Author: admin

  • Miaka mitano ya fursa mpya uchumi wa Tanzania

    Miaka mitano ya fursa mpya uchumi wa Tanzania

    DAR ES SALAAM; Rudisha  fikra nyuma kwa Tanzania ya mwaka 2021 yenye vijana waliokuwa wanajiuliza maswali kuhusu suala la ajira ziko wapi? Maswali yalikuwa mengi zaidi ya majibu. wasiwasi ulikuwa mwingi kuliko uhakika. Vichwa vingi vilijiuliza:  Tutavuka salama kweli kutatua tatizo la ajira? Huku wengine wakienda mbali na kuliita bomu. Ungana nami SYLIVESTRE DOMASA katika…

    Continue Reading

  • Utunzaji Salama wa Vimelea Wasisitizwa

    Utunzaji Salama wa Vimelea Wasisitizwa

    WATAALAMU wa maabara nchini wametakiwa kuzingatia kwa umakini mkubwa maadili na viapo vya taaluma yao ili kulinda jamii dhidi ya madhara yanayoweza kusababishwa na utunzaji usio salama wa vimelea hatarishi na smpuli zinazohifadhiwa kwa muda mrefu. Wito huo umetolewa na Mratibu wa Afya Moja kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Valentino Sanga,…

    Continue Reading

  • Urejeshaji duni mikopo ya elimu,teknolojia yatajwa kuwa suluhu

    Urejeshaji duni mikopo ya elimu,teknolojia yatajwa kuwa suluhu

    “MWAKA jana nilikuwa nimepata chuo  nikaomba mkopo lakini nilivyokosa, nikashindwa kwenda chuo,” anasema Singo Mrombo (20). Anaongeza: “Ninamtegemea mama yangu ambaye ndiye mzazi pekee, lakini na yeye hana uwezo wa kunilipia ada ya chuo na baba yangu mzazi sijawahi kumuona na sijui alipo.” Singo ambaye ni mkazi wa Mbezi, Dar es Salaam, anasema kwa sasa…

    Continue Reading

  • TZ, Comoro zaunganishwa safari mpya za Royah Air

    TZ, Comoro zaunganishwa safari mpya za Royah Air

    DAR ES SALAAM: Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) umeandika hatua mpya katika sekta ya usafiri wa anga baada ya kupokea rasmi safari za ndege za kampuni ya Royal Air zinazounganisha moja kwa moja Tanzania na Comoro. Uzinduzi wa safari hizo unatarajiwa kuimarisha usafiri wa abiria, usafirishaji wa mizigo na kukuza…

    Continue Reading

  • Serikali yataka ushirikiano mageuzi ya elimu

    Serikali yataka ushirikiano mageuzi ya elimu

    DAR ES SALAAM: SERIKALI imezitaka taasisi binafsi za elimu kuendelea kushirikiana na Serikali katika utekelezaji wa mageuzi ya elimu yanayolenga kuimarisha ujuzi, sayansi na teknolojia, huku ikiipongeza Shule ya Kimataifa ya Luminous kwa mchango wake katika kukuza ubora wa elimu nchini. Kauli hiyo imetolewa na Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Uongozi wa Elimu (ADEM), Dkt.…

    Continue Reading

  • Trilioni 76 za maendeleo zilivyoibadili Tanzania

    Trilioni 76 za maendeleo zilivyoibadili Tanzania

    Mwaka 2021, mkazi wa Sumbawanga aliyekuwa akihitaji huduma ya CT Scan au matibabu ya kibingwa mara nyingi alilazimika kusafiri kilomita 326 kwenda Mbeya au zaidi ya kilomita 1,100 hadi Dar es Salaam. Kule Kibondo mkoani Kigoma, baadhi ya wanafunzi walitembea hadi kilomita sita kufika shuleni. Kitele, Mtwara Vijijini, mvua ziliponyesha daraja lililokuwepo lilifunikwa na maji…

    Continue Reading

  • Serikali yaendelea kuimarisha utayari kukabili dharura za afya

    Serikali yaendelea kuimarisha utayari kukabili dharura za afya

    MOROGORO: SERIKALI kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO) kupitia ufadhili wa Pandemic Fund imeendelea kutoa mafunzo maalumu ya kuijengea uwezo timu ya kitaifa ya magonjwa ya dharura na maafa kwa ajili ya utayari wa kukabiliana nayo. Mkurugenzi wa Huduma za Dharura na Maafa, Dk Erasto Sylvanus, amesema  hayo mjini Morogoro wakati akifunga mafunzo…

    Continue Reading

  • Wataalamu kukutana Mwanza kujadili changamoto za jamii

    Wataalamu kukutana Mwanza kujadili changamoto za jamii

    MWANZA: WATALAAMU wa Maendeleo ya Jamii nchini wanatarajia kukutana katika mkutano mkuu wa mwaka kwa lengo la kujadili changamoto mbalimbali zinazoikabili jamii ikiwemo mmomonyoko wa maadili na ukatili wa kijinisa. Maafisa maendeleo hao zaidi ya 1,260 watakutana katika kikao cha siku tatu kuanzia Juni 17 -19 mwaka huu kwenye mkutano mkuu wa mwaka wa Chama…

    Continue Reading

  • TÜV Rheinland imeimarisha mtandao wa PVoC wa Tanzania kwa kupanua idhini ya TBS katika eneo la Greater China

    TÜV Rheinland imeimarisha mtandao wa PVoC wa Tanzania kwa kupanua idhini ya TBS katika eneo la Greater China

    TÜV Rheinland imetangaza upanuzi wa huduma zake zilizoidhinishwa chini ya Mpango wa Uthibitishaji wa TBS (PVoC) nchini Tanzania, ikiwa ni pamoja na eneo la Greater China. Kuanzia tarehe 30 Mei 2026, TÜV Rheinland itakuwa na mamlaka ya kutoa Vyeti vya Uthibitisho (CoC) kwa bidhaa zinazotoka katika China Bara, Hong Kong, Macao, Taiwan, na Mongolia zinazokusudiwa…

    Continue Reading

  • Samia kupokea gawio la mashirika ya umma Juni 30

    Samia kupokea gawio la mashirika ya umma Juni 30

    Dar es Salaam.  Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kupokea gawio na michango mingine kutoka mashirika ya umma na kampuni ambazo Serikali ina hisa katika hafla ya Siku ya Gawio 2026 itakayofanyika Juni 30, Ikulu jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo inakuja wakati Serikali ikiongeza msisitizo katika kuhakikisha uwekezaji wa umma unaleta matokeo yanayopimika…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports