Author: admin

  • Mvutano wa wahamiaji Afrika Kusini washika kasi, Juni 30 ikikaribia

    Mvutano wa wahamiaji Afrika Kusini washika kasi, Juni 30 ikikaribia

    Dar es Salaam. Mvutano kuhusu raia wageni nchini Afrika Kusini umeingia katika hatua mpya huku maandamano ya kupinga wahamiaji yakizidi kushika kasi, hali iliyozua hofu miongoni mwa maelfu ya raia wa mataifa mengine ya Afrika wanaoishi nchini humo na kuibua misimamo mikali kutoka serikalini, makundi ya kiraia, viongozi wa dini na sekta ya biashara. Kwa…

    Continue Reading

  • Wenza wanavyoshirikiana asilimia 30 ya bakteria wa tumboni

    Wenza wanavyoshirikiana asilimia 30 ya bakteria wa tumboni

    Dar es Salaam.​ Utafiti mpya umebaini kuwa watu wanaoishi pamoja kama wanandoa au wapenzi hushirikiana kiasi kikubwa cha vimelea vya asili mwilini mwao (microbiome), hususan bakteria wa tumboni.  Kwa mujibu wa wataalamu, wapenzi hushirikiana takriban asilimia 30 ya bakteria wa mfumo wa chakula, jambo ambalo lina athari za moja kwa moja kwa afya zao kwa…

    Continue Reading

  • CTI YAFURAHIA MAPENDEKEZO YAKE 51 KUCHUKULIWA NA SERIKALI BAJETI KUU – Habari Mpya

    CTI YAFURAHIA MAPENDEKEZO YAKE 51 KUCHUKULIWA NA SERIKALI BAJETI KUU – Habari Mpya

    Na Mwandishi Wetu SHIRIKISHO la Wenye Viwanda Nchini (CTI), limepongeza Bajeti Kuu ya mwaka 2026/2027 ikisema kuwa kama itatekelezwa vizuri itasaidia kulinda na kustawisha viwanda vya ndani . Shirikisho hilo limesema serikali imechukua asilimia 50 ya mapendekezo ya wenye viwanda na kuyaweka kwenye bajeti kwani kati ya mapendekezo 110 waliyoyawasilisha, 51 yamechukuliwa. Hayo yalisemwa jana…

    Continue Reading

  • Ifahamu programu mpya kupima masikio kupitia kishkwambi

    Ifahamu programu mpya kupima masikio kupitia kishkwambi

    Dar es Salaam. Shirika la Afya Duniani (WHO) limezindua programu mpya ijulikanayo kama WHOears, inayolenga kurahisisha upimaji wa usikivu wa masikio kupitia kishkwambi (tablets), hatua inayotarajiwa kusaidia kubaini mapema matatizo ya kusikia kwa mamilioni ya watu duniani. Programu hiyo, ambayo inapatikana bila malipo katika mifumo ya Android na iOS, imeundwa kutumiwa na wahudumu wa afya…

    Continue Reading

  • Kasoro za kiutaratibu zamfungulia njia koplo aliyefukuzwa kazi

    Kasoro za kiutaratibu zamfungulia njia koplo aliyefukuzwa kazi

    Arusha. Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Morogoro, imemruhusu aliyekuwa Koplo wa Jeshi la Polisi, Said Pazzi kuwasilisha maombi ya mapitio ya mahakama nje ya muda, ili kupinga kufukuzwa kwake kazini kufuatia hukumu ya mahakama ya kijeshi iliyomuhusisha na tuhuma za rushwa. Uamuzi huo umetolewa Juni 12, 2026 na Jaji Stephen Magoiga, katika shauri…

    Continue Reading

  • Shabiby: Mfumo wa leseni za bodaboda upitiwe upya.

    Shabiby: Mfumo wa leseni za bodaboda upitiwe upya.

    MBUNGE wa Gairo, Ahmed Shabiby, ameutaka Serikali kupitia upya mfumo wa utoaji wa leseni kwa waendesha bodaboda, akieleza kuwa gharama za mafunzo na upatikanaji wa leseni ni kubwa na zinawaathiri vijana wengi wanaotegemea sekta hiyo kujipatia kipato. Akichangia mjadala wa Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2025, Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa 2026/27…

    Continue Reading

  • Chadema kujibu madai kesi ya rasilimali Julai Mosi

    Chadema kujibu madai kesi ya rasilimali Julai Mosi

    Dar es Salaam. Mchakato wa usikilizwaji wa kesi ya madai ya mgogoro wa mgawanyo wa rasilimali usio sawa ndani ya  Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kati ya Tanzania Bara na Zanzibar umeanza baada ya kesi hiyo kutajwa kwa mara ya kwanza leo Jumatatu, Juni 15, 2026. Kesi hiyo ya madai namba 13832 ya mwaka…

    Continue Reading

  • Uingereza kupiga marufuku watoto kutumia mitandao ya kijamii

    Uingereza kupiga marufuku watoto kutumia mitandao ya kijamii

    London. Serikali ya Uingereza imetangaza kuwa watoto wote wenye umri wa chini ya miaka 16 hawataruhusiwa kutumia mitandao ya kijamii kuanzia mwaka 2027, katika hatua inayolenga kuimarisha usalama wa watoto mtandaoni. Akizungumza katika taarifa maalumu iliyorushwa moja kwa moja kwenye televisheni asubuhi ya leo Jumatatu, Juni 15, 2026, Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, amesema…

    Continue Reading

  • JKT mambo safi matumizi nishati safi

    JKT mambo safi matumizi nishati safi

    KATIKA kuunga mkono juhudi za Serikali za kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia na kuhifadhi mazingira, Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limeachana na matumizi ya kuni na mkaa katika kuandaa chakula kwa vijana waliopo katika makambi yake nchini. Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Rajabu Mabele, amesema hatua hiyo ni sehemu ya utekelezaji wa maelekezo…

    Continue Reading

  • Safari ya Tanzania Kuelekea Uchumi wa Kidijitali

    Safari ya Tanzania Kuelekea Uchumi wa Kidijitali

    Kutoka minara ya mawasiliano na Mkongo wa Taifa hadi ajira za mtandaoni, biashara za kidijitali na ubunifu wa vijana, Tanzania inaingia katika enzi mpya ambapo internet si tena chombo cha mawasiliano pekee bali injini ya uchumi, ungana na Sylivestre Domasa kwenye makala haya: Kila asubuhi, Baraka Mafole huwasha kompyuta yake na kuanza kazi na wateja…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports