MASHINDANO YA UMISSETA MKOA WA ARUSHA YAANZA RASMI – Habari Mpya

Mashindano ya Michezo kwa Shule za Sekondari (UMISSETA) Mkoa wa Arusha yameanza rasmi katika viwanja vya Shule ya Sekondari Ilboru, yakishirikisha zaidi ya wanamichezo 700 kutoka halmashauri zote saba za mkoa huo. ‎ ‎Akizungumza wakati wa kuanza kwa mashindano hayo, Mratibu wa UMISSETA Mkoa wa Arusha,  Daniel Nanyaro, amesema mashindano hayo yanahusisha michezo mbalimbali yenye…

admin Avatar

by

1 minute

Read Time

Mashindano ya Michezo kwa Shule za Sekondari (UMISSETA) Mkoa wa Arusha yameanza rasmi katika viwanja vya Shule ya Sekondari Ilboru, yakishirikisha zaidi ya wanamichezo 700 kutoka halmashauri zote saba za mkoa huo.

‎Akizungumza wakati wa kuanza kwa mashindano hayo, Mratibu wa UMISSETA Mkoa wa Arusha,  Daniel Nanyaro, amesema mashindano hayo yanahusisha michezo mbalimbali yenye lengo la kuibua, kukuza na kuendeleza vipaji vya wanafunzi. 

Aidha, wadau wa michezo pamoja na wanafunzi walioshiriki wameeleza matumaini yao kuwa mashindano hayo yatasaidia kuinua kiwango cha michezo shuleni na kutoa fursa kwa vipaji vya vijana kuonekana na kuendelezwa

About the Author

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports