa ni kukosa hewa kutokana na matatizo ya kiafya aliyokuwa nayo. Tukio hilo limeelezwa leo Mei 25, 2026 na…
-
SERIKALI YAHAKIKISHA MAZINGIRA BORA KATIKA MAKAZI YA WATOTO NCHINI – Habari Mpya
Na Jackline Minja, Dodoma Serikali imeendelea kuweka utaratibu madhubuti wa kuhakikisha watoto wanaoishi katika vituo vya kulelea watoto wanakuwa katika mazingira bora, salama na yenye kuzingatia ustawi wao kwa mujibu wa sheria, kanuni na miongozo ya nchi. Kauli hiyo imetolewa bungeni na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mhandisi…
-

Chalamila amkingia kifua Mafwele, Jeshi la Polisi
Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka Watanzania kuacha tabia ya kutoa hitimisho la haraka kuhusu matukio ya uhalifu yanayotokea nchini kabla vyombo vya dola kukamilisha uchunguzi wake. Akizungumza leo Mei 25,2026 jijini Dar es Salaam kuhusu matukio mbalimbali ya uhalifu yaliyotokea hivi karibuni, Chalamila amesema tabia ya baadhi…
-

MABADILIKO YA SERA YASABABISHA MAEREKANI NA UINGEREZA KUFUNGA OFISI NDOGO ZA UBALOZI ZWNZIBAR – Habari Mpya
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amelieleza Bunge kuwa Marekani na Uingereza zilifunga Ofisi Ndogo za Ubalozi Zanzibar kutokana na mabadiliko ya kisera katika uendeshaji wa ofisi zao ndogo duniani kote na si kwa Tanzania pekee na kwa sasa yaliyokuwa majukumu ya ofii hizo yanaendeshwa na…
-

Serikali kuchochea ujuzi, mitaji kwa vijana kuwawezesha kiuchumi
Morogoro. Serikali imeendelea kuweka mipango na mikakati ya kuwawezesha vijana kiuchumi ikiwa pamoja na kuwapa ujuzi wa kujiajiri na mitaji kwa ajili ya kuendeleza biashara kupitia mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka wakati akizindua Jukwaa la Vijana (Platform Campus Connect)…
-

WATENDAJI WA KATA WAWE CHACHU YA KUONGEZA MAPATO NA KUHUDUMIA WANANCHI – Habari Mpya
Mwamvua Mwinyi, PwaniMei 25, 2026 MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amewasisitiza watendaji wa kata mkoani humo kuwa chachu ya kuchochea maendeleo kwa kuongeza ukusanyaji wa mapato pamoja na kutatua kero za wananchi . Kunenge alitoa msisitizo na maagizo mbalimbali wakati akizungumza na watendaji wa kata 134 kati ya 136 zilizopo mkoani Pwani,Mei 25,2026…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed













