Category: Habari

  • KONA YA MSTAAFU: Fedha zinapomwagwa nje nje, lakini hazimhusu mstaafu!

    KONA YA MSTAAFU: Fedha zinapomwagwa nje nje, lakini hazimhusu mstaafu!

    Mstaafu wetu anajikuta akifanya kile kinachomshangaza hata yeye mwenyewe, cha kujikuta akikishukuru sana kibubu cha wastaafu kwa kufanya kilichofanywa na maofisa wake wahusika kuona mwezi jana ukipita bila mstaafu kuhakiki na hivyo kukosa laki mbili na nusu zake za pensheni! Maofisa hao, wengine wakiwa wapenzi wa makala za Mstaafu Wetu toka enzi za Daily News…

    Continue Reading

  • Historia ya kuanzishwa  Kalenda ya Kiislamu

    Historia ya kuanzishwa  Kalenda ya Kiislamu

    Dar es Salaam. Muharram ni mwezi wa kwanza katika kalenda ya Kiislamu iitwayo Hijra,  na wa nne miongoni mwa miezi mitukufu katika Uislamu. Mwezi huu unatukumbusha tukio kubwa katika historia ya Uislamu, nalo ni tukio la Hijra, (kuhama kwa Mtume wa Allah kutoka Makka kwenda Madina), tukio lililotenganisha baina ya haki na batili Kabla hatujaendelea…

    Continue Reading

  • Bodaboda, bajaji juu kwenye usajili, kusababisha ajali

    Bodaboda, bajaji juu kwenye usajili, kusababisha ajali

    Dar es Salaam. Katika miaka ya hivi karibuni, pikipiki na bajaji zimekuwa sehemu muhimu ya mfumo wa usafiri nchini Tanzania. Kuanzia mijini hadi vijijini, vyombo hivi vimebadilisha namna wananchi wanavyofika maeneo mbalimbali kwa haraka huku vikitoa ajira kwa maelfu ya vijana na kurahisisha shughuli za biashara. Kutokana na mahitaji hayo, uwekezaji katika eneo hilo  nao…

    Continue Reading

  • TVLA YAWATAKA WAFUGAJI KUONGEZA MWITIKIO WA CHANJO ZA MIFUGO – Habari Mpya

    TVLA YAWATAKA WAFUGAJI KUONGEZA MWITIKIO WA CHANJO ZA MIFUGO – Habari Mpya

    FARIDA MANGUBE MOROGOGO  Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA), Dkt. Stella Bitanyi, amewataka wafugaji nchini kuongeza mwitikio wa kuchanja mifugo dhidi ya magonjwa mbalimbali ili kuimarisha afya ya mifugo, kuongeza uzalishaji na kupunguza hatari ya maambukizi ya magonjwa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu. Akizungumza Juni 18, 2026 mjini Morogoro katika…

    Continue Reading

  • ASISITIZA MAPATO NA HATI SAFI VIENDANE NA MATOKEO KWA WANANCHI – Habari Mpya

    ASISITIZA MAPATO NA HATI SAFI VIENDANE NA MATOKEO KWA WANANCHI – Habari Mpya

    Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ameiagiza Manispaa ya Kibaha kufanya tathmini ya mara kwa mara ya vipaumbele vya maendeleo ili kuhakikisha vinatoa matokeo chanya kwa wananchi na kuchochea maendeleo endelevu. Aidha, ameielekeza Manispaa hiyo kuhakikisha mipango na vipaumbele vyake vinaendana na mahitaji ya wananchi pamoja na kuakisi matakwa ya…

    Continue Reading

  • WAAJIRI WANAOZINGATIA SHERIA ZA KAZI WAPONGEZWA – Habari Mpya

    WAAJIRI WANAOZINGATIA SHERIA ZA KAZI WAPONGEZWA – Habari Mpya

    Na OWM-KAM, Mwanza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Mhe. Deus Sangu, amepongeza waajiri nchini wanaotekeleza wajibu wao kwa kuzingatia sheria za kazi, ikiwemo kuwasilisha michango ya wafanyakazi katika Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kwa lengo la kulinda maslahi ya wafanyakazi dhidi ya madhara yanayotokana na kazi. Mhe. Sangu…

    Continue Reading

  • Wabunifu watakiwa kulinda kazi zao za sanaa

    Wabunifu watakiwa kulinda kazi zao za sanaa

    Dar es Salaam. Wabunifu na wasanii vijana nchini wametakiwa kutambua thamani ya kazi zao za ubunifu kwa kuzilinda kisheria, kuzisimamia kibiashara na kuzitumia kama nyenzo ya kujenga uchumi wao na wa Taifa. Wito huo umetolewa kupitia mafunzo maalumu ya siku mbili kwa wabunifu wa sanaa aina mbalimbali vijana 50 yaliyoandaliwa na Jakaya Mrisho Kikwete Foundation…

    Continue Reading

  • CZECHIA NA AFRIKA KUSINI WAGAWANA POINTI KOMBE LA DUNIA 2026 – Habari Mpya

    CZECHIA NA AFRIKA KUSINI WAGAWANA POINTI KOMBE LA DUNIA 2026 – Habari Mpya

    Timu ya Taifa ya Afrika Kusini imefanikiwa kutoka sare ya mabao 1-1 dhidi ya Czechia katika mchezo wa hatua ya makundi ya Kombe la Dunia 2026 uliochezwa leo, Juni 18, nchini Mexico. Afrika Kusini, ambao wapo Kundi A, wamefikisha alama moja baada ya matokeo hayo na kwa sasa wanashika nafasi ya mwisho kwenye kundi hilo.…

    Continue Reading

  • Wahisiwa 64 wa Ebola wabainika Tanzania, Serikali yaongeza ulinzi mipakani

    Wahisiwa 64 wa Ebola wabainika Tanzania, Serikali yaongeza ulinzi mipakani

    Dodoma. Ili kukabiliana na ugonjwa wa Ebola nchini, Serikali imepeleka maabara mbili Jongezi katika mikoa ya Kagera na Kigoma, kwa ajili ya kuongeza ufanisi katika upimaji wa sampuli kwa wahisiwa wa Ebola hususani wanaoingia nchini kutoa mataifa jirani. Hatua hiyo inajiri huku kukiwa na wahisiwa 64 wa ugonjwa wa Ebola nchini kutoka mikoa 21, ambapo…

    Continue Reading

  • MKURUGENZI WA UCHAGUZI APONGEZA UFANISI NA UWAZI WA MFUMO WA UAGIZAJI MAFUTA KWA PAMOJA – Habari Mpya

    MKURUGENZI WA UCHAGUZI APONGEZA UFANISI NA UWAZI WA MFUMO WA UAGIZAJI MAFUTA KWA PAMOJA – Habari Mpya

    Na Mwandishi Wetu Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Ramadhan Kailima, amepongeza ufanisi na uwazi wa Mfumo wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja unaosimamiwa na Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja, akieleza kuwa mfumo huo umechangia kuimarisha ukusanyaji wa mapato ya Serikali na kuhakikisha upatikanaji wa mafuta nchini. Bw. Kailima alitoa…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports