WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA – Habari Mpya

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba leo Ijumaa, Juni 5, 2026 amefanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mhe. Marianne Young, ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma. Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na ushirikiano kati ya Tanzania na Uingereza katika nyanja mbalimbali za kiuchumi na kijamii.

admin Avatar

by

1 minute

Read Time

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba leo Ijumaa, Juni 5, 2026 amefanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mhe. Marianne Young, ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma.

Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na ushirikiano kati ya Tanzania na Uingereza katika nyanja mbalimbali za kiuchumi na kijamii.

About the Author

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports