Author: admin
-

Lema azungumzia kauli ya Waziri Mkuu kuhusu utekaji
Dodoma. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na mlezi wa chama hicho Kanda ya Kati, Godbless Lema amejibu kauli ya Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba kuhusu utekaji. Lema alisema hayo kwenye mkutano wa hadharani jijini Dodoma jana Jumapili Mei 24, 2026 ambapo alieleza kuwa kauli ya Waziri Mkuu, Dk Mwigulu…
-

Utekelezaji ujenzi shule za michezo waiva
DODOMA; SERIKALI imesema zabuni ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa shule za michezo imetangazwa ili kupata mkandarasi. Kauli hiyo imetolewa bungeni mjini leo mei 25,2026 na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Nkasi Kusini, Moses Kaegele aliyehoji serikali ina mpango gani wa kujenga shule…
-

Urais 2030 unavyoanza ‘kuitesa’ CCM
Dar es Salaam. Imepita miezi saba tu, tangu Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ufanyike. Tayari joto la urais mwaka 2030 ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) limeanza kupanda na kufanya ajenda hiyo iwe midomoni mwa viongozi wa chama hicho na Serikali. Wachambuzi wa siasa wanasema hali hiyo inaonyesha wazi, baadhi ya viongozi hawatumikii nafasi zao…
Latest News
About the Author

AF themes
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports


















