Category: Habari
-
WATUMISHI WANAOGHUSHI BARUA ZA UHAMISHO WAONYWA, SITA WAFIKISHWA MAHAKAMANI – Habari Mpya
Na. Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Dodoma WATUMISHI wa umma wanaojihusisha na kughushi barua za uhamisho na nyaraka nyingine za kiutumishi wameonywa kuacha mara moja tabia hiyo, huku Serikali ikieleza kuwa tayari watuhumiwa sita wamefikishwa mahakamani kwa makosa ya uhujumu uchumi yanayohusiana na vitendo hivyo. Onyo hilo limetolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya…
-
WIZARA YA FEDHA YAOMBA SH. TRILIONI 21.3 KWA BAJETI YA 2026/27 – Habari Mpya
Na Benny Mwaipaja, Dodoma Dodoma 2 Juni, 2026: Serikali kupitia Wizara ya Fedha imeliomba Bunge kuidhinisha jumla ya shilingi trilioni 21.3 kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara hiyo pamoja na taasisi zake kwa Mwaka wa Fedha 2026/27. Akiwasilisha Mapendekezo ya Mpango na Bajeti bungeni, Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb),…
-

Sekta Binafsi kichocheo utekelezaji Dira 2050
ARUSHA: SERIKALI imesema kuwa zaidi ya asilimia 70 ya fedha zinazohitajika kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 zinatarajiwa kutoka sekta binafsi, huku Mfuko wa Kukuza Ukuaji wa Uwekezaji Tanzania (TIGF) ukizinduliwa kama jukwaa la kuandaa miradi na kuunganisha fursa za maendeleo na mitaji ya wawekezaji wa ndani na nje ya nchi. Hayo yamesemwa na…
-

SERIKALI KUIMARISHA MIFUMO YA USIMAMIZI WA MAAFA – Habari Mpya
Na mwandishi wetu, Morogoro SERIKALI imeendelea kuimarisha mifumo ya uratibu, kujiandaa na kukabiliana na maafa ili kuhakikisha misaada ya kibinadamu inayotolewa inawafikia walengwa kwa wakati, ufanisi na kwa kuzingatia viwango vya kimataifa. Hayo yameelezwa leo tarehe 02 Juni, 2026 na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Usimamizi wa Maafa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge,…
-

MTANZANIA WA KWANZA MWENYE ULEMAVU KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA KUTUMIA KITI MWENDO – Habari Mpya
Na Albano Midelo Wakati wengi walidhani ajali ilizika ndoto zake milele, Deogratius Chami ameandika historia mpya Tanzania kwa kuwa mtu wa kwanza mwenye ulemavu wa kutumia kiti mwendo kufika kilele cha Mlima Kilimanjaro (Uhuru Peak, mita 5,895). Chami, mzaliwa wa Moshi ambaye hivi sasa ni Mkurugenzi wa Kilimanjaro Disability Royour Tour and Safaris, alifikia mafanikio…
-

MASAUNI AELEKEZA NEMC, NCMC KUONGEZA BAJETI YA VIJANA WA KUJITOLEA – Habari Mpya
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akisalimiana na Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi, na viongozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa ajili ya kuhudhuria Kongamano la Vijana, linalofanyika Jijini Dar es Salaam, Juni 2,…
-

Paris kuipa Kiswahili jukwaa jipya la fursa
KWA muda mrefu, Kiswahili kilijulikana kama lugha ya mwambao wa Afrika Mashariki. Kilisikika katika mitaa ya Dar es Salaam, masoko ya Zanzibar, vijiji vya Pwani na maeneo mbalimbali ya Kenya, Uganda na nchi jirani. Wakati huo, haikuwa rahisi kufikiria kuwa siku moja lugha hiyo ingeweza kufundishwa katika vyuo vikuu vya Marekani, Ulaya na Asia, au…
-

Sita mbaroni Kigoma kwa kuchoma lori lililomgonga bodaboda
Kigoma. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma linawashikilia watu sita kwa kosa la kufanya vurugu na kuchoma moto lori la kubebea mchanga aina ya Howo, baada ya dereva wa gari hilo kumgonga na kumsababishia kifo mwendesha bodaboda. Tukio hilo lilitokea Juni Mosi, 2026 katika Mtaa wa Mnarani, karibu na ofisi ya mabasi ya Adventure, Manispaa…
-

Kilichobainika baada ya uchunguzi Mradi wa Nyengedi – 2
Lindi/Mtwara. Nyuma ya uzio unaozunguka Mradi wa Nyengedi, kuna simulizi za wananchi waliopoteza ardhi yao kwa matumaini ya maendeleo, lakini mpaka sasa wamebaki bila fidia wala majibu. Uchunguzi wa Mwananchi umebaini mradi huo haukuishia tu kukwama, bali umeacha athari kwa wakazi waliotoa maeneo yao kupisha uwekezaji huo. Ismail Mituka, mkazi wa Kata ya Nyandeni ni…
-
MRADI WA RISE WAREJESHA FARAJA KWA WANANCHI KILOSA, BARABARA YA LUDEWA–LUMBIJI SASA YAPITIKA KWA UHAKIKA – Habari Mpya
Kilosa, Morogoro Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) chini ya mradi wa RISE kupitia programu ya uondoaji vikwazo katika barabara (bottleneck) umekamilisha matengenezo katika maeneo korofi ya barabara ya Ludewa-Lumbiji yenye urefu wa Kilomita 21 katika kata ya Lumbiji wilayani Kilosa mkoani Morogoro. Akizungumza wakati wa ziara ya kukagua miradi ya RISE inayotekelezwa…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed











