Author: admin

  • DCEA yateketeza kilo 504 za heroini Mtwara

    DCEA yateketeza kilo 504 za heroini Mtwara

    Mtwara. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, imeteketeza kilo 504.36 za heroini zilizokamatwa kutoka kwa raia saba wa Iran katika Bahari ya Hindi ndani ya eneo tengefu la kiuchumi wilayani Kilwa, Mkoa wa Lindi. Uteketezaji huo umefanyika leo Mei 23, 2026 kufuatia amri…

    Continue Reading

  • Gati namba 12 kujengwa bandarini kukabiliana na wingi wa mizigo

    Gati namba 12 kujengwa bandarini kukabiliana na wingi wa mizigo

    Dar es Salaam. Serikali imeanza mchakato wa kujenga magati 12 katika Bandari ya Dar es Salaam kukabiliana na ongezeko la mizigo na msongamano wa meli. Kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Serikali imesema ongezeko la mizigo na meli limeanza kuzidi uwezo wa miundombinu iliyopo, hivyo kuhitaji uwekezaji zaidi katika magati, maeneo ya kuhifadhi mizigo na…

    Continue Reading

  • Mwili wa mwekezaji Mchina kuchomwa moto Makumbusho

    Mwili wa mwekezaji Mchina kuchomwa moto Makumbusho

    Dar es Salaam. Mwili wa mfanyabiashara wa asili ya China, Bhaozang Ge unatarajiwa kuchomwa moto kesho Mei 24, 2026 katika eneo maalumu la Makumbusho jijini Dar es Salaam, na majivu yake kusafirishwa kwenda China kwa taratibu nyingine za mazishi kwa mujibu wa mila za familia yake. Katika simulizi ya huzuni na kumbukizi, mdogo wa marehemu,…

    Continue Reading

  • Yanayowakuta watumiaji wa viagra kuongeza nguvu za kiume

    Yanayowakuta watumiaji wa viagra kuongeza nguvu za kiume

    Dar es Salaam. Matumizi ya dawa za kuongeza nguvu za kiume maarufu Viagra na Vega 100, yameendelea kuenea kwa siri miongoni mwa vijana nchini, huku baadhi yao wakikumbwa na madhara ya kiafya na kisaikolojia. Baadhi ya vijana wanaotumia dawa hizo, wanasema wanalazimika kuzitumia kwa tamaa ya kutaka kuthibitisha uwezo wao wa kimapenzi, kutafuta sifa mbele…

    Continue Reading

  • Jua mipaka yako kwenye ndoa, uhusiano

    Jua mipaka yako kwenye ndoa, uhusiano

    Dar es Salaam. Katika jamii nyingi, ndoa na uhusiano huonekana kama maeneo ya  wenza kujitoa bila kuuliza maswali.  Wengi hufundishwa kuwa kumpenda mtu ni kuvumilia kila kitu, hata pale utu, amani na heshima vinapokanyagwa. Mtazamo huu umechangia migogoro mingi ya ndoa, maumivu ya kihisia na uhusiano usio na afya.  Ukweli ni kwamba upendo wa kweli…

    Continue Reading

  • Hivi hapa vipaumbele 7 bajeti viwanda na biashara 2026/27

    Hivi hapa vipaumbele 7 bajeti viwanda na biashara 2026/27

    DODOMA; Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amewasilisha hotuba ya bajeti ya wizara hiyo mwaka 2026/27 ikiwa na vipaumbele saba. Akiwasilisha bajeti hiyo leo Mei 22, 2026, Waziri Kapinga ametaja kuwa ni kuendelea na utekelezaji wa miradi ya kielelezo na kimkakati ya Viwanda. “Kuimarisha uwezo wa uzalishaji viwandani na utoaji huduma kwa kuboresha mazingira…

    Continue Reading

  • Tanzania ina viwanda 1,604 mafuta ya kula

    Tanzania ina viwanda 1,604 mafuta ya kula

    DODOMA; Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amesema Tanzania ina jumla ya viwanda 1,604 vya kuzalisha mafuta ya kula, huku kati ya hivyo viwanda vikubwa ni 14 na kwamba serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuhakikisha nchi inajitosheleza kwa uzalishaji wa mafuta hayo. ‎‎Kapinga ametoa taarifa hiyo leo Mei 22, 2026 bungeni jijini Dodoma…

    Continue Reading

  • Serikali yazungumzia hatua kuimarisha biashara kikanda

    Serikali yazungumzia hatua kuimarisha biashara kikanda

    DODOMA; Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amesema serikali imeendelea kuchukua hatua za kuondoa vikwazo vya biashara visivyo vya kiushuru (NTBs) kati ya Tanzania na nchi jirani, hususan Kenya na Zambia, kwa lengo la kuimarisha biashara na ushirikiano wa kikanda.‎‎Akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa mwaka wa…

    Continue Reading

  • Spika Zungu aifunda Wizara ya Ujenzi

    Spika Zungu aifunda Wizara ya Ujenzi

    DAR ES SALAAM: Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu, ameishauru Wizara ya Ujenzi kwa kuonyesha hamasa ya kuingia katika mfumo wa Ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPP). Zungu amesema bila PPP, mzigo wa ujenzi na matengenezo ya barabara ni mkubwa mno kwa serikali peke yake. Alieleza kuwa katika mataifa mengi duniani, serikali huingia…

    Continue Reading

  • Mgahawa wa Kijapani unavyonogesha utalii Zanzibar

    Mgahawa wa Kijapani unavyonogesha utalii Zanzibar

    Zanzibar. Sekta ya ukarimu na utalii visiwani Zanzibar imepata msukumo mkubwa wa mtindo wa maisha  baada ya uliojikita kuandaa na kuuza vyakula vya asili ya Kijapani wa Maru Restaurant kuanza kutoa huduma hiyo katika eneo jipya la Africa House Garden, Stone Town. Mgahawa huo unaleta vyakula halisi vya Kijapani katika soko la upishi na utalii…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports