Author: admin
-

Wamiliki watoa hoja 30 wakitaka upya wa mchakato wa ‘Sinza mpya’
Dar es Salaam. Wamiliki wa ardhi katika eneo la Sinza wamewasilisha hoja 30 kwa Wizara ya Ardhi, zikijumuisha pingamizi, maombi ya ufafanuzi na mapendekezo kuhusu rasimu ya mpango wa uendelezaji upya wa eneo hilo kwa mwaka 2026 hadi 2046, wakitaka mchakato huo uanze upya. Katika hoja hizo walizozitoa jana Jumapili Juni 14, 2026, wamiliki hao…
-

AWESO AKESHA MITAMBONI USIKU KUHAKIKISHA MAJI YANATOKA MWANZA – Habari Mpya
NA: MWANDISHI WETU, MWANZA Hakuna kulala. Hivi ndivyo unavyoweza kusema ndugu msomaji. Hii ni baada ya Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, kuamua kukesha mitamboni hadi usiku wa manane kuhakikisha maji yanatoka kwa wakazi wa Jiji la Mwanza. Aweso amepiga kambi katika kituo cha kusukuma maji cha Capripoint usiku wa kuamkia Juni 15, 2026. Hii ni…
-

Wawili kortini Dar wakidaiwa kusafirisha bangi
Dar es Salaam. Hassan Yusuph (20) na Warioba Masenza (23) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na shtaka moja la kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi zenye uzito wa gramu 1,045 Washtakiwa hao wamefikishwa mahakamani hapo leo Jumatatu Juni 15, 2026 na kusomewa shtaka lao na wakili wa Serikali, Winniwa Kasala, mbele…
-

Miundombinu imebadili mengi mitano ya Samia
DAR ES SALAAM; SAA 12 alfajiri, wakati taa za magari bado zinang’aa katika baadhi ya mitaa ya Dar es Salaam na sehemu kubwa ya jiji ikiwa haijaamka, maisha tayari yameanza juu ya Daraja la Tanzanite. Upepo mwanana kutoka Bahari ya Hindi unapuliza taratibu. Chini yake, mawimbi yanakatiza kwa utulivu. Juu yake, mamia ya watu wameanza…
-

TAARIFA ILIYOTUFIKIA MUDA HUU KUTOKA JESHI LA POLISI – Habari Mpya
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kushirikiana na wananchi na wadau wengine katika kuimarisha ulinzi na usalama wa maisha na mali kwa kufanya doria za kubaini na kuzuia uhalifu. Pia oparesheni na misako imeendelea kufanyika na kufanikiwa kuwakamata wahalifu wa makosa mbalimbali. MTOTO ALIYETEKWA APATIKANA KATIKATI YA HIFADHI YA KITULO Jeshi la Polisi Mkoa…
-

Shabiby ataka chombo maalumu kuchunguza matumizi ya Serikali
Dar es Salaam. Mbunge wa Gairo (CCM), Ahmed Shabiby ameishauri Serikali kuanzisha chombo maalumu cha kuchunguza matumizi ya fedha katika wizara, taasisi na miradi ya maendeleo kabla ya kuendelea kutoa fedha zaidi, akisema hatua hiyo itasaidia kudhibiti matumizi yasiyo na tija na kuongeza ufanisi wa fedha za umma. Wakati Shabiby akieleza hayo, Mbunge wa Bariadi…
-

Diplomasia ya Tanzania ilivyofungua fursa za uchumi miaka 5 ya Samia
Mwaka 2021, Tanzania ilikuwa katika kipindi cha mpito. Dunia ilikuwa ikijinasua kutoka athari za janga la COVID-19 huku ushindani wa kuvutia uwekezaji, biashara, watalii na teknolojia ukiwa mkali zaidi kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya hivi karibuni. Ndani ya mazingira hayo, Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan ilianza kuandika…
-

Mwafaka Marekani na Iran utakavyoleta ahueni ya mafuta duniani
Dar es Salaam. Makubaliano ya kusitisha vita kati ya Marekani na Iran yaliyothibitishwa na pande zote mbili yameibua matumaini mapya katika masoko ya nishati duniani. Ripoti zilizoripotiwa na mashirika mbalimbali ya habari kutoka ukanda huo yakiwemo BBC, Shirika la habari la Mehr pamoja na ukurasa wa mawasiliano wa Rais wa Marekani Donald Trump, zinafafanua makubaliano…
-

Bosi Oryx asifu mazingira bora uwekezaji sekta ya nishati
DAR ES SALAAM; Mkurugenzi Mkuu wa Oryx Energies Tanzania, Iman Mtafya, amesema mazingira bora ya uwekezaji yanayofanywa na Serikali katika sekta ya nishati ya mafuta na gesi imewezesha Oryx kuendelea kusogeza upatikanaji wa nishati hizo. Ametoa kauli hiyo leo Juni 15,2026 wakati wa uzinduzi wa kituo kipya cha mafuta eneo la Wazo jijini Dar es…
-

Miaka mitano ya fursa mpya uchumi wa Tanzania
DAR ES SALAAM; Rudisha fikra nyuma kwa Tanzania ya mwaka 2021 yenye vijana waliokuwa wanajiuliza maswali kuhusu suala la ajira ziko wapi? Maswali yalikuwa mengi zaidi ya majibu. wasiwasi ulikuwa mwingi kuliko uhakika. Vichwa vingi vilijiuliza: Tutavuka salama kweli kutatua tatizo la ajira? Huku wengine wakienda mbali na kuliita bomu. Ungana nami SYLIVESTRE DOMASA katika…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed











