Author: admin

  • NGIZWE MCHUNU: Kuchoma nyumba hakutazuia harakati kupinga wahamiaji – 3

    NGIZWE MCHUNU: Kuchoma nyumba hakutazuia harakati kupinga wahamiaji – 3

    Kuna picha moja ambayo imekuwa ikisambaa katika mitandao ya kijamii ya Afrika Kusini tangu Mei 10, 2026 inayobeba taswira ya jambo la msingi lakini la kutisha kuhusu wakati huu katika historia ya nchi hiyo. Katika picha hiyo, Ngizwe Mchunu anaonekana amesimama katikati ya magofu ya nyumba zake (rondavels) zilizochomwa moto huko Mbumbulu. Mbali na picha…

    Continue Reading

  • Chunga mambo haya ukitaka kuoa au kuolewa

    Chunga mambo haya ukitaka kuoa au kuolewa

    Dar es Salaam. Watu wengi huingia kwenye ndoa wakiwa na matumaini makubwa ya furaha, mafanikio na utulivu wa maisha, lakini si wote huchukua muda wa kutafakari kwa kina kabla ya kufanya uamuzi huo mkubwa.  Kuoa au kuolewa si hatua ya majaribio, bali ni ahadi ya maisha inayohitaji utayari wa kiakili, kihisia na kiroho. Katika dunia…

    Continue Reading

  • Ndoinyo ataja kitakachomaliza changamoto Ngorongoro

    Ndoinyo ataja kitakachomaliza changamoto Ngorongoro

    Dodoma. Mbunge wa Ngorongoro, Yannick Ndoinyo amesema ushirikishwaji wa wananchi na kusikilizwa kwa maoni yao, ndiyo njia itakayomaliza changamoto zinazoikabili Ngorongoro, badala ya kutegemea uhamishaji wa watu pekee. Ndoinyo amesema wananchi wengi wa wilaya hiyo hawataki kuhama kutoka maeneo yao ya asili, licha ya kuunga mkono juhudi za uhifadhi zinazoendelea katika eneo hilo. Amesisitiza kuwa…

    Continue Reading

  • Ulaji wa pamoja siri ya afya bora kwa familia

    Ulaji wa pamoja siri ya afya bora kwa familia

    Dar es Salaam. Katika dunia ya sasa iliyojaa pilikapilika za maisha, familia nyingi zimejikuta zikikosa muda wa kukaa pamoja hata wakati wa kula. Wengine hula kila mmoja kwa wakati wake kutokana na kazi, shule au matumizi makubwa ya simu na televisheni. Hata hivyo, wataalamu wa afya na ustawi wa jamii wanaeleza kuwa kula pamoja kama…

    Continue Reading

  • Tujiulize kama babu na bibi bado ni hazina ya malezi

    Tujiulize kama babu na bibi bado ni hazina ya malezi

    Dar es Salaam. Katika miaka ya hivi karibuni, mfumo wa familia umeendelea kubadilika kwa kasi kubwa. Wazazi wengi wanatumia muda mwingi kazini, watoto wanakua katika mazingira ya kidijitali, huku majukumu ya malezi yakizidi kuwa changamoto. Katikati ya mabadiliko hayo, swali linalojitokeza ni kama nafasi ya babu na bibi katika malezi ya watoto bado ina nguvu…

    Continue Reading

  • Mpe nafasi mke asaidie kujenga nyumba yako

    Mpe nafasi mke asaidie kujenga nyumba yako

    ​Katika mfumo wa kiasili wa jamii nyingi, mwanamume amekuwa akitazamwa kama nguzo pekee ya familia, kama mtu mwenye kutoa uamuzi, mtafutaji wa kipato, na mlinzi. Hata hivyo, ulimwengu wa sasa unahitaji mtazamo mpana zaidi. “Kujenga nyumba” hapa hakumaanishi tu matofali na saruji, bali ni ujenzi wa familia imara, yenye maendeleo ya kiuchumi, kijamii, na kiroho.…

    Continue Reading

  • Kliniki za sheria sasa kimbilio la wanandoa

    Kliniki za sheria sasa kimbilio la wanandoa

    Dar es Salaam. “Tulikaa zaidi ya miaka minne ndani ya nyumba moja bila kusemezana.” Hayo ni maelezo ya mmoja wa wanandoa waliofika katika kliniki ya sheria ya ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali jijini Dar es Salaam, wakisaka suluhisho la mgogoro uliowafanya waishi chini ya paa moja kama wageni. Kwa zaidi ya miaka minne, kila…

    Continue Reading

  • NMB YAPELEKA ELIMU YA FEDHA KWA MAELFU YA VIJANA – Habari Mpya

    NMB YAPELEKA ELIMU YA FEDHA KWA MAELFU YA VIJANA – Habari Mpya

    Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Alex Malasusa (kushoto), akizungumza na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB Bank Plc, Filbert Mponzi (wa pili kulia), na Mkuu wa Mauzo na Mtandao wa Matawi wa NMB, Donatus Richard (wa pili kushoto), mara baada ya kuzindua rasmi Tamasha la Twen’Zetu…

    Continue Reading

  • MGONGANO WA MASLAHI WATAJWA KURUDISHA NYUMA MAENDELEO – Habari Mpya

    MGONGANO WA MASLAHI WATAJWA KURUDISHA NYUMA MAENDELEO – Habari Mpya

    Na, mwandishi wetu – Arusha Mgongano wa maslahi kwa watumishi wa umma umetajwa kuathiri ufanisi kwenye utendaji na majukumu ya Serikali kutokana na matokeo hasi ya vitendo hivyo vinavyopelekea kuchochea mazingira ya rushwa na kujinufaisha binafsi badala ya ofisi na kukwamisha utoaji wa huduma bora kwa wananchi.  Hayo yameelezwa mapema mwishoni mwa wiki Jijini Arusha…

    Continue Reading

  • KUMBE KAMISHNA BADRU YUPO FITI KINOMA – Habari Mpya

    KUMBE KAMISHNA BADRU YUPO FITI KINOMA – Habari Mpya

    Kamishna wa Uhifadhi, Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro Abdul-Razaq Badru ameongoza mbio za Fame Marathon zilizofanyika leo tarehe 14 Juni, 2026 katika mji wa Karatu mkoani Arusha. Mbio hizo zilizokuwa na umbali wa Kilomita 21, 10, 05 na 02 zimeratibiwa na Hospitali ya Fame iliyopo Karatu na kuhusisha takribani wakimbiaji 650 kutoka ndani…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports