YANGA YAIONDOA SIMBA SC KILELENI LIGI KUU TANZANIA BARA – Habari Mpya

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Young Africans SC, wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa leo, Mei 25, 2026, kwenye KMC Complex uliopo Mwenge, Dar es Salaam. Mabao ya Yanga SC yalifungwa na Duke Abuya pamoja na Allan Okello aliyefunga mabao…

admin Avatar

by

1 minute

Read Time

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Young Africans SC, wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa leo, Mei 25, 2026, kwenye KMC Complex uliopo Mwenge, Dar es Salaam.

Mabao ya Yanga SC yalifungwa na Duke Abuya pamoja na Allan Okello aliyefunga mabao mawili, huku bao la Namungo FC likifungwa na Hassan Kabunda.

Kufuatia matokeo hayo, Yanga SC imerejea kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwa na pointi 60, huku watani wao Simba SC wakishuka hadi nafasi ya pili wakiwa na pointi 58.

Timu zote zimecheza michezo 25, zikibakiwa na michezo mitano kabla ya kumalizika kwa msimu wa ligi unaoendelea kuwa na ushindani mkubwa.

About the Author

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports