SENEGAL U17 YATWAA UBIGWA WA AFCON – Habari Mpya

Timu ya Taifa U17 ya Senegal imetwaa ubingwa wa mashindano ya AFCON U17 ikiitandika Serengeti Boys kwa mikwaju ya penalti 4-2. Mchezo huo ulienda hadi kwenye changamoto ya mikwaju ya Penalti baada ya kumalizika kwa sare ya 1-1 ndani ya dakika 90. Huu unakuwa ubingwa wa pili kwa Senegal U17 huku Serengeti Boys ikiandika rekodi…

admin Avatar

by

1 minute

Read Time

Timu ya Taifa U17 ya Senegal imetwaa ubingwa wa mashindano ya AFCON U17 ikiitandika Serengeti Boys kwa mikwaju ya penalti 4-2.

Mchezo huo ulienda hadi kwenye changamoto ya mikwaju ya Penalti baada ya kumalizika kwa sare ya 1-1 ndani ya dakika 90.

Huu unakuwa ubingwa wa pili kwa Senegal U17 huku Serengeti Boys ikiandika rekodi ya kufika fainali ambapo haikuwa kutokea hapo awali huku ikicheza mechi zote za mashindano bila kupoteza ndani ya dakika 90.

About the Author

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports