Category: Habari

  • UMOJA WA KITAIFA NI MUHIMU KATIKA UTEKELEZAJI WA DIRA 2050 – WAZIRI DEUS SANGU – Habari Mpya

    UMOJA WA KITAIFA NI MUHIMU KATIKA UTEKELEZAJI WA DIRA 2050 – WAZIRI DEUS SANGU – Habari Mpya

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano ya Kazi, Mheshimiwa Deus Sangu, akihutubia Viongozi na Wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa katika warsha iliyolenga kujadili dhana ya mahusiano na ushirikishwaji, iliyofanyika katika Ukumbi wa Nashera, Mkoa wa Morogoro, tarehe 17 Juni 2026. Msajili wa Vyama vya Siasa, Mheshimiwa Jaji…

    Continue Reading

  • Jinsi ya kukieleza kizazi cha simu janja kuhusu kazi

    Jinsi ya kukieleza kizazi cha simu janja kuhusu kazi

    Dar es Salaam.  Katika kipindi cha miaka ishirini iliyopita, dunia ya kazi imepitia mabadiliko makubwa ambayo hayajawahi kushuhudiwa hapo awali. Wakati zamani kazi ilitafsiriwa kama uwepo wa mfanyakazi ofisini kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa kumi na moja jioni, leo dhana hiyo imebadilika kwa kasi kubwa. Kwa kizazi cha simu janja, maarufu kama Smartphone Generation,…

    Continue Reading

  • Shigela ataka umeme shule za umma Geita

    Shigela ataka umeme shule za umma Geita

    GEITA: MKUU wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela ameagiza watendaji wa serikali kusimamia na kuhakikisha shule za umma zinafikiwa na nishati ya umeme kupitia mradi wa umeme vijijini. Shigela alitoa maagizo hayo juzi akiwa ziarani wilayani Mbogwe mkoani humo ambapo alipata fursa ya kukagua ujenzi wa miundombinu katika shule ya sekondari Bunigozi na shule zingine.…

    Continue Reading

  • Shilega ataka umeme shule za umma Geita

    Shilega ataka umeme shule za umma Geita

    GEITA: MKUU wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela ameagiza watendaji wa serikali kusimamia na kuhakikisha shule za umma zinafikiwa na nishati ya umeme kupitia mradi wa umeme vijijini. Shigela alitoa maagizo hayo juzi akiwa ziarani wilayani Mbogwe mkoani humo ambapo alipata fursa ya kukagua ujenzi wa miundombinu katika shule ya sekondari Bunigozi na shule zingine.…

    Continue Reading

  • NAIBU WAZIRI NDEGE AGAWA KOMPYUTA, MEZA NA KABATI, KWA SHULE NA ZAHANATI BABATI  – Habari Mpya

    NAIBU WAZIRI NDEGE AGAWA KOMPYUTA, MEZA NA KABATI, KWA SHULE NA ZAHANATI BABATI  – Habari Mpya

    Na Mwandishi wetu, Babati NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Regina Ndege Qwaray amegawa viti 45, kompyuta 36, makabati na meza kwa shule za msingi, sekondari, zahanati na vituo vya Afya, kwenye halmashauri ya wilaya ya Babati mkoani Manyara. Naibu Waziri Ndege amesema vifaa hivyo amevipata…

    Continue Reading

  • Pacha watano waibua furaha, mawazo kwa familia

    Pacha watano waibua furaha, mawazo kwa familia

    Dar es Salaam. Ukiacha furaha iliyoigubika familia ya Simon Mkwizu baada ya mkewe Victoria Mkwizu kujifungua pacha watano kwa mpigo, mzigo wa majukumu ya malezi ni upande mwingine mgumu utakaoifanya familia hiyo iwe na mawazo. Familia hiyo ya dereva wa bajaji na mama asiye na shughuli yoyote ya kuingiza kipato, wakazi wa Tabata jijini Dar…

    Continue Reading

  • Mapya katikati ya usikilizwaji wa kesi ya ubunge wa Baba Levo

    Mapya katikati ya usikilizwaji wa kesi ya ubunge wa Baba Levo

    Dar es Salaam. Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Kigoma, imepanga kuanza kusikiliza kesi ya uchaguzi wa jimbo la Kigoma Mjini leo, Alhamisi, Juni 18, 2026, kuanzia saa 6:00 mchana katika hatua ya ushahidi. Hatua hiyo inatokana na kukamilika kwa taratibu za awali na za msingi za usikilizaji wa kesi hiyo, ambazo zimehitimishwa kupitia hatua ya…

    Continue Reading

  • OWM YASHIRIKI MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2026 DODOMA – Habari Mpya

    OWM YASHIRIKI MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2026 DODOMA – Habari Mpya

    Na, Mwandishi wetu – Dodoma Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu Bi. Stella Mwaiswaga pamoja na Watumishi wengine kutoka Ofisi hiyo wameshiriki ufunguzi wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi tarehe 17 Juni, 2026 katika viwanja vya Chinangali Park Jijini Dodoma.  Maonesho…

    Continue Reading

  • Sababu Baraza la mawaziri Equatorial Guinea kujiuzulu

    Sababu Baraza la mawaziri Equatorial Guinea kujiuzulu

    Malabo. Baraza la mawaziri la Serikali ya Equatorial Guinea limejiuzulu baada ya kushindwa kutekeleza malengo ya maendeleo iliyokuwa imepewa tangu ilipoteuliwa mwaka 2024, hatua inayotafsiriwa kama pigo kubwa kwa utawala wa taifa hilo linalotegemea kwa kiasi kikubwa sekta ya mafuta na gesi. Tangazo hilo limetolewa leo na Makamu wa Rais wa nchi hiyo, Teodoro Mangue,…

    Continue Reading

  • TATHMINI ZA UTENDAJI ZISIWANYIME WATUMISHI HAKI YA KUPANDA MADARAJA – Habari Mpya

    TATHMINI ZA UTENDAJI ZISIWANYIME WATUMISHI HAKI YA KUPANDA MADARAJA – Habari Mpya

    Na. Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Dodoma  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete, amesema Serikali imeendelea kuboresha ustawi wa watumishi wa umma ambapo kwa mwaka 2025/26 jumla ya watumishi 219,000 waliopandishwa vyeo baada ya kukidhi vigezo vilivyowekwa.Akizungumza Juni 17, 2026 Jijini Dodoma, wakati wa ufunguzi…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports