Category: Habari

  • Hizi hapa fursa magari ya umeme kuanza kuja Tanzania

    Hizi hapa fursa magari ya umeme kuanza kuja Tanzania

    Dar es Salaam. Wakati Serikali ikipendekeza punguzo la kodi katika magari yanayotumia umeme, wadau wa sekta ya magari ya umeme wameonyesha dalili za kuwa miongoni mwa wanufaika wa mapendekezo ya bajeti ya mwaka 2026/27. Kampuni ya Zera inayoingiza magari ya umeme nchini, imetangaza mpango wa kupanua matumizi ya magari hayo nchini, sambamba na kuongeza vituo…

    Continue Reading

  • Serikali kutumia Sh700 milioni kujenga soko la kisasa Mamsera, Rombo

    Serikali kutumia Sh700 milioni kujenga soko la kisasa Mamsera, Rombo

    Rombo. Serikali imeanza ujenzi wa soko la kisasa la Mamsera katika Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, hatua inayotarajiwa kusaidia kupunguza upotevu wa mazao baada ya mavuno na kuboresha mazingira ya biashara kwa wakulima na wafanyabiashara. Mradi huo unaotarajiwa kugharimu zaidi ya Sh700 milioni, ni sehemu ya jitihada za Serikali za kuimarisha miundombinu ya masoko ya…

    Continue Reading

  • Sh700 milioni kuinua uchumi wa wananchi, kuokoa vyanzo vya maji

    Sh700 milioni kuinua uchumi wa wananchi, kuokoa vyanzo vya maji

    Mbarali. Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, imepokea Sh700 milioni kwa ajili ya kuviwezesha kiuchumi vikundi 30 vya wananchi ili kupisha shughuli za kijamii kwenye maeneo ya hifadhi za mito na vyanzo vya maji. Fedha hizo zimetolewa na Taasisi ya Bonde la Mto Rufiji kupitia mradi wa NBS – Usangu, unaotekelezwa wilayani humo. Mkurugenzi…

    Continue Reading

  • Nsekela atunukiwa Shahada ya Uzamivu, ataja umuhimu wa utawala bora kwenye benki

    Nsekela atunukiwa Shahada ya Uzamivu, ataja umuhimu wa utawala bora kwenye benki

    Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk Abdulmajid Nsekela ametunukiwa Shahada ya Uzamivu (PhD) kutoka Chuo Kikuu cha Afrika Kusini (UNISA), hatua inayotajwa kuimarisha mchango wa taaluma katika uongozi wa taasisi za kifedha na biashara. Dk Nsekela amehitimu shahada hiyo baada ya kufanya utafiti uliochunguza uhusiano kati ya utawala wa kampuni na…

    Continue Reading

  • Maumivu ya ukatili wa kijinsia yamgeuza kuwa mkombozi

    Maumivu ya ukatili wa kijinsia yamgeuza kuwa mkombozi

    Arusha. Miaka sita iliyopita, Mwalimu wa Shule ya Sekondari Sokoni II, Veronica Kidemi, alikuwa akiishi katika ndoa iliyogubikwa na ukatili wa kijinsia na mateso ya muda mrefu, hali iliyomfanya kunyamaza kwa muda mrefu akiamini mambo yangebadilika. Hata hivyo, ukimya huo uliishia katika tukio la kushtua mwaka 2020, baada ya aliyekuwa mumewe kumkata mkono wa kulia,…

    Continue Reading

  • Absa, WWF wapanda miti 1,300 Pugu Kazimzumbwi

    Absa, WWF wapanda miti 1,300 Pugu Kazimzumbwi

    Kisarawe. Wafanyakazi wa Benki ya Absa Tanzania, kwa kushirikiana na Shirika la Uhifadhi wa Mazingira Duniani (WWF), wamepanda miti 1,300 katika Msitu wa Pugu Kazimzumbwi, wilayani Kisarawe Mkoa wa Pwani, katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani. Akizungumza katika kazi ya upandaji miti hiyo jana, Jumamosi, Juni 13, 2026, Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa Absa…

    Continue Reading

  • Kenya kuiwakilisha Afrika mkutano wa G7 Ufaransa, yabeba ajenda muhimu

    Kenya kuiwakilisha Afrika mkutano wa G7 Ufaransa, yabeba ajenda muhimu

    Mwaliko wa Kenya kushiriki mkutano wa kundi la nchi saba tajiri duniani (G7) unaoanza Jumatatu, Juni 15, 2026 katika mji wa Evian nchini Ufaransa, umeiweka nchi hiyo ya Afrika Mashariki katika uangalizi wa kimataifa huku baadhi ya mataifa yenye uchumi mkubwa zaidi duniani yakijadili masuala muhimu yanayoikabili dunia. Kenya ndiyo nchi pekee ya Afrika iliyoalikwa…

    Continue Reading

  • Serikali yaingilia kati mgomo wa madereva wa malori

    Serikali yaingilia kati mgomo wa madereva wa malori

    Dar es Salaam. Hatimaye Serikali imeingilia kati vuguvugu la baadhi ya madereva wa malori wanaotishia kusitisha shughuli za usafirishaji wa mizigo mikoani na nje ya nchi kuanzia Julai mosi, 2026, wakishinikiza kutatuliwa kwa changamoto mbalimbali zinazowakabili. Madereva hao wametangaza kusudio la kugoma kuanzia saa 12:00 asubuhi ya tarehe hiyo, wakieleza kuwa hatua hiyo inalenga kuishinikiza…

    Continue Reading

  • Serikali yaanza safari ya kuondoa uchimbaji wa kubahatisha

    Serikali yaanza safari ya kuondoa uchimbaji wa kubahatisha

    Dar es Salaam. Serikali imesema imeanza hatua za kuondoa uchimbaji wa kubahatisha nchini kwa kuweka mfumo utakaowezesha asilimia 10 ya makusanyo ghafi ya mapato ya madini, kubaki kwenye sekta ya madini kwa ajili ya kugharamia utafiti na uwekezaji. Hatua hiyo inalenga kuboresha tija ya uchimbaji, hususan kwa wachimbaji wadogo kupitia upatikanaji wa taarifa sahihi za…

    Continue Reading

  • ASANTENI WANACHAMA WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO JIMBO LA KIJINI – Habari Mpya

    ASANTENI WANACHAMA WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO JIMBO LA KIJINI – Habari Mpya

    *ACT WAZALENDO: Umoja ni Nguzo ya Mafanikio Yetu, Asema Prof. Omar Fakih Hamad Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya Chama cha ACT WAZALENDO, Profesa Omar Fakih Hamad, ambaye pia ni Mnadhimu wa Baraza la Wawakilishi kupitia chama hicho, amesema ACT WAZALENDO imeendelea kupata mafanikio katika chaguzi mbalimbali kutokana na mshikamano wa viongozi na wanachama…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports