Category: Habari
-

Hii hapa timu ya kuchora ramani ya katiba mpya Chadema
Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza wajumbe 11 wanaounda kamati maalumu ya Kamati Kuu yenye lengo la kukwamua na kuendeleza mchakato wa kukusanya maoni ya upatikanaji wa katiba mpya, kabla ya mwaka 2027 ili kuchochea ustawi wa wananchi. Kamati hiyo iliyopewa hadidu za rejea nne na muda wa miezi mitatu kutekeleza…
-

Saba kortini wakidaiwa kuiba lita 2,800 za mafuta
Dar es Salaam. Msimamizi wa tanki la mafuta, Kassim Kongwa (43) na wenzake sita wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo kuongoza genge la uhalifu na wizi wa lita 2,800 za mafuta ghafi, yenye thamani ya Sh26 milioni, mali ya Kampuni ya Mikoani Edible Oil and Detergents Limited. Washtakiwa wengine…
-

JUKWAA LA KWANZA LA WATAALAM WA UNUNUZI NA UGAVI LAZINDULIWA MWANZA,WATAKIWA KUZINGATIA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA – Habari Mpya
Mkuu wa Wilaya ya Misungwi johari samizi (kulia) akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa wazamini wa jukwaa la wataalam wa ununuzi na ugavi lililozinduliiwa rasm jijini mwanza Na Hellen Mtereko,Mwanza Wataalam wa ununuzi na ugavi nchini wametakiwa kuzingatia maadili ya kazi, uwajibikaji na matumizi ya teknolojia ili kuongeza ufanisi katika mnyororo wa ugavi na kuchochea…
-

Tuzo za Tehama kufungua ajira, fursa za kimataifa kwa vijana
Dar es Salaam. Tuzo za Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) zinazotarajiwa kutolewa Julai mwaka huu 2026, zimeelezwa kuwa kichocheo muhimu cha ajira, ubunifu na fursa za kimataifa kwa vijana wa Kitanzania. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo Jumatano Juni 17, 2026, Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Tehama Tanzania (ICTC), Dk Nkundwe Mwasaga, amesema tuzo…
-

Adaiwa kujinyonga kwa shati, kisa mgogoro wa kifamilia
Babati. Mkazi wa Kijiji cha Kiru Six wilayani Babati mkoani Manyara, Sokoya Aako (60) amefariki dunia kwa kudaiwa kujinyonga kwa kutumia shati kutokana na mgogoro wa kifamilia. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Ahmed Makarani akizungumza Juni 17, 2026 amesema tukio hilo limetokea kwenye Kijiji cha Mawemairo wilayani Babati.…
-

TARURA YAFUNGUA FURSA ZA AJIRA KUPITIA VIKUNDI VYA KIJAMII VYA MATENGENEZO YA BARABARA – Habari Mpya
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kupitia mradi wa RISE imeendelea kuimarisha ushiriki wa wananchi katika shughuli za matengenezo ya barabara kwa kutumia vikundi vya Kijamii vya Matengenezo ya Kawaida ya Barabara (CBRM) hatua inayolenga kuongeza ajira, kukuza uchumi wa wananchi na kuhakikisha barabara zinabaki katika hali nzuri mwaka mzima. Akizungumza katika…
-

Mchungaji wa Congo jela miaka mitatu gerezani
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu mchungaji na raia wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC), Jean Mbunzu (35) kulipa faini ya jumla ya Sh1 milioni au kwenda jela miaka mitatu, baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia kitambulisho cha Taifa (Nida) na kutoa taarifa za uongo kwa maofisa wa Uhamiaji. Mbunzu…
-

Mwinyi kuwakilisha Tanzania mkutano wa bahari
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, amewasili jijini Mombasa kwa ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo atamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa 11 wa Kimataifa wa Masuala ya Bahari unaofanyika nchini Kenya. Rais Dk. Mwinyi aliwasili katika Uwanja wa…
-

Ruto anavyonyooshewa kidole ziara za kimataifa, mwenyewe ajitetea
Nairobi. Ziara za nje ya nchi za Rais wa Kenya, William Ruto zimeibua gumzo nchini humo ambapo wananchi na wakosoaji wake wanaona ziara hizo zinaliongezea mzigo taifa hilo la Afrika Mashariki, hasa wakati huu ambao kuna mfumuko wa bei. Ruto amefanya ziara kadhaa za kimataifa mfululizo kuanzia Mei hadi Juni 2026 ambapo wakosoaji wanazitazama ziara…
-

Hii hapa timu ya Chadema kuchora ramani ya katiba mpya
Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza wajumbe 11 wanaounda kamati maalumu ya Kamati Kuu yenye lengo la kukwamua na kuendeleza mchakato wa kukusanya maoni ya upatikanaji wa katiba mpya, kabla ya mwaka 2027 ili kuchochea ustawi wa wananchi. Kamati hiyo iliyopewa hadidu za rejea nne na muda wa miezi mitatu kutekeleza…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed











