Category: Magazeti
-
VYOMBO VYA HABARI NCHINI VYATAKIWA KUPAZA SAUTI DHIDI YA MADHARA YATOKANAYO NA DAWA ZA KULEVYA – Habari Mpya
VYOMBO vya habari nchini vimetakiwa kutumia kalamu zao vizuri kwani vina nafasi kubwa katika kupunguza madhara yatokanayo na matumizi ya dawa za kulevya, pombe na tumbaku kwa kutoa elimu hiyo kwa jamii. Hayo yamesemwa na Afisa Mradi kutoka Shirika la Blue Cross Society of Tanzania, Glory Vincent Pagundile, wakati akizungumza katika semina na waandishi wa…
-
WAANDISHI WA HABARI WATAKIWA KUTAFAKARI UPYA WAJIBU WAO – Habari Mpya
Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Bw. Tido Mhando, amewataka Waandishi wa Habari nchini kutafakari upya wajibu wao katika kuijenga jamii kupitia maudhui yenye tija, akieleza kuwa ipo haja ya kurejesha hadhi na nguvu ya taaluma hiyo katika kujenga fikra na maendeleo ya taifa. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Bw. Mhando…
-

Mwananchi yaiibua NEMC kuja na mikakati mipya kudhibiti ongezeko la kelele
Dar es Salaam. Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (Nemc) limezindua mikakati mipya yenye lengo la kukabiliana na ongezeko la uchafuzi wa kelele katika miji mikubwa nchini. Mkakati huo unazinduliwa siku chache baada ya magazeti ya Mwananchi na The Citizen kuripoti mfululizo wa makala maalumu kuhusu kuongezeka kwa tatizo la kelele kwenye…
Latest News
About the Author

AF themes
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports

















