Author: admin

  • Taasisi zapewa somo ziwajibike kwa jamii

    Taasisi zapewa somo ziwajibike kwa jamii

    DODOMA; Mwenza wa Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, Mama Neema Nchemba amehimiza aaasisi za umma na binafsi kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuboresha huduma za kijamii kupitia utekelezaji wa programu za Uwajibikaji kwa Jamii (CSR). Amesema hayo, Juni 16, 2026 katika hafla ya kukabidhi vifaa vya hospitali vilivyotolewa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS)…

    Continue Reading

  • Mbinu kumlinda mtoto dhidi ya matumizi hasi ya teknolojia hizi hapa

    Mbinu kumlinda mtoto dhidi ya matumizi hasi ya teknolojia hizi hapa

    Dar es Salaam. Wakati nchi za Afrika leo zikiadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika, wadau wa malezi, elimu na teknolojia wameonya kuhusu kuongezeka kwa matumizi hasi ya teknolojia miongoni mwa watoto, wakitaka hatua za haraka kuchukuliwa ili kuwalinda dhidi ya hatari zinazotokana na matumizi yasiyo salama ya mitandao na vifaa vya kidijitali. Siku ya Mtoto…

    Continue Reading

  • JESHI LA MAGEREZA LASHIRIKI MAADHIMISHO YA KITAIFA YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2026 – Habari Mpya

    JESHI LA MAGEREZA LASHIRIKI MAADHIMISHO YA KITAIFA YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2026 – Habari Mpya

    Na. Ssgt Mawazo Mtondo – Dodoma. Jeshi la Magereza kwa mara nyingine tena linashiriki kikamilifu kwenye Maadhimisho ya Kitaifa ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2026 Maadhimisho ambayo ni moja ya Maazimio ya Umoja wa Afrika (AU).  Hivyo, Jeshi la Magereza linawakaribisha wananchi wote wa Tanzania kutembelea Banda la Magereza katika Maadhimisho ya…

    Continue Reading

  • Aweso aivunja menejimenti ya Mwauwasa, aonya uzembe

    Aweso aivunja menejimenti ya Mwauwasa, aonya uzembe

    Mwanza. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameivunja Menejimenti ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (Mwauwasa) kutokana na kutoridhishwa na kiwango cha utoaji huduma ya majisafi na salama jijini Mwanza. Uamuzi huo umefuatia ziara ya kikazi aliyoifanya Waziri jijini Mwanza, ambapo amebaini uwepo wa changamoto za upatikanaji wa huduma ya majisafi na salama…

    Continue Reading

  • MAGARI MABOVU 07 YAKAMATWA, MADEREVA WENYE LESENI ZILIZOISHA MUDA WACHUKULIWA HATUA-SONGWE. – Habari Mpya

    MAGARI MABOVU 07 YAKAMATWA, MADEREVA WENYE LESENI ZILIZOISHA MUDA WACHUKULIWA HATUA-SONGWE. – Habari Mpya

    Magari saba (07) yaliyobainika kuwa na ubovu mkubwa yameondolewa namba za usajili, mengine yakatozwa faini huku baadhi yakielekezwa kurekebisha kasoro mbalimbali za kiufundi, kufuatia operesheni maalumu ya ukaguzi wa magari yanayotoa huduma za usafiri wa abiria iliyofanywa na Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Songwe katika Wilaya ya Songwe na vijiji vyake, kwa lengo la…

    Continue Reading

  • Makada Chadema walivyohojiwa Polisi kuhusu maandamano

    Makada Chadema walivyohojiwa Polisi kuhusu maandamano

    Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimedai kadhia ambayo viongozi wake wanakutana nayo ikiwamo kukamatwa au kuitwa polisi kuhojiwa ni matokeo ya tuhuma zilizotolewa na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi kuwatuhumu kupanga maandamano. Chadema imelitaka Jeshi la Polisi kumwita kiongozi huyo wa CCM kumhoji…

    Continue Reading

  • VULLU AWASIHI WAZAZI KUIMARISHA MALEZI,HUKU AKIGUSIA HATARI KWA WATOTO WA KIUME – Habari Mpya

    VULLU AWASIHI WAZAZI KUIMARISHA MALEZI,HUKU AKIGUSIA HATARI KWA WATOTO WA KIUME – Habari Mpya

    Na Mwamvua Mwinyi, KibahaJuni 16, 2026 Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Pwani, Zainab Vullu, amewasihi wazazi na walezi kuimarisha malezi ya watoto kwa kuwajenga katika misingi ya maadili, hususan watoto wa kiume ambao kwa sasa wanakabiliwa na hatari zinazotokana na mazingira hatarishi na mmomonyoko wa maadili. Amesema taifa haliwezi kuwa na maendeleo endapo watoto wa…

    Continue Reading

  • Kauli za kukemea ubaguzi zatikisa Bunge, Baraza la Wawakilishi

    Kauli za kukemea ubaguzi zatikisa Bunge, Baraza la Wawakilishi

    Dar/Zanzibar. Mjadala wa kurushiana vijembe kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi la Zanzibar umeibuka baina ya wabunge na wawakilishi hali ambayo imekemewa na baadhi yao kuwa inaweza kuhatarisha Muungano na mshikamano wa kitaifa. Wakichangia mjadala wa bajeti, baadhi ya wabunge wameonya kauli zinazotolewa na baadhi ya mawaziri upande wa…

    Continue Reading

  • Vijana wapewa mbinu za kuitumia AI kwa mtindo mwingine

    Vijana wapewa mbinu za kuitumia AI kwa mtindo mwingine

    Dar es Salaam. Tanzania imejipanga kujenga uhuru wa nchi kupitia teknolojia ya akili unde (AI) na siyo kuwa na akili unde inayotengeneza utegemezi. Hivyo, katika kuhakikisha hilo vijana wamatakiwa kuwa wabunifu kwa kuja na mifumo ya AI itakayotumika kusaidia biashara, ujasiriamali na fursa mbalimbali za ndani na nje ya nchi. Hayo yamebainishwa leo Jumanne, Juni…

    Continue Reading

  • Watoto 626 wafanyiwa ukatili Maswa ndani ya miezi 12

    Watoto 626 wafanyiwa ukatili Maswa ndani ya miezi 12

    Maswa. Jumla ya watoto 626 katika Wilaya ya Maswa, Mkoa wa Simiyu, wamefanyiwa vitendo mbalimbali vya ukatili katika kipindi cha Julai 2025 hadi Juni 2026, huku wa kike wakiongoza kuathirika zaidi kuliko watoto wa kiume. Takwimu hizo zimetolewa leo Jumane, Juni 16, 2026 na Kaimu Ofisa Ustawi wa Jamii Wilaya ya Maswa, Salome Bahati wakati…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports