Migogoro ya ardhi 5,573 yatatuliwa

DODOMA; Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Leonard Akwilapo, amesema hadi Mei 15, 2026, jumla ya migogoro ya ardhi 5,573 ilitatuliwa. “Katika mwaka 2025/26, wizara ilipanga kushughulikia migogoro ya ardhi 3,000. Hadi tarehe 15 Mei 2026, jumla ya migogoro ya ardhi 5,573 imetatuliwa ambapo kati ya hiyo, migogoro 3,183 imetatuliwa kupitia Kliniki…

admin Avatar

by

1 minute

Read Time

DODOMA; Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Leonard Akwilapo, amesema hadi Mei 15, 2026, jumla ya migogoro ya ardhi 5,573 ilitatuliwa.

“Katika mwaka 2025/26, wizara ilipanga kushughulikia migogoro ya ardhi 3,000. Hadi tarehe 15 Mei 2026, jumla ya migogoro ya ardhi 5,573 imetatuliwa ambapo kati ya hiyo, migogoro 3,183 imetatuliwa kupitia Kliniki za Ardhi na 2,390 kupitia utaratibu wa kawaida wa kiutawala,” amesema Dk Akwilapo akiwasilisha bajeti ya wizara hiyo leo Mei 28, 2026 na kuongeza:.

“Katika mwaka 2026/27, wizara imepanga kushughulikia migogoro 4,000 kiutawala. Natoa rai kwa viongozi, watumishi na wananchi kwa ujumla kuzingatia sheria za ardhi, kanuni na miongozo ili kuepuka kuanzisha migogoro mipya,” amesema Waziri Akwilapo.

About the Author

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports