Author: admin

  • MAHITAJI YA VYUNGU VYA UCHUNGUZI WA SAMPULI ZA MADINI (CRUCIBLES) YAONGEZEKA NCHINI  – Habari Mpya

    MAHITAJI YA VYUNGU VYA UCHUNGUZI WA SAMPULI ZA MADINI (CRUCIBLES) YAONGEZEKA NCHINI  – Habari Mpya

    *Wadau wa Sekta ya Madini Waendelea Kununua Crucibles za GST  Dodoma – Mbwanga Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imeendelea kushuhudia ongezeko kubwa la mahitaji na ununuzi wa vyungu maalumu vya uchunguzi wa sampuli za madini ya metali (crucibles) vinavyozalishwa na taasisi hiyo, hatua inayolenga kuimarisha shughuli za uchunguzi wa madini nchini…

    Continue Reading

  • Mahakama yatoa uamuzi mzito Chadema

    Mahakama yatoa uamuzi mzito Chadema

    Babati. Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Babati mkoani Manyara, imetoa zuio la muda kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuchukua hatua zozote kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Amri ya zuio hilo la upande mmoja (ex parte temporary prohibitory) limetolewa Jumatatu Mei 25, 2026 na Jaji Irvin Mugeta alipotoa uamuzi mdogo katika…

    Continue Reading

  • Majivu ya Mchina aliyeuawa Dar yatakavyozikwa

    Majivu ya Mchina aliyeuawa Dar yatakavyozikwa

    Dar es Salaam. Kwa mila na desturi za kichina, mtu anapofariki dunia mwili wake huchomwa moto na majivu yake kuhifadhiwa ndani ya kisanduku maalumu kabla ya kuzikwa kaburini kama ilivyo kwa mazishi ya maeneo mengine. Baada ya mwili kuchomwa moto, familia hufanya taratibu za mwisho za kuaga majivu, kisha kisanduku hicho huzikwa ardhini kwenye kaburi…

    Continue Reading

  • Majivu ya Mchina aliyeuawa Dar yatakavyozikwa China

    Majivu ya Mchina aliyeuawa Dar yatakavyozikwa China

    Dar es Salaam. Kwa mila na desturi za kichina, mtu anapofariki dunia mwili wake huchomwa moto na majivu yake kuhifadhiwa ndani ya kisanduku maalumu kabla ya kuzikwa kaburini kama ilivyo kwa mazishi ya maeneo mengine. Baada ya mwili kuchomwa moto, familia hufanya taratibu za mwisho za kuaga majivu, kisha kisanduku hicho huzikwa ardhini kwenye kaburi…

    Continue Reading

  • Bei za mbuzi zapanda Dar

    Bei za mbuzi zapanda Dar

    WAKATI Waislamu duniani wakijiandaa kuadhimisha Sikukuu ya Eid al-Adha inayohusisha ibada ya kuchinja wanyama, wafanyabiashara wa mifugo katika Soko la Vingunguti jijini Dar es Salaam wamesema biashara ya mbuzi mwaka huu imekumbwa na ushindani mkubwa pamoja na kupanda kwa gharama za biashara. Akizungumza na Daily News Digital, mmoja wa wauzaji wa mbuzi katika soko hilo…

    Continue Reading

  • Watu wanne wafariki dunia baada ya treni kugonga basi la shule Ubelgiji

    Watu wanne wafariki dunia baada ya treni kugonga basi la shule Ubelgiji

    Watu wanne wakiwemo watoto wawili wamefariki dunia baada ya treni kugonga basi la shule katika eneo la Buggenhout nchini Ubelgiji. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Naibu Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Maxime Prévot amesema ajali hiyo imetokea leo Jumanne Mei 26, 2026 na kusababisha vifo vya watu hao wanne huku wengine wakipata mshtuko mkubwa kutokana…

    Continue Reading

  • WAANDISHI WA HABARI WATAKIWA KUTAFAKARI UPYA WAJIBU WAO – Habari Mpya

    Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Bw. Tido Mhando, amewataka Waandishi wa Habari nchini kutafakari upya wajibu wao katika kuijenga jamii kupitia maudhui yenye tija, akieleza kuwa ipo haja ya kurejesha hadhi na nguvu ya taaluma hiyo katika kujenga fikra na maendeleo ya taifa. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Bw. Mhando…

    Continue Reading

  • Waziri Mkuu aliyetenguliwa Senegal achaguliwa kuwa Spika

    Waziri Mkuu aliyetenguliwa Senegal achaguliwa kuwa Spika

    Bunge la Taifa la Senegal limemchagua waziri mkuu aliyeondolewa madarakani, Ousmane Sonko, kuwa spika wake. Kuchaguliwa Sonko kuwa spika kumefanyika ndani tya siku nne baada ya Rais Bassirou Diomaye Faye kumfuta kazi, huku wabunge walio wachache bungeni wakidai kurejeshwa mwanasiasa huyo katika Bunge la Taifa kuwa kinyume cha sheria. Sonko ni kiongozi wa Chama cha…

    Continue Reading

  • WAZIRI MKUU ATETA NA RAIS WA BENKI YA AfDB – Habari Mpya

    WAZIRI MKUU ATETA NA RAIS WA BENKI YA AfDB – Habari Mpya

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Sidi Ould Tah kando ya Mkutano wa 61 wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika unaofanyika leo Jumanne Mei 26, 2026 katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kintele (Kintele Congress Centre) jijini…

    Continue Reading

  • WAFANYAKAZI TARURA WAHIMIZWA KUENDELEA KUFANYA KAZI KWA UFANISI LICHA YA MAFANIKIO – Habari Mpya

    WAFANYAKAZI TARURA WAHIMIZWA KUENDELEA KUFANYA KAZI KWA UFANISI LICHA YA MAFANIKIO – Habari Mpya

    ‎Tabora ‎Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff, amewataka wafanyakazi wa Wakala huo kuendelea kuongeza juhudi, weledi na uwajibikaji katika utekelezaji wa majukumu yao licha ya pongezi wanazoendelea kupokea kutoka kwa wananchi kutokana na maboresho ya miundombinu nchini. ‎Mhandisi Seff ametoa rai hiyo wakati wa ufunguzi wa mkutano…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports