Category: Habari
-

Tanzania yaongoza kuwa na Simba, Nyati wengi Afrika
Arusha. Tanzania imeendelea kuimarisha hadhi yake katika uhifadhi wa wanyamapori baada ya matokeo ya Sensa ya Wanyamapori ya mwaka 2024/2025, kuonyesha kuwa nchi inaongoza barani Afrika kwa idadi ya simba na nyati. Kwa mujibu wa matokeo ya sensa hiyo yaliyotolewa na Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (Tawiri) leo Jumatano, Juni 17, 2026, Tanzania ina…
-

TRA, viongozi wa dini wahimiza ulipaji kodi kwa hiari
Dar es Salaam. Viongozi wa dini wamewahimiza wananchi kutosita kulipa kodi kwani kufanya hivyo ni sehemu ya ibada ambayo dini zote zinahimiza hilo. Hayo yamesemwa leo Jumatano Juni 17, 2026 na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Sheikh Alhad Mussa Salum kwenye kongamano la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na viongozi wa…
-

WAZIRI ATEMBELEA BANDA LA VETA KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA – Habari Mpya
Katika picha ni Waziri wa Ofisi ya Raisi- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Jakaya Kiwete wapili kutoka kulia akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Kampuni Tanzu ya VETA ya Ujuzi Mhandisi Marco Kapinga, alipotembelea banda la VETA tarehe 17 Juni, 2026 katika ufunguzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa…
-
ELIMU YA HAKI ZA BINADAMU YATAJWA MUHIMU KULINDA MASLAHI YA WAVUVI MAFIA
ELIMU YA HAKI ZA BINADAMU YATAJWA MUHIMU KULINDA MASLAHI YA WAVUVI MAFIA
-

Utafiti wafichua ukatili kwa wavuvi wanawake
Tanga. Wanawake wanaotegemea sekta ya uvuvi wa bahari kujipatia kipato, wanakabiliwa na changamoto kubwa ya ukatili wa kijinsia unaodhoofisha ustawi wao wa kijamii na kiuchumi, imebainika. Hayo yamefichuliwa na utafiti uliofanywa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) katika mikoa ya Tanga, Lindi na Mtwara, ukichunguza athari za mabadiliko ya tabianchi katika sekta…
-

Hii hapa timu ya kuchora ramani ya katiba mpya Chadema
Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza wajumbe 11 wanaounda kamati maalumu ya Kamati Kuu yenye lengo la kukwamua na kuendeleza mchakato wa kukusanya maoni ya upatikanaji wa katiba mpya, kabla ya mwaka 2027 ili kuchochea ustawi wa wananchi. Kamati hiyo iliyopewa hadidu za rejea nne na muda wa miezi mitatu kutekeleza…
-

Saba kortini wakidaiwa kuiba lita 2,800 za mafuta
Dar es Salaam. Msimamizi wa tanki la mafuta, Kassim Kongwa (43) na wenzake sita wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo kuongoza genge la uhalifu na wizi wa lita 2,800 za mafuta ghafi, yenye thamani ya Sh26 milioni, mali ya Kampuni ya Mikoani Edible Oil and Detergents Limited. Washtakiwa wengine…
-

JUKWAA LA KWANZA LA WATAALAM WA UNUNUZI NA UGAVI LAZINDULIWA MWANZA,WATAKIWA KUZINGATIA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA – Habari Mpya
Mkuu wa Wilaya ya Misungwi johari samizi (kulia) akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa wazamini wa jukwaa la wataalam wa ununuzi na ugavi lililozinduliiwa rasm jijini mwanza Na Hellen Mtereko,Mwanza Wataalam wa ununuzi na ugavi nchini wametakiwa kuzingatia maadili ya kazi, uwajibikaji na matumizi ya teknolojia ili kuongeza ufanisi katika mnyororo wa ugavi na kuchochea…
-

Tuzo za Tehama kufungua ajira, fursa za kimataifa kwa vijana
Dar es Salaam. Tuzo za Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) zinazotarajiwa kutolewa Julai mwaka huu 2026, zimeelezwa kuwa kichocheo muhimu cha ajira, ubunifu na fursa za kimataifa kwa vijana wa Kitanzania. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo Jumatano Juni 17, 2026, Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Tehama Tanzania (ICTC), Dk Nkundwe Mwasaga, amesema tuzo…
-

Adaiwa kujinyonga kwa shati, kisa mgogoro wa kifamilia
Babati. Mkazi wa Kijiji cha Kiru Six wilayani Babati mkoani Manyara, Sokoya Aako (60) amefariki dunia kwa kudaiwa kujinyonga kwa kutumia shati kutokana na mgogoro wa kifamilia. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Ahmed Makarani akizungumza Juni 17, 2026 amesema tukio hilo limetokea kwenye Kijiji cha Mawemairo wilayani Babati.…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed









