Author: admin

  • PURA yaunga mkono mapambano dhidi ya Ukimwi, MSY

    PURA yaunga mkono mapambano dhidi ya Ukimwi, MSY

    DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imeahidi kuwa kuwa itandelea kuunga mkono juhudi za Serikali za kukabiliana na ugonjwa wa Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI) na Magonjwa Sugu Yasiyoambukiza (MSY) kwa kuwezesha mafunzo ya mara kwa mara kwa watumishi wake. Hayo yamebainishwa na mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa PURA,…

    Continue Reading

  • DKT. MWIGULU AAGIZA WALIOIBA MILIONI 500 MANYONI KUKAMATWA – Habari Mpya

    *Aagiza watumishi waliohusika na ubadhirifu wa zaidi ya shilingi milioni 500 Manyoni wakamatwe na fedha zirudishwe * Akemea rushwa, wizi wa fedha za umma na matumizi mabaya ya madaraka * Aonya viongozi wanaowaza vyeo badala ya kutatua changamoto za wananchi WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza watumishi waliohusishwa na ubadhirifu wa zaidi ya shilingi milioni…

    Continue Reading

  • Mradi wa maji wa Sh2.1 bilioni kuboresha maisha ya wananchi Maswa

    Mradi wa maji wa Sh2.1 bilioni kuboresha maisha ya wananchi Maswa

    Maswa. Wananchi wa vijiji vya Mwabayanda na Mwasita wilayani Maswa mkoani Simiyu, wanatarajia kunufaika na huduma ya maji safi na salama kupitia mradi wa maji wenye thamani ya Sh2.1 bilioni uliosainiwa kati ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Maswa (Mauwasa) na mkandarasi Kampuni ya Zongii Contractors Ltd ya jijini Mwanza. Mradi…

    Continue Reading

  • CCM yasisitiza ulinzi wa miundombinu ya Stendi mpya Moshi

    CCM yasisitiza ulinzi wa miundombinu ya Stendi mpya Moshi

    Moshi. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewataka wananchi wa Moshi kulinda miundombinu ya mradi wa Stendi ya Kimataifa ya Ngangamfumuni, kisisitiza kuwa ni mali ya umma iliyogharimu fedha nyingi hivyo inapaswa kutunzwa ili idumu na kuwanufaisha vizazi vya sasa na vijavyo. Kimesema miradi ya maendeleo ni nguzo muhimu ya ustawi wa wananchi na hivyo inahitaji ulinzi…

    Continue Reading

  • Mtambo wa oksijeni ulivyopunguza gharama Mawenzi

    Mtambo wa oksijeni ulivyopunguza gharama Mawenzi

    Moshi. Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mawenzi, Kilimanjaro imeondokana na utegemezi wa oksijeni baada ya kuanza kutumia mtambo wa kuzalisha hewa tiba ya oksijeni, na kuimarisha utoaji wa huduma za afya kwa wagonjwa. Hatua hiyo imetajwa kupunguza kwa kiasi kikubwa  gharama za uendeshaji na kuiwezesha kuokoa Sh126 milioni katika kipindi cha miezi sita. Mradi huo…

    Continue Reading

  • Serikali yawatoa hofu wanaopisha miradi ya maji

    Serikali yawatoa hofu wanaopisha miradi ya maji

    Dar es Salaam. Serikali imeondoa hofu kwa wananchi wanaopisha utekelezaji wa mradi wa maji Manyoni mkoani Singida, ikiahidi kulipa fidia kwa mujibu wa sheria. Hakikisho hilo limetolewa kufuatia malalamiko ya baadhi ya wananchi waliodai kunyang’anywa maeneo yao ili kupisha miradi ya maendeleo, hususan mradi wa maji unaotekelezwa wilayani Manyoni. Akizungumza mbele ya wananchi wakati wa…

    Continue Reading

  • Dk Mwigulu aagiza sheria ya uchaguzi wa naibu meya kufanyiwa marekebisho

    Dk Mwigulu aagiza sheria ya uchaguzi wa naibu meya kufanyiwa marekebisho

    Dodoma. Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amemwelekeza Waziri wa Tamisemi, kufanyia marekebisho sheria inayosimamia uchaguzi wa naibu meya na makamu wenyeviti wa halmashauri za wilaya na manispaa. Dk Mwigulu amesema utaratibu wa kufanya uchaguzi wa viongozi hao kila mwaka umekuwa ukikwamisha utekelezaji wa shughuli za maendeleo kwa kuwa viongozi wengi hutumia muda mwingi kujiandaa kwa…

    Continue Reading

  • Kituo cha mabasi Ngangamfumuni kuifungua Moshi

    Kituo cha mabasi Ngangamfumuni kuifungua Moshi

    MOSHI: UJENZI wa Kituo Kikuu cha Mabasi cha Kimataifa cha Ngangamfumuni katika Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro unatajwa kuwa chachu ya kuibadilisha Manispaa hiyo na kuwa kitovu kipya cha shughuli za kiuchumi Kanda ya Kaskazini. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Maoinduzi (CCM)Taifa, Kenani Kihongosi amebainisha hayo leo Mei 30,2026 alipotembelea…

    Continue Reading

  • Mtaka ataka viongozi wa dini kuihubiria jamii itende mema

    Mtaka ataka viongozi wa dini kuihubiria jamii itende mema

    Njombe. Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka amesema viongozi wa dini wana wajibu wa kuihubiria jamii katika kutenda mema ili waweze kuwa na mwisho mzuri watakapoondoka duniani. Katika hafla ya chakula iliyoandaliwa nyumbani kwake, yenye lengo la kuwapongeza viongozi wa Kanisa la Waadventist Wasabato Tanzania, ambao waliweka kambi ya mwezi mmoja kuhubiri neno la…

    Continue Reading

  • Mitungi 3,000 yazalishwa Hospitali ya Rufaa Mawenzi

    Mitungi 3,000 yazalishwa Hospitali ya Rufaa Mawenzi

    KILIMANJARO: ZAIDI ya Mitungi 3000 ya Oksijeni imezalishwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mawenzi katika kipindi cha miezi sita tangu, hali iliyosaidia kuondoa changamoto ya upatikanaji wa hewa tiba katika hospitali hiyo. Hayo yamebainishwa leo na Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo, Dk Abdillah Issah alipokuwa akisoma taarifa ya ya mradi huo mbele ya Katibu…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports