Category: Habari
-

SANTENI WANACHAMA WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO JIMBO LA KIJINI – Habari Mpya
*ACT WAZALENDO: Umoja ni Nguzo ya Mafanikio Yetu, Asema Prof. Omar Fakih Hamad Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya Chama cha ACT WAZALENDO, Profesa Omar Fakih Hamad, ambaye pia ni Mnadhimu wa Baraza la Wawakilishi kupitia chama hicho, amesema ACT WAZALENDO imeendelea kupata mafanikio katika chaguzi mbalimbali kutokana na mshikamano wa viongozi na wanachama…
-

CHATANDA AUNGANA NA UWT LIWALE KUMPONGEZA RAIS SAMIA KWA UCHAPAKAZI – Habari Mpya
NA: MWANDISHI WETU – LIWALE Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Liwale mkoani Lindi, umeratibu kongamano maalum la kumpongeza Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kutokana na uchapakazi na uwajibikaji wake ambao ni nguzo muhimu katika kuchochea maendeleo endelevu nchini. Kongamano hilo limefanyika wilayani humo Juni 13, 2026, ambapo Mwenyekiti…
-

Mkakati maalumu kuwanasa wauguzi jeuri
GEITA: SERIKALI mkoani Geita imetangaza mpango rasmi wa kupokea taarifa za wauguzi na watumishi wa afya wanaofanya vitendo visivyo vya kiungwana kwa watu wanaohitaji huduma ya matibabu. Mpango huo pia unahusisha upokeaji wa taarifa za watoa huduma wanaokaidi kwa makusudi sera ya huduma bure kwa watoto, wajawazito na wazee kwenye vituo vya huduma za afya.…
-

PROF. SHEMDOE AIELEKEZA KAMPUNI YA CRBC KUKAMILISHA UJENZI WA BARABARA 7 UBUNGO IFIKAPO AGOSTI 14, 2026 – Habari Mpya
Na OWM – TAMISEMI, Dar es Salaam Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe ametaka Mkandarasi kampuni ya China Railways and Bridges Corporation (CRBC) inayojenga barabara tisa (9) za lami zenye urefu wa kilometa 5.42 kukamilisha ujenzi wa barabara saba (7) zilizosalia ifikapo…
-

SERIKALI ITAENDELEA KULINDA UHURU WA KUABUDU – Habari Mpya
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kulinda uhuru wa kuabudu na kuimarisha ushirikiano na taasisi za dini kwa kutambua mchango mkubwa unaotolewa na taasisi hizo katika kujenga maadili, amani, mshikamano na maendeleo ya Taifa. Dkt. Mwigulu amesema hayo leo, Jumapili Juni 14, 2026, aliposhiriki Ibada katika Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG)…
-
AUSTRALIA YAANZA KWA KISHINDO KOMBE LA DUNIA 2026, YAICHAPA UTURUKI 2-0 – Habari Mpya
Timu ya Taifa ya Australia imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Uturuki katika mchezo wa hatua ya makundi wa Kombe la Dunia uliochezwa leo, Juni 14, 2026, nchini Marekani. Mabao ya Australia yalifungwa na N. Irankunda pamoja na C. Metcalfe, na kuipa timu hiyo pointi tatu muhimu katika Kundi D, jambo linaloongeza…
-
MOROCCO YAIWEKEA NGUMU BRAZIL KOMBE LA DUNIA – Habari Mpya
Morocco imeanza Fainali za Kombe la Dunia kibabe baada ya kuikalia kooni Brazil,ikilazimisha sare ya bao 1-1. Mara ya mwisho kwa Brazil kuanza kwa sare kwenye mechi yake ya kwanza kwenye Kombe la Dunia ilikuwa Juni 3,1978 ilipotoa sare kama hiyo dhidi ya Sweden, kwenye fainali zilizofanyika nchini Argentina. Morocco imekuwa ya kwanza kupata bao…
-

Nafasi ya wivu katika ustawi wa ndoa
Dar es Salaam. Katika maisha ya ndoa, wivu ni hisia isiyoweza kuepukika. Pale watu wawili wanapochagua kushirikiana maisha, moyo, muda na ndoto, hulka ya kumiliki na kulinda hujitokeza kwa namna ya wivu. Ndiyo maana kauli isemayo hakuna ndoa bila wivu ina uzito mkubwa wa kijamii na kisaikolojia. Wivu, kwa kiwango chake cha kawaida, si dalili…
-

CHATANDA AUNGANA NA UWT LIWALE KUMPONGEZA RAIS SAMIA KWA UCHAPAKAZI – Habari Mpya
NA: MWANDISHI WETU – LIWALE Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Liwale mkoani Lindi, umeratibu kongamano maalum la kumpongeza Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kutokana na uchapakazi na uwajibikaji wake ambao ni nguzo muhimu katika kuchochea maendeleo endelevu nchini. Kongamano hilo limefanyika wilayani humo Juni 13, 2026, ambapo Mwenyekiti…
-

Epuka kuoa au kuolewa katika jamii hizi
Canada. Kuna jamii nyingi zenye mila za ajabu na ovyo. Leo, tutadurusu jamii zenye mila mbovu za ndugu kwa ndugu kurukiana hata nyingine kuoana kwa sababu na visingizio mbalimbali. Katika kudurusu mila za ndugu kwa ndugu kuwa na uhusiano kingono hata kuoana, kuna baadhi ya visababishi. Mojawapo ya visababishi hivi ni eti kuepuka mali kwenda…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed











