Author: admin

  • TANZANIA NA CANADA KUSHIRIKIANA KWENYE UTAFITI WA KINA WA MADINI NCHINI – Habari Mpya

    TANZANIA NA CANADA KUSHIRIKIANA KWENYE UTAFITI WA KINA WA MADINI NCHINI – Habari Mpya

    ▪️Serikali ya Canada yavutiwa na MINING VISION 2030 ▪️Utafiti kugusa mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kaskazini ya Tanzania ▪️Waziri Mavunde awaelekeza GST kuainisha maeneo ya kimkakati ▪️Tafiti za kina za madini kuondoa uchimbaji wa kubahatisha ▪️Tanzania yajipanga kufikisha eneo la utafiti kutoka 16% kwenda 50% ifikapo 2030 *📍Dodoma* Tanzania na Canada zimekubaliana kuimarisha ushirikiano…

    Continue Reading

  • Vurugu zatokea msibani mabomu yapigwa, jeneza juu ya gari la DC

    Vurugu zatokea msibani mabomu yapigwa, jeneza juu ya gari la DC

    Dar es Salaam. Vurugu zimeibuka katika mazishi ya kijana aliyepoteza maisha akidaiwa kugongwa na gari la polisi wakati wanamkimbiza, wenzake wakishinikiza pikipiki yake iliyochomwa moto inunuliwe mpya. Jambo lingine lililozua vurugu msibani hapo Kijiji cha Ngirinyi, kata ya Nasai, Wilaya ya Siha, mkoani Kilimanjaro kwa mujibu wa mashuhuda, ni kitendo cha vijana 10 kushikiliwa na…

    Continue Reading

  • WATUMISHI SABA MANYONI NA MZABUNI WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA UTAKATISHAJI FEDHA MILIONI 501 – Habari Mpya

    Na John Bukuku Watumishi saba wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni pamoja na mzabuni mmoja wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Manyoni wakikabiliwa na mashtaka mbalimbali ya uhujumu uchumi yakiwemo utakatishaji fedha unaodaiwa kuhusisha zaidi ya Sh milioni 501 za Serikali. Kesi hiyo ya Uhujumu Uchumi Na. 13485/2026 ilifunguliwa Juni 16, 2026 dhidi ya aliyekuwa…

    Continue Reading

  • Kongamano la Utumishi wa Umma kufanyika Dar, Dk Nchimbi kuwa mgeni rasmi

    Kongamano la Utumishi wa Umma kufanyika Dar, Dk Nchimbi kuwa mgeni rasmi

    Dar es Salaam. Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), kwa kushirikiana na Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar (IPA), kimeandaa Kongamano la Pili la Utumishi wa Umma Tanzania litakalofanyika Juni 18, 2026 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam. Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi,…

    Continue Reading

  • Bunge latoa neno kukwama kwa miradi PPP

    Bunge latoa neno kukwama kwa miradi PPP

    DODOMA: Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeingilia kati kusuasua kwa miradi ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), likionya kuwa kukwama kwa miradi hiyo kunasababisha hasara kubwa ya mapato ya taifa na kuchelewesha ahadi za maendeleo kwa wananchi. Kufuatia hali hiyo Juni 15, 2026, Spika wa Bunge ametoa agizo…

    Continue Reading

  • NMB na mageuzi ya kidijitali kupitia simu ya mkononi

    NMB na mageuzi ya kidijitali kupitia simu ya mkononi

    Dar es Salaam. Katika dunia inayoendeshwa kwa kasi kubwa ya mageuzi ya teknolojia, taasisi za fedha zimeanza kubadili mifumo ya utoaji huduma kutoka ile ya kawaida kwenda majukwaa ya kidijitali yanayokidhi mahitaji ya wateja wa kizazi kipya. Ili kuendana na mabadiliko hayo, Benki ya NMB imezindua NMB Mkononi Super App, hatua inayotafsiriwa kama jibu la…

    Continue Reading

  • Watanzania waitwa kongamano wabobezi wa AI duniani

    Watanzania waitwa kongamano wabobezi wa AI duniani

    Dar es Salaam. Watanzania wameitwa kuonesha bidhaa zao za kiteknolojia, bunifu pamoja na kujifunza kuhusu akili unde (AI) katika kongamano la Kimataifa la AI na Hatima ya Kazi (ICAFoW 2026) litakalofanyika kuanzia Septemba 24–26, 2026 jijini Dar es Salaam. Katika kongamano hilo, kutakuwa na wajumbe zaidi ya 1,000 na wazungumzaji 100 kutoka mataifa mbalimbali ya…

    Continue Reading

  • Polisi Kilimanjaro wanasa 138, mmoja ahukumiwa kifo

    Polisi Kilimanjaro wanasa 138, mmoja ahukumiwa kifo

    Moshi. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limewatia mbaroni watu 138 wanaotuhumiwa kujihusisha na makosa mbalimbali ya jinai, ikiwemo ujangili na biashara ya dawa za kulevya, katika operesheni maalumu iliyoanza Mei mwaka huu. Akitoa taarifa hiyo leo Juni 16, 2026, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amesema hali ya ulinzi na usalama mkoani…

    Continue Reading

  • Balozi Yakubu asisitiza ushirikiano Afrika kulinda urithi wa dunia

    Balozi Yakubu asisitiza ushirikiano Afrika kulinda urithi wa dunia

    Dar es Salaam. Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Saidi Othman Yakubu, amesema nchi za Afrika zinapaswa kuendelea kushirikiana katika kulinda, kuhifadhi na kuendeleza urithi wa asili na wa utamaduni wa bara hilo. Pia zihakikishe sauti ya Afrika inasikika kwa nguvu katika majukwaa ya kimataifa yanayojadili masuala ya urithi wa dunia. Balozi Yakubu, ambaye pia ni…

    Continue Reading

  • Serikali yazindua mradi wa Sh10.5 bilioni kuimarisha usambazaji  umeme Kongwa

    Serikali yazindua mradi wa Sh10.5 bilioni kuimarisha usambazaji  umeme Kongwa

    Dodoma. Serikali imeendelea kuimarisha uwekezaji katika sekta ya nishati kwa kuzindua mradi wa zaidi ya Sh10.5 bilioni wa kuboresha mfumo wa usambazaji wa umeme katika Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma na maeneo ya jirani. Mradi huo unalenga kuongeza uhakika wa huduma ya umeme na kuchochea maendeleo ya kiuchumi katika ukanda huo. Akizindua kituo cha kubadilishia…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports