MEXICO YAIANZA KOMBE LA DUNIA KWA USHINDI WA MABAO 2-0 DHIDI YA AFRIKA KUSINI – Habari Mpya

Timu ya Taifa ya Mexico imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Timu ya Taifa ya Afrika Kusini katika mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Dunia uliochezwa leo, Juni 11, 2026, nchini Mexico. Mexico ilipata mabao yake mawili kupitia kwa Julián Quiñones aliyefunga dakika ya 9 ya kipindi cha kwanza, huku bao la…

admin Avatar

by

1 minute

Read Time

Timu ya Taifa ya Mexico imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Timu ya Taifa ya Afrika Kusini katika mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Dunia uliochezwa leo, Juni 11, 2026, nchini Mexico.

Mexico ilipata mabao yake mawili kupitia kwa Julián Quiñones aliyefunga dakika ya 9 ya kipindi cha kwanza, huku bao la pili likifungwa na Raúl Jiménez dakika ya 67.

Kutokana na matokeo hayo, Mexico imefanikiwa kuondoka na alama tatu muhimu katika mchezo huo wa ufunguzi na kuongoza kundi A.

About the Author

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports