Category: Habari
-

Hii hapa timu ya Chadema kuchora ramani ya katiba mpya
Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza wajumbe 11 wanaounda kamati maalumu ya Kamati Kuu yenye lengo la kukwamua na kuendeleza mchakato wa kukusanya maoni ya upatikanaji wa katiba mpya, kabla ya mwaka 2027 ili kuchochea ustawi wa wananchi. Kamati hiyo iliyopewa hadidu za rejea nne na muda wa miezi mitatu kutekeleza…
-

TEEMO YAZINDUA KITUO CHA UKUSANYAJI WA PLASTIKI KUKABILI TISHIO LA UCHAFUZI WA BAHARI MAFIA – Habari Mpya
Na Mwamvua Mwinyi, Mafia Uchafuzi wa mazingira unaotokana na taka za plastiki zinazotupwa ovyo baharini umeendelea kuwa tishio kubwa kwa mifumo ya ikolojia ya bahari, viumbe wa majini na shughuli za kiuchumi zinazotegemea rasilimali hizo, ikiwemo uvuvi, utalii na kilimo cha mwani katika fukwe mbalimbali ikiwemo Mafia. Kutokana na changamoto hiyo, Shirika la Harakati na…
-

Sensa ya uvuvi kufanyika Z’bar kuimarisha uchumi buluu
Unguja. Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar, inakusudia kufanya sensa ya uvuvi kupata takwimu sahihi za watu waliopo katika mnyororo wa thamani. Hatua hiyo inaelezwa kuwa inalenga kuongeza maendeleo katika sekta hiyo. Sensa hiyo inayotarajiwa kuanza kufanyika mwezi huu, itawahusisha wavuvi, vyombo vya uvuvi, waanika dagaa pamoja na wakulima wa mwani. Kwa sasa…
-

SAFARI YA NETUMBO NA URAFIKI WA TANZANIA NA NAMIBIA – Habari Mpya
Ktoka mitaa ya Magomeni jijini Dar es Salaam hadi Ikulu ya Windhoek nchini Namibia, safari ya maisha ya Rais Netumbo Nandi-Ndaitwah ni moja ya simulizi za kipekee katika historia ya harakati za ukombozi barani Afrika. Miaka kadhaa kabla ya Namibia kupata uhuru wake mwaka 1990, Netumbo alikuwa miongoni mwa wanaharakati wa SWAPO waliolazimika kuishi uhamishoni…
-

Profesa Shivji atetea kizazi cha kidijitali, Udasa walilia uhuru wa mawazo
Dar es Salaam. Profesa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Issa Shivji, amewataka wanazuoni na waandishi wa vitabu kubadili mbinu za kufundisha na kuandika ili kuendana na mabadiliko ya dunia ya sasa. Wakati Profesa Shivji akisema hayo, Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udasa) wamesema wanazuoni wanahitaji kuwa na…
-

Al Ameen Foundation wasaidia yatima Dar
DA ES SALAAM: Taasisi ya Al Ameen Foundation (AIF) imetoa msaada wa vyakula kwa kituo cha watoto yatima cha Upendo Orphane Center, kilichopo Buguruni Ghana, Dar es Salaam leo Juni 17, 2026 ikiwa ni hatua muhimu inayolenga kuboresha ustawi wa watoto wanaolelewa katika kituo hicho. Msaada huo ni juhudi za taasisi hiyo za kushirikiana na…
-

SERIKALI YAENDELEA KUWAWEZESHA WANAWAKE KUPATA MITAJI, MAFUNZO NA MASOKO – Habari Mpya
Na Jackline Minja, WMJJWM Dodoma Serikali imeendelea kuimarisha jitihada za kuwawezesha wanawake kiuchumi kupitia upatikanaji wa mitaji, mafunzo na masoko ili kuongeza ushiriki wao katika shughuli za uzalishaji na maendeleo ya Taifa. Hayo yameelezwa leo Juni 17, 2026 bungeni na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi…
-

Serikali yaongeza nguvu kudhibiti magonjwa ya mifugo
Arusha. Licha ya kukabiliwa na changamoro nyingi, Sekta ya mifugo nchini inaendelea kuwa mhimili muhimu wa uchumi kutokana na mchango wake katika kuimarisha usalama wa chakula na lishe, kutoa ajira, kuongeza kipato cha kaya, kuchochea maendeleo ya viwanda na kuongeza mapato yatokanayo na mauzo ya bidhaa nje ya nchi. Hata hivyo, sekta hiyo bado inakabiliwa…
-

Miili yatelekezwa kando ya viroba vya parachichi Njombe
Njombe. Watu wawili wanaokadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 35 na 36 wamekutwa wameuawa katika eneo la Msete, Kata ya Mji Mwema, mkoani Njombe, huku pembeni mwa miili hiyo kukiwa na viroba vinne vya parachichi. Tukio hilo limetokea siku chache baada ya wakazi wa Mkoa wa Njombe, ambao wengi wao ni wakulima wa…
-

Mahakama yasimamisha kwa muda ujenzi wa MK-ICC Arusha
Arusha. Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Arusha imeamuru kusitishwa kwa muda shughuli zote za ujenzi wa mradi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mount Kilimanjaro (MK-ICC), unaotekelezwa kwa katika eneo la Kijenge, Arusha. Mahakama imefikia uamuzi huo kutokana na sehemu ya ujenzi wa mradi huo unaotekelezwa na Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed













