Author: admin

  • Wazee Chadema kujifungia Singida kujadili mustakabali wa chama

    Wazee Chadema kujifungia Singida kujadili mustakabali wa chama

    Dar es Salaam. Baraza la Wazee la Chadema) (Bazecha) linatarajiwa kukuketi kwa siku mbili mkoani Singida kujadili masuala mbalimbali ya chama na kutoa ushauri kwa viongozi kuanzia ngazi za chini hadi taifa. Mkutano huo, unaotarajiwa kufanyika Juni 23 hadi 24, 2026, utawakutanisha wajumbe kutoka mikoa mbalimbali nchini kwa lengo la kukumbushana majukumu yao ya kikatiba,…

    Continue Reading

  • Safari bajeti za maendeleo zilivyoibadili Tanzania

    Safari bajeti za maendeleo zilivyoibadili Tanzania

    Katika kipindi cha miaka mitano, Serikali ilitenga zaidi ya Sh trilioni 228 kwenye bajeti zake huku Sh trilioni 76.3 zikielekezwa kwenye maendeleo. Je fedha hizo zimeleta matokeo gani katika maisha ya wananchi na uchumi wa Taifa? Ungana na SYLIVESTER DOMASA katika makala haya. Mwaka 2021, mkazi wa Sumbawanga aliyekuwa akihitaji huduma ya CT Scan au…

    Continue Reading

  • Mwendokasi kuachiwa kutoa huduma Mbagala, daladala kuhamishwa

    Mwendokasi kuachiwa kutoa huduma Mbagala, daladala kuhamishwa

    Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) imesema kuanzia Julai mosi, mwaka huu, daladala zote zinazotumia Barabara ya Kilwa hazitaruhusiwa kutoa huduma katika maeneo yanayohudumiwa na mradi wa mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi). Kwa mujibu wa Latra, wananchi wanaotoka Mkuranga, Tuangoma na vitongoji vingine, daladala zitakuwa zikiishia Kituo cha Mwendokasi cha Mbagala Rangitatu, na…

    Continue Reading

  • KIWANDA KIKUBWA CHA KUZALISHA BIDHAA ZA CHUMA KUJENGWA NALA, JIJINI DODOMA – Habari Mpya

    KIWANDA KIKUBWA CHA KUZALISHA BIDHAA ZA CHUMA KUJENGWA NALA, JIJINI DODOMA – Habari Mpya

    ▪️Ni uwekezaji wa zaidi ya Tsh Bilioni 600 ▪️Malighafi ya madini chuma kutumika kama bidhaa kuu ▪️Ajira 1500 kuzalishwa, huku ujenzi ukikamilika ndani ya miezi 15 kuanzia Julai, 2026  ▪️Rais Samia apongezwa kwa mazingira rafiki ya Uwekezaji ▪️Waziri Mavunde apongeza uongezaji thamani madini kutengeneza bidhaa 📍Dodoma Kufuatia mazingira mazuri ya uwekezaji yaliyowekwa na Serikali ya…

    Continue Reading

  • HISPANIA, CAPE VERDE ZAGAWANA POINTI KUNDI H – Habari Mpya

    Na. Fullshangwe Blog, Updates Michezo  Hispania imeanza kampeni yake ya Kombe la Dunia 2026 kwa kutoka sare ya bila kufungana dhidi ya Cape Verde katika mchezo wa Kundi H uliochezwa leo Juni 15,2026. Matokeo hayo yameifanya kila timu kujikusanyia pointi moja katika msimamo wa kundi hilo, ambalo pia linazijumuisha Saudi Arabia na Uruguay. Baada ya…

    Continue Reading

  • MCHUMI: Msamaha wa kodi kwa mafuta ya kula utachochea uwekezaji

    MCHUMI: Msamaha wa kodi kwa mafuta ya kula utachochea uwekezaji

    DAR ES SALAAM: Msamaha wa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwa mafuta ya kula yanayozalishwa kwa kutumia mbegu zinazozalishwa ndani ya nchi unatarajiwa kuongeza uwekezaji, ushindani wa viwanda vya ndani na kuchochea uzalishaji wa mazao ya mafuta nchini. Hayo yamesemwa na mchambuzi wa uchumi, Marandu Marwa, akizungumzia hatua mpya za Serikali zilizotangazwa katika bajeti…

    Continue Reading

  • Malalamiko ya wananchi kusuasua huduma ya maji yamng’oa kigogo Mwanza

    Malalamiko ya wananchi kusuasua huduma ya maji yamng’oa kigogo Mwanza

    Mwanza. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, ameagiza kusimamishwa kazi mara moja Meneja wa Usambazaji Maji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (Mwauwasa), Mhandisi Ramadhani Mramba, kutokana na malalamiko ya muda mrefu ya wananchi kuhusu huduma duni ya maji katika baadhi ya maeneo ya jiji la Mwanza. Aweso ametoa uamuzi leo  huo Jumatatu,…

    Continue Reading

  • Hapi: Viongozi CCM tatueni kero za wananchi acheni kushughulikiana

    Hapi: Viongozi CCM tatueni kero za wananchi acheni kushughulikiana

    Geita. Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, amewataka viongozi wa chama hicho kuacha kujikita katika vikao vya kushughulikiana ndani ya chama na badala yake kuelekeza nguvu katika kutatua kero za wananchi. Amesema CCM haiwezi kuwa chama cha vikao visivyo na tija, akisisitiza kuwa viongozi wanapaswa kutoka ofisini na…

    Continue Reading

  • UMEME ULIOCHOCHEA UCHUMI – HabariLeo

    UMEME ULIOCHOCHEA UCHUMI – HabariLeo

    Miaka mitano iliyopita, haikuwa jambo la ajabu kutembea katika mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam na kusikia ngurumo za jenereta karibu kila kona. Maduka ya jumla, maghala, karakana, viwanda vidogo na hata ofisi nyingi zilikuwa na jenereta kama sehemu ya kawaida ya shughuli za kila siku. Kukatika kwa umeme kulimaanisha uzalishaji kusimama, biashara kuchelewa…

    Continue Reading

  • Mvutano wa wahamiaji Afrika Kusini washika kasi, Juni 30 ikikaribia

    Mvutano wa wahamiaji Afrika Kusini washika kasi, Juni 30 ikikaribia

    Dar es Salaam. Mvutano kuhusu raia wageni nchini Afrika Kusini umeingia katika hatua mpya huku maandamano ya kupinga wahamiaji yakizidi kushika kasi, hali iliyozua hofu miongoni mwa maelfu ya raia wa mataifa mengine ya Afrika wanaoishi nchini humo na kuibua misimamo mikali kutoka serikalini, makundi ya kiraia, viongozi wa dini na sekta ya biashara. Kwa…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports