Author: admin

  • Mafanikio Serengeti Boys yatinga bungeni

    Mafanikio Serengeti Boys yatinga bungeni

    DODOMA; MBUNGE wa Bunda Mjini, Amos Bulaya muda huu anawasilisha hoja bungeni kuhusu Azimio la Bunge kuipongeza timu ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 (Serengeti Boys) kutinga hatua ya fainali katika michuano ya AFCON 2026 inayoendelea Morocco na kukata tiketi ya kushiriki Mashindano ya Kombe la Dunia la vijana chini ya…

    Continue Reading

  • SALOME – Habari Mpya

    SALOME – Habari Mpya

    * Vituo vitano vya CNG vinavyohamishika kununuliwa. Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba amesema Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), kwa kushirikiana na sekta binafsi, inaendelea na maandalizi ya ujenzi wa vituo 10 vya CNG (Gesi Asilia Iliyobanwa) nchini katika mikoa ya Dar es Salaam vituo nane, Mtwara kituo kimoja na…

    Continue Reading

  • Wanafunzi BTI waisifu serikali ujenzi wa bweni

    Wanafunzi BTI waisifu serikali ujenzi wa bweni

    TABORA: WANAFUNZI wakike wa Chuo cha Mafunzo ya Ufugaji Nyuki (BTI),Tabora ameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii kuwajengea bweni la kisasa la ghorofa moja ambalo limekuwa ni chachu kubwa ya kuongezeka kwa idadi yao kwenye sekta nyuki nchini. Wanafunzi, Dorotha Bahati, Mwanahawa Khalfani, Zaida Athumani pamoja na Jesca…

    Continue Reading

  • Mbunge ahoji serikali inatoa elimu bure au elimu bila ada

    Mbunge ahoji serikali inatoa elimu bure au elimu bila ada

    DODOMA;Mbunge wa Tarime Mjini, Mwita Waitara, ameuliza bungeni kama serikali inatoa elimu bure au inatoa elimu bila ada. Akijibu swali hilo Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), Dk Festus Dugange kwa niaba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, amesema serikali imeendelea kutekeleza Sera ya utoaji wa ElimuMsingi bila mzazi/mlezi kuchangia ada. ”Katika kutekeleza…

    Continue Reading

  • Tanzania yajipanga kuwa kinara wa graphite duniani

    Tanzania yajipanga kuwa kinara wa graphite duniani

    Dar es Salaam. Serikali imesema Tanzania inajiandaa kuwa miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa madini ya kinywe duniani yanayotumika katika utengenezaji wa betri za magari ya umeme. Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema Tanzania kwa sasa ina kampuni 30 zinazomiliki leseni za kati na kubwa za uchimbaji wa madini kinywe, jambo linalotarajiwa kuongeza ushindani wa uzalishaji…

    Continue Reading

  • Vita ya malaria Zanzibar kisasa zaidi

    Vita ya malaria Zanzibar kisasa zaidi

    Unguja. Ni dhahiri sasa Zanzibar imedhamiria kumaliza maambukizi ya ugonjwa wa malaria, baada ya kuanza mapambano hayo kwa njia za kisasa zaidi. Hii ni baada ya kuzinduliwa mradi maalumu wa kutumia ndege nyuki, kutambua na kuangamiza mazalia ya mbu katika kuhakikisha Zanzibar inafikia malaria sifuri. Wizara ya Afya inasema inaendelea kuchukua hatua mbalimbali za kumaliza…

    Continue Reading

  • Tabora kuwa kinara utalii mambo ya kale

    Tabora kuwa kinara utalii mambo ya kale

    TABORA: SERIKALI kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii chini ya Idara ya Mambo ya Kale inatarajia kuanisha wazi vivutio vya mambo ya kale katika mkoa wa Tabora yakiwemo Makumbusho ya Dk David Livingstone, ziweze kufahamika duniani kuwa ni sehemu ya vivutio vya utalii kwa ajili ya  kukuza sekta ya utalii kiuchumi. Waziri wa Wizara hiyo,…

    Continue Reading

  • Tabora kuwa kinara utalii mambo ya kale

    Tabora kuwa kinara utalii mambo ya kale

    TABORA: SERIKALI kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii chini ya Idara ya Mambo ya Kale inatarajia kuanisha wazi vivutio vya mambo ya kale katika mkoa wa Tabora yakiwemo Makumbusho ya Dk David Livingstone, ziweze kufahamika duniani kuwa ni sehemu ya vivutio vya utalii kwa ajili ya  kukuza sekta ya utalii kiuchumi. Waziri wa Wizara hiyo,…

    Continue Reading

  • Vinywaji vya sukari vinavyowasababishia wanaume upara

    Vinywaji vya sukari vinavyowasababishia wanaume upara

    Mwanza. Watafiti wanaonya kuwa huenda kuna uhusiano kati ya unywaji wa vinywaji vyenye sukari nyingi na upotevu wa nywele kwa wanaume, hali inayoweza kuongeza hatari ya kupata upara kwa wanaume wanaopendelea matumizi ya vinywaji hivyo kwa wingi. Upara kwa wanaume unaojulikana kitabibu kama ‘Androgenetic alopecia’ ni hali ya kawaida inayowapata mamilioni ya wanaume duniani. Kwa…

    Continue Reading

  • Miradi yalenga kuzalisha lita bilioni 13 za maziwa

    Miradi yalenga kuzalisha lita bilioni 13 za maziwa

    IRINGA: Katika kuadhimisha Wiki ya Unywaji Maziwa nchini inayofanyika kitaifa mkoani Iringa, Bodi ya Maziwa Tanzania imetambulisha miradi miwili mikubwa ya kimkakati inayolenga kuleta mapinduzi katika sekta ya maziwa nchini kwa kuongeza uzalishaji, kuboresha mifugo, kuimarisha usindikaji na kuongeza kipato cha wafugaji. Miradi hiyo ni Tanzania Inclusive Processor–Producer Partnership in Dairy (TI3P) pamoja na Climate-Smart…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports