MEXICO YATINGA HATUA YA MTOANO KOMBE LA DUNIA 2026 – Habari Mpya

Timu ya Taifa ya Mexico imefuzu hatua ya mtoano ya michuano ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kukusanya pointi 6 kutokana na ushindi katika michezo yake miwili ya awali, huku ikiwa imebakiza mechi moja ya mwisho ya Kundi A. Mexico ilithibitisha kufuzu baada ya kuifunga Korea Kusini mabao 1-0. Katika msimamo wa Kundi A,…

admin Avatar

by

1 minute

Read Time

Timu ya Taifa ya Mexico imefuzu hatua ya mtoano ya michuano ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kukusanya pointi 6 kutokana na ushindi katika michezo yake miwili ya awali, huku ikiwa imebakiza mechi moja ya mwisho ya Kundi A. Mexico ilithibitisha kufuzu baada ya kuifunga Korea Kusini mabao 1-0.

Katika msimamo wa Kundi A, Mexico inaongoza kwa pointi 6, ikifuatiwa na Korea Kusini yenye pointi 3, huku Czechia na Afrika Kusini zikiwa na pointi 1 kila moja.

Katika michezo ya mwisho ya Kundi A itakayochezwa Juni 24, Korea Kusini itavaana na Afrika Kusini, huku Mexico ikimenyana na Czechia.

About the Author

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports