Category: Habari

  • Mke amuua mume kwa sindano ya sumu kisa wivu wa mapenzi

    Mke amuua mume kwa sindano ya sumu kisa wivu wa mapenzi

    Songwe. Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linamtafuta mwanamke anayefahamika kwa jina la Queen Mbuba kwa tuhuma za mauaji ya mume wake, Shizya Mwangwale (35), mkazi wa Kijiji cha Igunda, Wilaya ya Mbozi. Inadaiwa kuwa Shizya alichomwa sindano inayodhaniwa kuwa na sumu begani upande wa kushoto, kisha baadaye kuchomwa kisu tumboni upande wa kulia na…

    Continue Reading

  • Takukuru yageukia utapeli kwenye makundi ya WhatsApp

    Takukuru yageukia utapeli kwenye makundi ya WhatsApp

    Songwe. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Songwe imetangaza mkakati maalumu wa kudhibiti utapeli na wizi wa kidijitali unaofanyika kupitia vikundi vya mitandao ya kijamii (WhatsApp) katika mji wa Tunduma, Wilaya ya Momba, mkoani Songwe. Hatua hiyo inalenga kulinda fedha za wananchi pamoja na kukomesha utitiri wa vikundi vya kifedha visivyo…

    Continue Reading

  • Mkomi aagiza ushiriki mkutano bila uwakilishi

    Mkomi aagiza ushiriki mkutano bila uwakilishi

    Dodoma. Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi ameagiza Wakurugenzi na Wakuu wa Idara za Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu wote kushiriki kikao kitakachofanyika jijini Dodoma, kwani kimebeba ajenda muhimu zaidi. Mkoani ametoa kauli hiyo leo Jumatano Mei 26, 2026 akisema kikao cha wakuu hao kitafanyika Juni…

    Continue Reading

  • Takukuru Manyara waingilia kati mchanga kununuliwa Sh1.2 milioni llori moja

    Takukuru Manyara waingilia kati mchanga kununuliwa Sh1.2 milioni llori moja

    Babati. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Manyara imeokoa fedha za mradi wa ujenzi wa madarasa matatu na vyoo katika Shule ya Msingi Namalulu wilayani Simanjiro, baada ya kubaini ubadhirifu uliofanywa katika ununuzi wa vifaa vya ujenzi. Naibu Mkuu wa Takukuru mkoani Manyara, Anthony Gang’olo ameeleza hayo mjini Babati Mei 26, 2026…

    Continue Reading

  • Manyara kukusanya Sh886 milioni kuokoa watoto njiti

    Manyara kukusanya Sh886 milioni kuokoa watoto njiti

    Babati. Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba anatarajia kuzindua mbio za Manyara Tanzanite marathon ili kuchangia fedha za ujenzi wa jengo la mama na mtoto na huduma za watoto njiti kwenye Mkoa wa Manyara ili kuokoa maisha yao. Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga akizungumza na Mwananchi Digital Mei 26, 2026 amesema Waziri Mkuu Mwigulu anatarajia…

    Continue Reading

  • Mradi bil 5/- kuing’arisha Lundamatwe

    Mradi bil 5/- kuing’arisha Lundamatwe

    IRINGA: Diwani wa Kata ya Ilole, Erick Kikoti ameendelea kuimarisha mawasiliano kati ya viongozi na wananchi kupitia ziara ya kijiji kwa kijiji inayolenga kusikiliza na kutatua changamoto za wananchi katika vijiji sita vya kata hiyo. Katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika Kijiji cha Lundamatwe na kuhudhuriwa na wananchi kutoka maeneo mbalimbali, Kikoti alisema dhamira yake…

    Continue Reading

  • Sh3.313 trilioni zatumwa na Diaspora Tanzania

    Sh3.313 trilioni zatumwa na Diaspora Tanzania

    Dar es Salaam. Fedha zinazotumwa na Watanzania wanaoishi nje ya nchi zimeongezeka hadi kufikia Sh3.313 trilioni katika mwaka wa fedha 2024/25, hatua inayoonyesha kuongezeka kwa mchango wa diaspora katika uchumi wa nchi. Hayo yamebainishwa na Waziri ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo bungeni jijini Dodoma, leo Jumanne, Mei…

    Continue Reading

  • Wimbo maalumu waachiwa kuadhimisha Siku ya Hedhi Duniani

    Wimbo maalumu waachiwa kuadhimisha Siku ya Hedhi Duniani

    Dar es Salaam. Katika kuadhimisha Siku ya Hedhi Salama Duniani, Shirika la Rafiki wa Binti limezindua wimbo maalumu ukilenga kutoa elimu kwa wasichana kuhusu afya ya hedhi. Siku ya hedhi duniani huadhimishwa kila mwaka Mei 28. Maadhimisho hayo yanalenga kuongeza uelewa kuhusu afya ya hedhi, kupinga unyanyapaa unaohusiana na hedhi, na kuhamasisha upatikanaji wa huduma…

    Continue Reading

  • DIWANI KIKOTI ASIKILIZA KERO ZA WANANCHI NA ATOA TAARIFA ZA MIRADI MIKUBWA INAYOTEKELEZWA LUNDAMATWE – Habari Mpya

    DIWANI wa Kata ya Ilole, Erick Kikoti ameongoza mkutano mkubwa wa hadhara katika Kijiji cha Lundamatwe kwa lengo la kusikiliza kero za wananchi na kutoa taarifa za utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali ya kata hiyo.  Mkutano huo ulihudhuriwa na mamia ya wananchi kutoka vitongoji vya Lundamatwe pamoja na maeneo mengine ya…

    Continue Reading

  • MAHITAJI YA VYUNGU VYA UCHUNGUZI WA SAMPULI ZA MADINI (CRUCIBLES) YAONGEZEKA NCHINI  – Habari Mpya

    MAHITAJI YA VYUNGU VYA UCHUNGUZI WA SAMPULI ZA MADINI (CRUCIBLES) YAONGEZEKA NCHINI  – Habari Mpya

    *Wadau wa Sekta ya Madini Waendelea Kununua Crucibles za GST  Dodoma – Mbwanga Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imeendelea kushuhudia ongezeko kubwa la mahitaji na ununuzi wa vyungu maalumu vya uchunguzi wa sampuli za madini ya metali (crucibles) vinavyozalishwa na taasisi hiyo, hatua inayolenga kuimarisha shughuli za uchunguzi wa madini nchini…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports