Category: Habari
-

WADAU WA UTALII WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA KUIMARISHA SEKTA YA UTALII NCHINI – Habari Mpya
Mkurugenzi mwanzilishi wa kampuni ya Conserve Safari Camps & Lodges, Simon Mossi, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mwenendo wa sekta ya utalii na mchango wake katika kukuza uchumi wa Taifa.Mkurugenzi mwenza wa kampuni hiyo ,Einars Garoza akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha . Happy Lazaro Arusha . Arusha .UKUAJI unaoendelea kushuhudiwa katika sekta…
-

NGIZWE MCHUNU: Mhimili machafuko ya 2021 Afrika Kusini-2
Ndani ya kauli iliyojipatia sifa mbaya kupitia mitandao ya kijamii katika siku zile za joto kali a Julai 2021, Ngizwe Mchunu aliyekuwa ameondolewa kazini kama DJ wa redio, alirusha bomu la kisiasa lililoacha alama isiyofutika katika maisha yake. Kwa kiwango kikubwa kauli hiyo ikabadilisha mwelekeo wa mazungumzo ya taifa la Afrika Kusini lililokuwa tayari limegawanyika…
-
OFISI YA WAZIRI MKUU NA OMDTZ ZAIMARISHA UTAYARI WA JAMII KUKABILIANA NA MAFURIKO DAR ES SALAAM – Habari Mpya
Na, mwandishi wetu – Dar es Salaam Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kushirikiana na Taasisi OpenMap Development Tanzania (OMDTZ), kupitia mradi wa Ramani Zetu, Sauti Zetu imeendesha warsha ya kupitia na kuthibitisha Mipango ya Kujiandaa na Kukabiliana na Maafa kwa kata tano za Makurumula, Mabibo, Keko, Ubungo na Tabata jijini Dar es Salaam. Warsha hiyo…
-

Matumizi sahihi ya dawa yanapaswa kuwa hivi
Dar es Salaam. Mratibu wa Kanda ya Mashariki wa Baraza la Famasi, Tumaini Makole ametaja mambo matatu anayopaswa kuzingatia mgonjwa ili atumie dawa kwa usahihi, ikiwemo kufanyiwa vipimo kubaini tatizo linalomsumbua. Makole amesema endapo mgonjwa ataanza kutumia dawa bila kufahamu chanzo cha tatizo lake, hutengeneza usugu wa vimelea dhidi ya dawa mwilini. Mtaalamu huyo wa…
-

WIZARA YA FEDHA YAKUSANYA MAONI YA WADAU KUHUSU RASIMU YA MKAKATI WA TAIFA WA USIMAMIZI WA MNYORORO WA UGAVI ENDELEVU – Habari Mpya
Kaimu Kamishna wa Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma Bw. Omary Mhina, akizungumza wakati akifunga kikao kazi kukusanya maoni ya wadau kuhusu Rasimu ya Mkakati wa Taifa wa Usimamizi wa Mnyororo wa Ugavi Endelevu, kilichoandaliwa na Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma, Wizara ya Fedha, katika ukumbi wa mikutano wa 8-8, mkoani Morogoro.…
-

Ukataji miti watishia kutoweka dawa za asili
DODOMA: Wataalamu wa tiba asili hapa nchini wameiomba serikali kuendelea kuchukua hatua za makusudi za kuhamasisha utunzaji wa mazingira ili kuendelea kulinda maliasili na uoto wa asili.Wamesema kuendelea kwa vitendo vya uharibifu wa mazingira kunachangia kupotea kwa baadhi ya tamaduni za Watanzania pamoja na mimea inayotumika kutengeneza dawa za asili.Wakizungumza wilayani Kongwa mkoani Dodoma walipokutana…
-

Majaribio yamefanikiwa, usalama wakutosha! – HabariLeo
MUSOMA: MAMLAKA ya Viwanja vya Ndege (TAA) imefanya majaribio ya kutua na kuruka katika Viwanja vya Ndege vya Musoma na Shinyanga. Majaribio hayo yamefanyika jana Juni 12,2026 na kufanywa kutumia ndege ya Kampuni ya Ndege Tanzania(ATCL). Akizungumza katika hafla za majaribio hayo katika mikoa ya Mara na Shinyanga kuliko na viwanja hivyo, Waziri wa Uchukuzi,…
-

SERIKALI YASISITIZA MATUMIZI YA GAMIS KUIMARISHA USIMAMIZI WA MALI ZA UMMA – Habari Mpya
Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani Bi. Pili Mnyema, akizungumza wakati akifungua Mafunzo ya Usimamizi wa Mali za Umma kwa Maafisa Masuuli wa Taasisi za Umma kutoka Sekretarieti za Mikoa, Halmashauri za Wilaya, Idara zinazojitegemea na taasisi nyingine zinazofunga hesabu katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani na Morogoro, iliyofanyikia katika ukumbi wa ukumbi wa Baraza…
-
NILIVYOPUMUA TENA KWA UHURU BAADA YA MIAKA KUSHINDWA KULALA USIKU KWA SABABU YA PUMU KALI – Habari Mpya
Kwa miaka mingi, pumu ilikuwa sehemu ya maisha yangu ambayo sikuweza kuikwepa. Kila siku niliishi kwa tahadhari. Mabadiliko ya hali ya hewa, vumbi, moshi, au hata harufu kali zingeweza kunisababishia matatizo ya kupumua. Wakati mwingine nilihisi kama kifua changu kilikuwa kizito kiasi kwamba kuvuta pumzi ya kawaida ilikuwa kazi ngumu. Usiku ndiyo ulikuwa wakati mgumu…
-
NILIVYOMNASA MWIZI WA KUKU BAADA YA KILA JARIBIO LA KUMKAMATA KUSHINDIKANA KWA ZAIDI YA MWAKA – Habari Mpya
Kwa zaidi ya mwaka mmoja, nilikuwa nikiishi kwa hasira na kuchanganyikiwa. Kila baada ya wiki chache, niligundua kuwa kuku wangu walikuwa wanapungua. Mwanzoni nilidhani ni wanyama wa porini au makosa ya kuhesabu, lakini kadri muda ulivyopita, ilibainika wazi kwamba kulikuwa na mtu aliyekuwa akiwaiba. Tatizo lilikuwa moja. Hakukuwa na ushahidi. Kila nilipoamka asubuhi na kukuta…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed













