Author: admin

  • Dk Nchimbi awataka wazazi kumuenzi Mama Magufuli kwa malezi bora

    Dk Nchimbi awataka wazazi kumuenzi Mama Magufuli kwa malezi bora

    Geita. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi amewataka wazazi na walezi nchini kuiga mfano wa malezi bora ya marehemu Sussana Ngolo kwa kuhakikisha wanalea watoto wenye maadili na uwezo wa kulitumikia taifa. Dk Nchimbi ametoa kauli hiyo leo Ijumaa, Mei 29, 2026 alipomwakilisha Rais Dk Samia Suluhu Hassan katika…

    Continue Reading

  • Koplo alivyowabwaga IGP, RPC kortini, uamuzi wao wabatilishwa

    Koplo alivyowabwaga IGP, RPC kortini, uamuzi wao wabatilishwa

    Kigoma. Zilikuwa siku 540 za panda, shuka ya kupigania haki yake na hatimaye Mahakama Kuu, Kanda ya Kigoma imempa haki kwa kuufuta uamuzi wa Desemba 4, 2024 wa kumfuta kazi, Koplo wa Polisi, Hamisi Sinzumwa. Hii ni baada ya kushinda shauri la maombi ya mapitio ya Mahakama namba 4685 ya 2026, aliyokuwa ameyafungua dhidi ya…

    Continue Reading

  • Miamala ya simu yageuka dhahabu mpya kwa kampuni za mawasiliano

    Miamala ya simu yageuka dhahabu mpya kwa kampuni za mawasiliano

    Kwa miaka mingi, kampuni za mawasiliano nchini zilijenga biashara zao kwa kutegemea zaidi huduma za kupiga simu na ujumbe mfupi wa maandishi (SMS). Hizo ndizo zilikuwa injini kuu ya mapato na ushindani katika sekta hiyo. Hivyo, mabadiliko ya teknolojia na tabia za watumiaji sasa yamegeuza mwelekeo huo, huku huduma za miamala ya fedha kupitia simu…

    Continue Reading

  • Tanzania, Brazil zapinga utumikishaji watoto

    Tanzania, Brazil zapinga utumikishaji watoto

    DAR ES SALAAM: Tanzania na Brazil zimekutana katika mkutano wa siku tatu kujadili namna ya kupambana na utumikishwaji wa watoto kwenye kilimo cha pamba kupitia mradi wa Cotton With Decent Work unaoratibiwa na International Labour Organization (ILO). Mkutano huo umejikita katika kubadilishana uzoefu wa kukuza kazi zenye staha, usalama na afya kazini pamoja na hifadhi…

    Continue Reading

  • Tanzania kutekeleza miradi 60 ya Dola bilioni 2.85

    Tanzania kutekeleza miradi 60 ya Dola bilioni 2.85

    ARUSHA: TANZANIA imejiandaa kutekeleza kwa zaidi ya miradi 60 yenye thamani ya Dola za Kimarekani bilioni 2.85 sawa na zaidi ya Sh trilioni 7 hadi 8 kupitia sekta mbalimbali za utalii, uvuvi, uchumi wa buluu, miundombinu na sekta nyinginezo. Hayo yamesemwa leo Jijini Arusha na Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi(TISEZA)…

    Continue Reading

  • Kigoma kuondoa vikwazo vya wasafirishaji saruji

    Kigoma kuondoa vikwazo vya wasafirishaji saruji

    KIGOMA: SERIKALI mkoani Kigoma imeahidi kutatua changamoto zisizo za kikodi zinazowakabili wafanyabiashara na wasafirishaji wa malighafi ya kutengeneza saruji (Clinker) kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kupitia Bandari ya Kigoma kuelekea Rwanda. Ahadi hiyo imetolewa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma, Hassan Rugwa, baada ya kupokea ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Rwanda ulioongozwa na Habib…

    Continue Reading

  • BUNGE LAPITISHA SH. BILIONI 210.2 KWA WIZARA YA ARDHI MWAKA 2026/2027 – Habari Mpya

    BUNGE LAPITISHA SH. BILIONI 210.2 KWA WIZARA YA ARDHI MWAKA 2026/2027 – Habari Mpya

    Na. Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mei 29, 2026 limepitisha jumla ya Shilingi bilioni 210.2 kwa ajili ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kutekeleza majukumu yake katika mwaka wa fedha 2026/2027. Fedha hizo zinajumuisha Shilingi bilioni 100.2 kwa matumizi ya kawaida na Shilingi bilioni…

    Continue Reading

  • Mtendaji Simanjiro miaka 20 jela kwa ubadhirifu wa Sh3.3 milioni

    Mtendaji Simanjiro miaka 20 jela kwa ubadhirifu wa Sh3.3 milioni

    Simanjiro. Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Ruvu Remit wilayani Simanjiro mkoani Manyara, Godbless Mollel amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la ubadhirifu na wizi wa fedha za kijiji. Hukumu hiyo imetolewa Mei 28, 2026 na Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Wilaya ya Simanjiro, Onesmo Nicodemos katika shauri la uhujumu uchumi namba 22415/2025. Mahakama hiyo…

    Continue Reading

  • MAHUNDI AWASILISHA RANDAMA, BAJETI YA MAENDELEO YA JAMII KUSOMWA JUMATATU – Habari Mpya

    MAHUNDI AWASILISHA RANDAMA, BAJETI YA MAENDELEO YA JAMII KUSOMWA JUMATATU – Habari Mpya

    Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi, leo tarehe 29 Mei, 2026 amewasilisha Randama ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 mbele ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikiwa ni…

    Continue Reading

  • Askofu Kassala ahimiza malezi sawa kwa watoto, aonya ubaguzi

    Askofu Kassala ahimiza malezi sawa kwa watoto, aonya ubaguzi

    Geita. Askofu wa Jimbo Katoliki la Geita, Flavian Kassala ametoa wito kwa wazazi na walezi nchini kutimiza wajibu wao wa malezi na usimamizi bora wa watoto bila ubaguzi. Askofu Kassala amesema kutokana na maendeleo ya kiuchumi na teknolojia, kwa sasa imeibuka jamii hatarishi ambapo baadhi ya watu hawapendi kuzaa huku wengine wakitelekeza watoto baada ya…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports