Category: Habari

  • Wananchi waomba zahanati Masakta ipandishwe hadhi, Kihongosi atoa neno

    Wananchi waomba zahanati Masakta ipandishwe hadhi, Kihongosi atoa neno

    Hanang. Wananchi wa Kijiji cha Masakta, Kata ya Masakta wilayani Hanang, mkoani Manyara, wameiomba Serikali kupandisha hadhi Zahanati ya Masakta na kuiboresha kwa kuongeza watumishi pamoja na huduma muhimu za matibabu ili kuboresha huduma za afya kwa wakazi wa eneo hilo. Ombi hilo liliwasilishwa leo, Juni 1, 2026, na Mwenyekiti wa Shina Namba Moja, Tawi…

    Continue Reading

  • WAKUU WA RASILIMALIWATU SIMAMIENI MAAGIZO YA SERIKALI KWA UFANISI – Habari Mpya

    WAKUU WA RASILIMALIWATU SIMAMIENI MAAGIZO YA SERIKALI KWA UFANISI – Habari Mpya

    Na. Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete, amewataka Wakuu wa Idara na Vitengo vya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu nchini kusimamia kikamilifu utekelezaji wa maagizo ya Serikali ili kuongeza ufanisi katika Utumishi wa Umma.Akifungua kikao kazi cha Wakuu wa Idara…

    Continue Reading

  • CCM yakemea tabia ya kiburi kwa viongozi

    CCM yakemea tabia ya kiburi kwa viongozi

    Hanang’. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimekemea tabia ya kiburi cha madaraka, migawanyiko na kutanguliza masilahi binafsi ndani ya chama na Serikali, kikieleza kuwa hali hiyo inadhoofisha utendaji na kupunguza kasi ya maendeleo kwa wananchi. Kauli hiyo imetolewa leo Juni 1, 2026 na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo,…

    Continue Reading

  • Hanang yafikia 97% upatikanaji maji

    Hanang yafikia 97% upatikanaji maji

    MANYARA: Upatikanaji wa Maji katika Wilaya ya Hanang’ mkoani Manyara sasa umefikia asilimia 97, huku zaidi ya wananchi 35,000 wilayani humo wanatajwa kunufaika na huduma ya maji kupitia mradi Mradi wa Chujio la Maji la Jorodom wenye thamani ya Sh bilioni 1.1. Akizungumza mara baada ya kukagua mradi huo leo Juni Mosi, 2026 Katibu wa…

    Continue Reading

  • Kihongosi: Msingi wa CCM ni kutatua kero za wananchi

    Kihongosi: Msingi wa CCM ni kutatua kero za wananchi

    MANYARA: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amesema msingi mkuu wa chama chao ni kusikiliza wananchi na kuhakikisha changamoto zao zinapatiwa ufumbuzi. Kihongosi amesema hayo leo Juni Mosi, 2026 wakati akizungumza na wanachama na wananchi wa Shina Namba Moja, Tawi la Masakta, Kata ya Masakta wilayani…

    Continue Reading

  • SERIKALI KUSHIRIKIANA NA TAASISI ZA DINI KUIMARISHA MAADILI JAMII – Habari Mpya

    SERIKALI KUSHIRIKIANA NA TAASISI ZA DINI KUIMARISHA MAADILI JAMII – Habari Mpya

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu amesema Serikali itaendelea kushirikiana na Taasisi za Dini nchini kuimarisha maadili kwa jamii na kukuza maemdeleo. Mhr. Sangu amesema hayo alipomwakilisha Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba katika hafla ya kumsimika uaskofu mchungaji Daniely Liyaseke wa Kanisa la The Charismatic…

    Continue Reading

  • Sh bilioni 5.8 kubadili sura utoaji huduma Hanang

    Sh bilioni 5.8 kubadili sura utoaji huduma Hanang

    MANYARA: Serikali ya Awamu ya Sita imewekeza zaidi ya Sh bilioni 5.8 katika ujenzi wa Jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’, mkoani Manyara mradi unaotarajiwa kuleta mapinduzi makubwa katika utoaji wa huduma kwa wananchi wa wilaya hiyo. Hayo yamebainishwa leo Juni Mosi, 2026 Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama…

    Continue Reading

  • Kesi meno ya tembo ya Sh983 milioni yaahirishwa

    Kesi meno ya tembo ya Sh983 milioni yaahirishwa

    Dar es Salaam. Mshtakiwa Faki Shaal (54) na wenzake watatu wanaokabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kumiliki vipande 19 vya meno ya tembo yenye thamani ya Sh983 milioni, wataendelea kusota rumande kutokana na upelelezi wake kutokamilika. Wakili wa Serikali Mwandamizi, Leonard Chalo ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Jumatatu Juni 1, 2026, wakati ilipotajwa.…

    Continue Reading

  • Wanne wafa, 29 wajeruhiwa ajali ya basi Mbeya

    Wanne wafa, 29 wajeruhiwa ajali ya basi Mbeya

    MBEYA: Watu wanne wamefariki na wengine 29 kujeruhiwa kufuatia ajali ya basi la abiria iliyotokea mkoani Mbeya baada ya gari hilo kuacha njia na kupinduka katika eneo lenye kona kali kwenye barabara ya Mbeya kuelekea wilayani Chunya. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga, amesema ajali hiyo ilitokea Mei 31, 2026, majira…

    Continue Reading

  • SERIKALI KUSHIRIKIANA NA TAASISI ZA DINI KUIMARISHA MAADILI JAMII – Habari Mpya

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu amesema Serikali itaendelea kushirikiana na Taasisi za Dini nchini kuimarisha maadili kwa jamii na kukuza maemdeleo. Mhr. Sangu amesema hayo alipomwakilisha Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba katika hafla ya kumsimika uaskofu mchungaji Daniely Liyaseke wa Kanisa la The Charismatic…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports