Author: admin
-

Udongo wenye afya: Msingi wa mapinduzi ya kilimo Afrika
Udongo wenye afya ni msingi wa uzalishaji bora wa chakula na ustawi wa wakulima. Hata hivyo, katika kijiji cha Mbangamao, wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, simulizi ya mkulima mmoja inaakisi hali halisi inayowakabili mamilioni ya wakulima barani Afrika. Miaka kumi iliyopita, alivuna kwa wingi na kuhudumia familia pamoja na kuuza ziada. Leo, licha ya kutumia mbinu…
-
NILIVYOFANIKIWA KUPATA URAIS WA NJE BAADA YA MIAKA YA KUKATALIWA NA KARIBU KUPOTEZA MATUMAINI – Habari Mpya
Kwa miaka mingi nilikuwa na ndoto ya kuanza maisha mapya nje ya nchi. Nilikuwa naamini kupata uraia wa nje kungefungua milango mipya ya opportunities kwa maisha yangu na familia yangu. Niliona watu wengi wakibadilisha maisha yao baada ya kuhamia nje, na moyoni nilikuwa na tumaini kuwa siku moja na mimi ningefanikiwa. Lakini safari haikuwa rahisi.…
-

Takukuru yadhibiti uuzaji wa viwanja vyenye thamani ya Sh3 bilioni Arusha
Arusha. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Arusha imefanikiwa kudhibiti uuzaji wa viwanja vitatu vyenye thamani ya zaidi ya Sh3 bilioni kinyume na taratibu. Akitoa taarifa ya utekelezaji wa shughuli za taasisi hiyo kwa kipindi cha Januari hadi Machi 2026, Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Arusha, Zawadi Ngailo amesema wamefanikiwa kudhibiti…
-

SERIKALI YASAINI MIKATABA MIWILI YA UJENZI CHINI YA MRADI WA BIG-Z – Habari Mpya
NA FAUZIA MUSSA SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imetiliana saini mikataba miwili ya ujenzi na kampuni ya Stabit Corporation Limited pamoja na Salem Construction Limited chini ya Mradi wa BIG-Z, unaolenga kuimarisha miundombinu ya mijini, usimamizi wa mazingira na huduma za kijamii Zanzibar. Mikataba hiyo inahusisha ujenzi wa Kituo cha…
-

Sababu Tanzania kuzipiku China na Kenya nchini Uganda
Tanzania imeipiku China na kuwa chanzo kikubwa zaidi cha bidhaa zinazoingizwa Uganda, jambo linaloonyesha mabadiliko makubwa katika mtiririko wa biashara za kikanda yaliyochochewa zaidi na ongezeko kubwa la uagizaji wa dhahabu na madini ya thamani. Kitabu cha Takwimu cha Mamlaka ya Mapato Uganda (URA) cha mwaka 2024/25 kilichochapishwa Machi mwaka huu kinaonyesha kuwa Uganda iliagiza…
-

Sababu za Tanzania kuzipiku China na Kenya nchini Uganda
Tanzania imeipiku China na kuwa chanzo kikubwa zaidi cha bidhaa zinazoingizwa Uganda, jambo linaloonyesha mabadiliko makubwa katika mtiririko wa biashara za kikanda yaliyochochewa zaidi na ongezeko kubwa la uagizaji wa dhahabu na madini ya thamani. Kitabu cha Takwimu cha Mamlaka ya Mapato Uganda (URA) cha mwaka 2024/25 kilichochapishwa Machi mwaka huu kinaonyesha kuwa Uganda iliagiza…
-

RAIS DKT. SAMIA CHINI YA CCM AMEREJESHA UTULIVU, IMANI NA MSHIKAMANO WA TAIFA – Habari Mpya
Baada ya matukio ya Oktoba 29 yaliyoibua mjadala mkubwa wa kisiasa na kijamii nchini, Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuonekana kuchukua hatua za busara zilizosaidia kurejesha utulivu, kuimarisha mshikamano wa kitaifa na kujenga mazingira mapya ya maridhiano.…
-

Wananchi Masasi kupata huduma za kibingwa bure kumuenzi Mkapa
Dodoma. Madaktari bingwa wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa (BMH) wameanza safari kuelekea Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara kwa ajili ya kutoa huduma za matibabu bure kwa wananchi katika kambi maalumu ya afya. Kambi hiyo imeandaliwa kuadhimisha miaka sita tangu kifo cha Rais wa Awamu ya Tatu wa Tanzania, hayati Benjamin William…
-

MAKAMU WA RAIS WASILI VIWANJA VYA KILIMANI CHATO KUAGA MWILI WA MAMA WA HAYATI DKT. MAGUFULI – Habari Mpya
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili katika Viwanja vya Kilimani Wilayani Chato Mkoani Geita, ambapo anaungana na waombolezaji mbalimbali kushiriki Ibada ya kumuaga na kumuombea Marehemu Bi. Suzana Ngolo Magufuli ambaye ni Mama wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…
-

Benki ya Dunia yaingilia kati mlipuko wa Ebola ukitikisa Afrika
Dar es Salaam. Benki ya Dunia (WB) imetangaza hatua za haraka za kifedha na kiufundi kusaidia kudhibiti mlipuko mpya wa Ebola unaoendelea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Uganda, huku tahadhari ikiongezeka kuhusu uwezekano wa kusambaa kwa ugonjwa huo katika nchi jirani za Afrika Mashariki na Kati. Katika taarifa yake iliyotolewa jana Mei…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed













