Category: Habari

  • Mjadala kurefusha muda urais wazua mzozo Congo DR

    Mjadala kurefusha muda urais wazua mzozo Congo DR

    Dar es Salaam. Mvutano wa kisiasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) umeingia katika hatua mpya baada ya Serikali ya Rais Felix Tshisekedi kuanza mchakato wa mabadiliko ya Katiba, hatua inayozua hofu ya kurefushwa kwa muda wa urais na kufufua mjadala mpana wa viongozi wa Afrika kutaka kubaki madarakani kwa muda mrefu. Mvutano huo…

    Continue Reading

  • Zainabu ataka mjadala wa kitaifa kuhusu wafanyakazi wa majumbani

    Zainabu ataka mjadala wa kitaifa kuhusu wafanyakazi wa majumbani

    ‎Dodoma. Mbunge wa Viti Maalumu, Zainabu Issa ametaka kufanyika mjadala wa kitaifa kuhusu umuhimu wa wafanyakazi wa majumbani ili kuongeza uelewa wa jamii kuhusu mchango wao katika maendeleo ya familia na kuimarisha mazingira bora ya kazi kwa waajiri na waajiriwa. ‎Akizungumza leo Juni 13, 2026 jijini Dodoma wakati wa uzinduzi wa awamu ya pili ya…

    Continue Reading

  • Ujumbe wa Waziri Gwajima kabla ya kuingia kwenye ndoa

    Ujumbe wa Waziri Gwajima kabla ya kuingia kwenye ndoa

    Dar es Salaam. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima, ametoa wito kwa wanawake nchini kujijenga kiuchumi na kimaisha kabla ya kuingia katika mahusiano, akisema changamoto nyingi zinazoripotiwa katika ndoa na mahusiano zinatokana na kukosa maandalizi ya msingi ya maisha katika dunia ya sasa. Kupitia ujumbe alioandika kwenye ukurasa…

    Continue Reading

  • IMANI POTOFU ZINAVYOWEKA HATARINI MAISHA YA WATOTO WENYE UGONJWA WA SIKOSELI TANZANIA – Habari Mpya

    IMANI POTOFU ZINAVYOWEKA HATARINI MAISHA YA WATOTO WENYE UGONJWA WA SIKOSELI TANZANIA – Habari Mpya

    Na John Walter-MANYARA Watoto wengi wenye ugonjwa wa Sikoseli huchelewa kufikishwa hospitalini kutokana na imani potofu zinazohusisha ugonjwa huo na uchawi au laana. Usiku mwingi wa utotoni kwake ulikuwa wa vilio na maumivu makali ya viungo. Mara nyingine alikuwa akishindwa hata kusimama. Macho yake yalibadilika na kuwa ya njano huku tumbo likianza kuvimba taratibu. Lakini…

    Continue Reading

  • Kampeni ya Mama Samia Legal Aid awamu ya pili kuzindiliwa Zanzibar

    Kampeni ya Mama Samia Legal Aid awamu ya pili kuzindiliwa Zanzibar

    Unguja. Baada ya kukamilika awamu ya kwanza ya kampeni ya msaada wa kisheria ya Samia Legal Aids (MSLAC) kwa mafanikio, sasa inatarajiwa kuzinduliwa awamu ya pili ya kampeni hiyo ambapo safari hii itazinduliwa Dole Mkoa wa Kaskazini Unguja. Kampeni hiyo kwa mara ya kwanza ilitekelezwa kuanzia Aprili 2023 hadi Juni 2025 katika mikoa yote 31…

    Continue Reading

  • Wenye magari Dar wataka mfumo bora wa usimamizi wa maegesho

    Wenye magari Dar wataka mfumo bora wa usimamizi wa maegesho

    Dar es Salaam. Kadiri idadi ya magari inavyoongezeka katika Jiji la Dar es Salaam, ndivyo umuhimu wa kuwa na mfumo bora wa usimamizi wa maegesho unavyozidi kuonekana. Serikali na mamlaka za mitaa zimekuwa zikitegemea ukusanyaji wa ada za maegesho kama chanzo cha mapato na njia ya kudhibiti matumizi ya maeneo ya umma. Hata hivyo, pamoja…

    Continue Reading

  • TANZANIA INAVYOJIANDAA KWA ELIMU YA LAZIMA YA MIAKA 10 – Habari Mpya

    TANZANIA INAVYOJIANDAA KWA ELIMU YA LAZIMA YA MIAKA 10 – Habari Mpya

    Jamii, serikali na wadau wa elimu wanavyoshirikiana kukabiliana na ongezeko la wanafunzi litakalotokana na wanafunzi wa darasa la sita na la saba kuingia kidato cha kwanza kwa pamoja mwaka 2028. Na John Walter – Manyara Tanzania ipo katika kipindi muhimu cha mageuzi ya elimu yanayolenga kuhakikisha kila mtoto anapata fursa ya kujifunza kwa muda mrefu…

    Continue Reading

  • Tanzania yafungua rasmi soko la ndizi Afrika Kusini

    Tanzania yafungua rasmi soko la ndizi Afrika Kusini

    Arusha. Tanzania imefungua rasmi soko la ndizi mbichi nchini Afrika Kusini baada ya kukamilika kwa majadiliano ya kitaalamu kuhusu matakwa ya afya ya mimea kati ya mamlaka husika za nchi hizo mbili. Hatua hiyo imefikiwa kupitia mazungumzo kati ya Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) na Mamlaka ya Afya ya Mimea ya…

    Continue Reading

  • Mahakama yaamuru taasisi kulipa Sh363.6 milioni NSSF

    Mahakama yaamuru taasisi kulipa Sh363.6 milioni NSSF

    Arusha. Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Mwanza, imeamuru Wadhamini Waliosajiliwa wa taasisi ya Progressive Islamic Education Foundation, wanaosimamia Shule ya Awali na Msingi ya Bismack, kulipa zaidi ya Sh363.6 milioni kwa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kutokana na madeni ya michango ya wafanyakazi na adhabu za ucheleweshaji. Hukumu hiyo imetolewa…

    Continue Reading

  • WADAU WA UTALII WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA KUIMARISHA SEKTA YA UTALII NCHINI – Habari Mpya

    WADAU WA UTALII WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA KUIMARISHA SEKTA YA UTALII NCHINI – Habari Mpya

    Mkurugenzi mwanzilishi wa kampuni ya Conserve Safari Camps & Lodges, Simon Mossi, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mwenendo wa sekta ya utalii na mchango wake katika kukuza uchumi wa Taifa.Mkurugenzi mwenza wa kampuni hiyo ,Einars Garoza akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha . Happy Lazaro Arusha . Arusha .UKUAJI unaoendelea kushuhudiwa katika sekta…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports