Category: Magazeti
-

Rais Samia kukutana na Putin, kuimarisha ushirikiano Tanzania na Russia
Moscow, Russia. Rais Samia Suluhu Hassan anakutana na kufanya mazungumzo rasmi wa pande mbili na Rais wa Russia, Vladimir Putin katika Ikulu ya Kremlin leo Jumatano Juni 3, 2026, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na kiuchumi mataifa hayo mawili. Rais Samia aliwasili mjini Moscow usiku wa kuamkia jana Jumanne Juni…
-

LIVE: Mwisho wa enzi za Leonard Mususa
Dar es Salaam. Safari ya miaka 72 ya maisha ya duniani ya Mwenyekiti mstaafu wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Leonard Mususa, inatarajiwa kuhitimishwa leo, katika makaburi ya Kondo, jijini Dar es Salaam. LIVE: Mwisho wa enzi za Leonard Mususa Mususa, aliyeitumikia MCL inayochapisha magazeti ya Mwananchi, Mwanaspoti na The Citizen, alifariki…
-

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya MCL, Leonard Mususa afariki dunia
Dar es Salaam. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Leonard Mususa amefariki dunia leo Jumamosi, Mei 30, 2026. Taarifa iliyotolewa na familia ya marehemu imethibitisha kifo hicho na kueleza kuwa mipango ya mazishi inaendelea. “Familia ya Mususa inakutaarifu kuhusu msiba wa Bwana Leonard Mususa uliotokea leo Jumamosi, Mei…
-

TMA, EMEDO WAZINDUA TUZO ZA WANAHABARI KUHAMASISHA ELIMU YA HALI YA HEWA – Habari Mpya
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kwa kushirikiana na Shirika la Usimamizi wa Mazingira na Maendeleo (EMEDO) wametangaza rasmi kuanzishwa kwa Tuzo za Waandishi wa Habari zinazolenga kuhamasisha elimu kuhusu hali ya hewa, tahadhari za mapema na usalama majini nchini. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Mbezi Garden jijini Dar es Salaam,…
Latest News
About the Author

AF themes
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
















