Category: Habari

  • Baba Levo agusia umuhimu wa upinzani, maridhiano – 2

    Baba Levo agusia umuhimu wa upinzani, maridhiano – 2

    Dar es Salaam. Mbunge wa Kigoma Mjini (CCM), Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo amesema anatamani kuona maridhiano yatakayoliunganisha Taifa na kujenga heshima kati ya watawala na wapinzani ili nchi ‘itembee’ katika njia inayofaa. Anasema uwepo wa upinzani ni muhimu kwa sababu husaidia kuonesha maeneo yenye changamoto ndani ya Serikali akisisitiza kuwa: “Napenda kuwepo kwa upinzani…

    Continue Reading

  • Chadema, Msajili wajadiliana lakini mambo bado..

    Chadema, Msajili wajadiliana lakini mambo bado..

    Dar es Salaam. Wakati Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ikisema haikionei Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), uongozi wa chama hicho umedai kuwa ofisi hiyo imeshindwa kuzingatia misingi ya weledi na utawala bora katika utekelezaji wa majukumu yake, hususan kwa kuvujisha kwa umma barua zinazoandikiwa. Pia, Chadema imeituhumu Ofisi ya Msajili kwa kupotosha…

    Continue Reading

  • Mapya Tume ya Jaji Lila, mahakama yasema…

    Mapya Tume ya Jaji Lila, mahakama yasema…

    Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Kigoma imeamuru wajumbe wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Kijinai katika Matukio ya Ghasia za Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, waitwe mahakamani hapo kwa kutangazwa kupitia Gazeti la Mwananchi. Uamuzi huo umetolewa jana Jumatatu, Juni Mosi, 2026 na  Jaji Agustine Rwizile, anayesikiliza shauri…

    Continue Reading

  • Emmanuela aibuka na ushindi wa 93.5% Isimani

    Emmanuela aibuka na ushindi wa 93.5% Isimani

    IRINGA: Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mdogo wa ubunge wa Jimbo la Ismani, Emmanuela Mtatifikolo, ameibuka mshindi kwa ushindi wa kishindo baada ya kupata kura 70,905, sawa na asilimia 93.5 ya kura halali 75,874 zilizopigwa. Matokeo hayo yalitangazwa rasmi na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Ismani, Caroline Otieno, baada ya kukamilika…

    Continue Reading

  • Huyu hapa mrithi wa Lukuvi Ismani

    Huyu hapa mrithi wa Lukuvi Ismani

    Iringa. Mgombea wa ubunge wa Jimbo la Ismani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuela Mtatifikolo ameibuka mshindi baada ya kupata kura 70,905 kati ya kura halali 75,874 zilizopigwa katika uchaguzi wa jimbo hilo. Matokeo hayo yametangazwa rasmi leo Juni 2, 2026 na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Ismani, Caroline Ang’wen Otieno, baada ya kukamilika…

    Continue Reading

  • RAIS DKT. SAMIA AELEKEA MOSCOW URUSI KWA ZIARA YA KITAIFA – Habari Mpya

    RAIS DKT. SAMIA AELEKEA MOSCOW URUSI KWA ZIARA YA KITAIFA – Habari Mpya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya Picha alipoondoka Katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere Dar es salaam kuelekea Nchini Urusi kwenye Ziara ya Kitaifa ikiwa ni Mwaliko wa Rais wa Shirikisho la Urusi Mhe. Vladimir Putin Leo Juni 02,2026.

    Continue Reading

  • Kafulila kuongoza mhadhara sekta ya umma, binafsi

    Kafulila kuongoza mhadhara sekta ya umma, binafsi

    DODOMA: Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Centre, David Kafulila, anatarajiwa kuwa na Mhadhara Maalum wa Umma Chuo Kikuu cha Dodoma kesho ukijikita katika nafasi ya ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) katika kuharakisha maendeleo ya Tanzania kuelekea Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Mhadhara huo, ulioandaliwa na College of Business and Economics…

    Continue Reading

  • NAIBU WAZIRI KWAGILWA ATEMBELEA BANDA LA TANESCO KWENYE MAONESHO KUELEKEA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI – Habari Mpya

    NAIBU WAZIRI KWAGILWA ATEMBELEA BANDA LA TANESCO KWENYE MAONESHO KUELEKEA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI – Habari Mpya

    *Aipongeza TANESCO kuendelea kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi ya kupikia kwa umeme. *Ahimiza TANESCO kuendelea kupanda miti kwa wingi kwenye vyanzo vya uzalishaji wa umeme Na. Mariam Juma, Dodoma Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Kwagilwa Reuben leo Juni 01, 2026 ametembelea banda la Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwenye…

    Continue Reading

  • Kiswahili, hazina ya Tanzania – HabariLeo

    Kiswahili, hazina ya Tanzania – HabariLeo

    WAKATI mataifa mengi duniani yakitafuta njia za kukuza uchumi, kuimarisha diplomasia na kuunganisha wananchi wake, Tanzania inaendelea kunufaika na hazina kubwa ya lugha ya Kiswahili ambayo sasa imekuwa alama ya utambulisho wa Afrika na daraja la mawasiliano ya kimataifa. Kutoka Marekani hadi China, Ujerumani hadi Korea Kusini, Kiswahili kinaendelea kufundishwa katika taasisi mbalimbali za elimu…

    Continue Reading

  • SERIKALI YAENDELEA KUIMARISHA ULINZI WA WATOTO NA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA – Habari Mpya

    Na Oscra Tarimo WMJJWM- Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imeendelea kuimarisha juhudi za kulinda watoto na kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa kutekeleza afua mbalimbali katika jamii na taasisi za elimu nchini. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports