Category: Habari
-
NILIVYOPATA MTEJA WA KWANZA KUPITIA FACEBOOK BAADA YA BIASHARA YANGU KUKAA MIEZI BILA MAUZO YA MAANA – Habari Mpya
Kwa miaka mingi nilikuwa naishi maisha ya kutafuta kazi kila siku bila mafanikio ya maana. Baada ya kumaliza masomo, nilikuwa na matumaini makubwa kwamba ningepata kazi nzuri haraka. Nilikuwa na ndoto ya kusaidia familia yangu, kujitegemea, na kuishi maisha bora. Lakini mambo hayakwenda kama nilivyotarajia. Nilianza kutuma applications kila mahali. Mara nyingine nilikuwa nikiitwa interviews,…
-
DC SITTA AWATAKA WAJASIRIAMALI KUTUMIA FURSA ZA SERIKALI KUIMARISHA BIASHARA ZAO – Habari Mpya
WITO umetolewa kwa wajasiriamali nchini kutumia kikamilifu fursa mbalimbali zinazowekwa na Serikali ili kuongeza uzalishaji, kupanua masoko na kukuza biashara zao kwa manufaa ya uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Benjamin Sitta, wakati akifungua mafunzo maalumu ya ujasiriamali yaliyoandaliwa na Mbunge wa Iringa…
-

Bandari zahimizwa kutumia nishati safi kuendesha shughuli zao
Dar es Salaam. Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limezitaka kampuni zinazofanya kazi za bandari nchini kugeukia nishati safi katika kuendesha shughuli zao za kila siku ili kupunguza uzalishaji hewa ukaa. Wito huo umetolewa leo Juni Mosi, 2026 jijini Dar es Salaam na Ofisa Mazingira kutoka NEMC, Jackline Wikechi wakati wa…
-

CCM TANGA YAKABIDHI MILIONI 500 KUKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA 36 ZA WATUMISHI – Habari Mpya
Yalenga Kuimarisha Ufanisi wa Chama Na Oscar Assenga, TANGA Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga kimeongeza kasi ya utekelezaji wa mradi wake wa ujenzi wa nyumba 36 za watumishi baada ya Mwenyekiti wa chama hicho mkoani humo, Rajab Abdulrahman, kukabidhi shilingi milioni 500 kwa ajili ya kukamilisha mradi huo unaotekelezwa katika wilaya tisa za…
-

Matumaini mapya tiba wenye kisukari
Dar es Salaam. Kwa zaidi ya miaka 100 tangu kugunduliwa kwa insulini mwaka 1921, wagonjwa wa kisukari, hasa aina ya kwanza (Type 1), wamekuwa wakitegemea sindano za insulini kuishi. Hata hivyo, maendeleo ya hivi karibuni kutoka China yameibua matumaini kwamba siku moja baadhi ya wagonjwa wanaweza kuishi bila sindano hizo. Watafiti wa Chuo Kikuu cha…
-

CCM yaitaka TFS kurejesha pikipiki walizokamata
MANYARA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewaelekeza Viongozi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mkoa wa Manyara kuhakikisha pikipiki zilizokamatwa kutoka kwa wananchi zinarejeshwa mara moja kwa wahusika ambao wamenyang’anywa. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Kenani Kihongosi ametoa maagizo hayo leo Juni Mosi, 2026 katija viwanja vya Shule ya…
-

Ngajilo aendelea kuwawezesha wajasiriamali Iringa
IRINGA: Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Fadhili Ngajilo, ameendelea kuonyesha dhamira ya kuwawezesha wananchi kiuchumi kwa kuratibu mafunzo maalumu ya ujasiriamali awamu ya pili yanayowakutanisha zaidi ya wajasiriamali 400 wa Manispaa ya Iringa. Mafunzo hayo yanalenga kuwajengea uwezo wa kuanzisha, kusimamia na kukuza biashara endelevu. Mafunzo hayo yamekuja wakati ambapo Serikali na wadau wa…
-

ISMANI WAJITOKEZA KWA WINGI KUMCHAGUA MRITHI WA LUKUVI – Habari Mpya
Wananchi wa Kijiji cha Mkungugu jimbo la Ismani katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa mkoani Iringa wakiwa katika foleni ya kupiga kura ya kumchagua Mbunge wao katuika uchaguzi mdogo uliyofanyika leo Juni 01, 2026. Mwananchi Mkazi wa wa Kijiji cha Kihongorota katika Halmashauri yaWilaya ya Iringa mkoani Iringa, Angelista Mwenda akipiga kura katika uchaguzi mdogo…
-

Balozi Sefue, Nape watakavyomkumbukwa Msusa, ubingwa wa Arsenal…
Dar es Salaam. Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu, Balozi Ombeni Sefue amemtaja Mwenyekiti mstaafu wa Bodi ya Mwananchi Communications Limited (MCL), marehemu Leonard Mususa kuwa mtu aliyeheshimu, kupenda na kuwajali wengine. Wakati Balozi Sefue akimkumbuka kwa hayo, Patrick ambaye ni mtoto wa kwanza wa Mususa ametaja kumbukumbu za mwisho kabla ya kifo cha baba yake, jinsi…
-

WATU WANNE WAMEFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA GARI KUACHA NJIA NA KUPINDUKA MKOANI MBEYA. – Habari Mpya
Mei 31, 2026 saa 9:10 alasiri huko maeneo ya maji mazuri katika barabara ya Mbeya – Chunya, Gari yenye namba za usajili T134DFB aina ya Mitsubishi Basi la abiria kampuni ya Mwasote likitokea Mbeya kuelekea Chunya likiendeshwa na dereva Nehemia Sanga [50] mkazi wa Uyole iliacha njia, kupinduka na kusababisha vifo vya watu wanne wanaume…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed











