Category: Habari
-

NAIBU WAZIRI MAGHEMBE AMUAGA BALOZI WA AUSTRALIA – Habari Mpya
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe (Mb) amekutana na Balozi wa Australia nchini Tanzania anayemaliza muda wake, Mhe. Jenny Da Rin kwa madhumuni ya kumuaga. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar es lSalaam, tarehe 1 Juni, 2026, Mhe. Dkt. Maghembe alimpongeza…
-

Mpina ahoji kuundwa Tume mbili kwa tukio moja
Dar es Salaam. Aliyekuwa mgombea urais kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema Tume ya kuchunguza jinai katika mauaji ya wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, haitatatua tatizo la msingi bali ni kupoteza muda, matumizi mabaya ya fedha za umma na kutaka kufunika ukweli. Mpina ameyasema hayo leo Juni Mosi, 2026 jijini…
-
SERIKALI INAENDELEA NA UTEKELEZAJI WA MAPENDEKEZO YA TUME YA HAKI JINAI – Habari Mpya
Serikali imeandaa mkakati maalum wa utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai ambao umeainisha shughuli mbalimbali zitakazotekelezwa kwa muda mfupi, wa kati na muda mrefu ili kuimarisha sekta ya utoaji haki nchini. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Zainab Katimba, wakati akijibu swali la Mbunge wa Tunduru, Mhe. Ado Shaibu,…
-

DKT. MWIGULU ASHIRIKI IBADA YA MAZISHI YA DIWANI AGNES NASANIA WILAYANI IRAMBA – Habari Mpya
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Jumatatu Juni 1, 2026 ameshiriki ibada ya mazishi ya Diwani wa Kata ya Shelui, Mhe. Agnes Nasania, iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Shelui, wilayani Iramba mkoani Singida. Akizungumza katika ibada hiyo, Dkt. Mwigulu amesema marehemu Agnes Nasania alikuwa kiongozi jasiri, mkweli na mwenye…
-

WANAFUNZI 246,197 WALIOPANGIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO WANAPASWA KURIPOTI SHULENI JULAI 04, 2026 – PROF. SHEMDOE – Habari Mpya
Na OWM – TAMISEMI, Dar es Salaam Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amesema jumla ya wanafunzi 246,197 wakiwemo wasichana 114,102 na wavulana 132,095 waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano mwaka 2026 wanatakiwa kuripoti shuleni kuanzia Julai 04, 2026 hadi Julai 31,…
-

Maendeleo ya Jamii waja na mpango kizazi cha Tanzania ya 2050
Dodoma. Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, imetaja vipaumbele saba itakavyovitekeleza katika mwaka wa fedha 2026/27 kupitia bajeti ya Sh108.02 bilioni iliyoomba kuidhinishiwa na Bunge. Akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo bungeni leo Jumatatu, Juni Mosi, 2026, Waziri wa wizara hiyo, Dk Dorothy Gwajima amesema vipaumbele hivyo vinalenga…
-

Msajili: Hatuionei Chadema, tunataka sheria iheshimiwe
Dar es Salaam. Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza amesema Ofisi hiyo haikionei Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), bali inasimamia utekelezaji wa sheria ya vyama vya siasa bila upendeleo kwa chama chochote. Amesema wingi wa barua inazokiandikia Chadema kuhitaji maelezo kuhusu kauli za viongozi wake hauwezi kutumika kama kigezo cha kuonyesha kuwa…
-

Wawakilishi wahoji usalama taarifa za Serikali Zanzibar
Unguja. Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamehoji usalama wa Taifa na taarifa za Serikali kutokana na matumizi ya mifumo ambayo inaundwa na inamilikiwa na kampuni kutoka mataifa mengine. Hayo yamebanishwa leo Juni mosi, 2026 wakati wakijadili makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mawasiliano, Teknolojia ya Habari na Ubunifu Barazani Chukwani, Unguja Zanzibar. Akichangia…
-

Wanne wafariki 29 wajeruhiwa ajali ya basi Mbeya
Mbeya. Watu wanne wamefariki dunia na wengine 29 kujeruhiwa katika ajali iliyotokea eneo la Maji Mazuri katika barabara ya Mbeya – Chunya ikihusisha basi la kampuni ya Mwasote. Hii ni ajali ya pili kutokea ndani ya wiki moja, ambapo awali ilitokea wilayani Mbarali Mei 30 iliyoua watatu na kujeruhi wanne ikihusisha magari mawili basi la…
-

Takukuru yakirejeshea mali kikundi cha Asante Mbeya Project ikitoa onyo
Mbeya. Wakati Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mbeya ikirejesha mali za kikundi cha Asante Mbeya Project zenye thamani ya Sh150 milioni, wananchi wametakiwa kabla ya kujiunga na vikundi vya umoja kuhakikisha vimesajiliwa kwa mujibu wa sheria. Akizungumza leo Juni Mosi, 2026 ofisini kwake, Naibu Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Mbeya,…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed











