Category: Habari

  • JUWAKITA YATOA WITO KWA WAZAZI KUIMARISHA MALEZI YA WATOTO  – Habari Mpya

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Kiislamu Tanzania (JUWAKITA) Mkoa wa Mwanza, Amina Masenza, amewataka wazazi na walezi kushiriki kikamilifu katika mijadala ya malezi ya watoto ili kusaidia kukabiliana na changamoto ya mmomonyoko wa maadili unaoendelea kujitokeza katika jamii.  Amesema ushiriki wa wazazi katika malezi bora ni msingi muhimu wa kujenga taifa lenye vijana wenye maadili…

    Continue Reading

  • Mapambano dawa za kulevya yaendelea kuzaa matunda

    Mapambano dawa za kulevya yaendelea kuzaa matunda

    DODOMA: Serikali imesema imeendelea kupata mafanikio makubwa katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya nchini kutokana na kuimarika kwa operesheni za udhibiti, ushirikiano wa vyombo vya dola pamoja na utoaji wa elimu kwa jamii. Hayo yameelezwa leo Mei 29, 2026 jijini Dodoma na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye…

    Continue Reading

  • Dawa za kulevya kwenye vyakula zatikisa Tanzania

    Dawa za kulevya kwenye vyakula zatikisa Tanzania

    Dodoma. Wimbi jipya la matumizi ya dawa za kulevya kupitia vyakula na vinywaji limeibua hofu nchini, huku mamlaka zikionya kuwa mbinu hiyo inazidi kuenea kwa kasi na kuwaweka hatarini vijana na watoto wa shule. Ujanja wa wafanyabiashara wa dawa hizo unaonyesha kuwa bangi na viambata vyake vinaingizwa kwenye bidhaa za kawaida zinazotumiwa majumbani na maeneo…

    Continue Reading

  • Serikali yaimarisha mazingira usafiri mtandao

    Serikali yaimarisha mazingira usafiri mtandao

    DAR ES SALAAM: SERIKALI imesema itaendelea kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji wa huduma za usafiri wa mtandao huku ikisisitiza kuwa sekta hiyo imekuwa mhimili muhimu wa ukuaji wa uchumi, ajira kwa vijana na maendeleo ya huduma za kidijiti nchini. Kauli hiyo imetolewa leo Dar es Salaam na Mkurugenzi Msaidizi wa Usafiri kwa njia ya Barabara…

    Continue Reading

  • CCM yaonya watakaokwamisha huduma kwa wananchi

    CCM yaonya watakaokwamisha huduma kwa wananchi

    KILIMANJARO: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakitakuwa tayari kuvumilia mtumishi yeyote wa chama au serikali atakayekwamisha jitihada za utoaji huduma kwa wananchi, kikisisitiza kuwa hatua zitachukuliwa bila kuangalia cheo, umaarufu wala umri wa mhusika. Kauli hiyo imetolewa leo Mei 29,2026 na Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Kenani Kihongosi alipotembelea na…

    Continue Reading

  • Sh Bilioni 4.4 zaboresha mazingira ya elimu Siha

    Sh Bilioni 4.4 zaboresha mazingira ya elimu Siha

    KILIMANJARO: SERIKALI ya Awamu ya Sita imeendelea kuboresha mazingira ya kujifunzia kwa wanafunzi wa kike nchini kupitia uwekezaji mkubwa wa miundombinu ya elimu, ambapo zaidi ya Sh bilioni 4.4 zimetumika kujenga Shule ya Sekondari ya Wasichana Kilimanjaro wilayani Siha mkoani Kilimanjaro. Akizungumza baada ha kukagua shule hiyo leo Mei 29,2026 Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi…

    Continue Reading

  • MKUTANO WA 48 WA SCTIFI WAANZA JIJINI ARUSHA – Habari Mpya

    MKUTANO WA 48 WA SCTIFI WAANZA JIJINI ARUSHA – Habari Mpya

    Mkutano wa 48 wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji (SCTIFI) la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeanza leo, Mei 29, 2026 katika Makao Makuu ya Jumuiya hiyo jijini Arusha. Mkutano huo umeanza kwa kikao cha ngazi ya Wataalamu kitakachofanyika kuanzia Mei 29 hadi Juni 1, 2026, nakufuatiwa na Makatibu…

    Continue Reading

  • MAKAMU WA RAIS AONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA MAREHEMU BI SUZANA MAGUFULI – Habari Mpya

    MAKAMU WA RAIS AONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA MAREHEMU BI SUZANA MAGUFULI – Habari Mpya

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mazishi ya Marehemu Bi. Suzana Ngolo Magufuli, ambaye ni Mama wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe…

    Continue Reading

  • Familia yasimulia bodaboda aliyejirusha daraja la Kijazi

    Familia yasimulia bodaboda aliyejirusha daraja la Kijazi

    Dar es Salaam. Ndugu wa kijana Alex Bumbuni aliyefariki baada ya kujirusha chini ya lori daraja la Kijazi, wamesimulia hali aliyokuwa nayo ndugu yao siku chache kabla ya kufikwa na umauti. Alex aliyekuwa dereva bodaboda mwenye miaka 20, alifariki Jumatano Mei 27, 2026 saa 11 kuelekea 12 jioni baada ya kujirusha kwenye lori ambalo lilikuwa…

    Continue Reading

  • Rulenge wazindua AMCOs kuboresha masoko ya mazao

    Rulenge wazindua AMCOs kuboresha masoko ya mazao

    KAGERA: Wananchi wanaojishughulisha na kilimo cha mazao katika Tarafa ya Rulenge, wilayani Ngara mkoani Kagera, kwa pamoja wameanzisha Chama cha Msingi Rulenge (AMCOs) ambacho kitawasaidia kukusanya mazao yao na kufuatilia bei nzuri za masoko kwa ajili ya kuuza kwa pamoja mazao ya kahawa, maharage, mahindi, parachichi na alizeti. Mwenyekiti wa bodi ya uanzishwaji wa chama…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports