SIMBA SC YAENDELEZA MAKALI YAKE, YAICHAPA PAMBA JIJI 2-1 – Habari Mpya

Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Pamba Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Mabao ya Simba SC yalifungwa na Elie Mpanzu na Libasse Gueye, huku bao la Pamba Jiji likifungwa na Mathew Momanyi. Simba imeendeleza ubabe wake kwa kuichapa Pamba Jiji na kuendelea kushika nafasi…

admin Avatar

by

1 minute

Read Time

Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Pamba Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Mabao ya Simba SC yalifungwa na Elie Mpanzu na Libasse Gueye, huku bao la Pamba Jiji likifungwa na Mathew Momanyi.

Simba imeendeleza ubabe wake kwa kuichapa Pamba Jiji na kuendelea kushika nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa na pointi 61, nyuma ya vinara Young Africans S.C. (Yanga) wenye pointi 63.

About the Author

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports