Author: admin

  • Kasoro za kiutaratibu zamfungulia njia koplo aliyefukuzwa kazi

    Kasoro za kiutaratibu zamfungulia njia koplo aliyefukuzwa kazi

    Arusha. Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Morogoro, imemruhusu aliyekuwa Koplo wa Jeshi la Polisi, Said Pazzi kuwasilisha maombi ya mapitio ya mahakama nje ya muda, ili kupinga kufukuzwa kwake kazini kufuatia hukumu ya mahakama ya kijeshi iliyomuhusisha na tuhuma za rushwa. Uamuzi huo umetolewa Juni 12, 2026 na Jaji Stephen Magoiga, katika shauri…

    Continue Reading

  • Shabiby: Mfumo wa leseni za bodaboda upitiwe upya.

    Shabiby: Mfumo wa leseni za bodaboda upitiwe upya.

    MBUNGE wa Gairo, Ahmed Shabiby, ameutaka Serikali kupitia upya mfumo wa utoaji wa leseni kwa waendesha bodaboda, akieleza kuwa gharama za mafunzo na upatikanaji wa leseni ni kubwa na zinawaathiri vijana wengi wanaotegemea sekta hiyo kujipatia kipato. Akichangia mjadala wa Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2025, Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa 2026/27…

    Continue Reading

  • Chadema kujibu madai kesi ya rasilimali Julai Mosi

    Chadema kujibu madai kesi ya rasilimali Julai Mosi

    Dar es Salaam. Mchakato wa usikilizwaji wa kesi ya madai ya mgogoro wa mgawanyo wa rasilimali usio sawa ndani ya  Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kati ya Tanzania Bara na Zanzibar umeanza baada ya kesi hiyo kutajwa kwa mara ya kwanza leo Jumatatu, Juni 15, 2026. Kesi hiyo ya madai namba 13832 ya mwaka…

    Continue Reading

  • Uingereza kupiga marufuku watoto kutumia mitandao ya kijamii

    Uingereza kupiga marufuku watoto kutumia mitandao ya kijamii

    London. Serikali ya Uingereza imetangaza kuwa watoto wote wenye umri wa chini ya miaka 16 hawataruhusiwa kutumia mitandao ya kijamii kuanzia mwaka 2027, katika hatua inayolenga kuimarisha usalama wa watoto mtandaoni. Akizungumza katika taarifa maalumu iliyorushwa moja kwa moja kwenye televisheni asubuhi ya leo Jumatatu, Juni 15, 2026, Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, amesema…

    Continue Reading

  • JKT mambo safi matumizi nishati safi

    JKT mambo safi matumizi nishati safi

    KATIKA kuunga mkono juhudi za Serikali za kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia na kuhifadhi mazingira, Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limeachana na matumizi ya kuni na mkaa katika kuandaa chakula kwa vijana waliopo katika makambi yake nchini. Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Rajabu Mabele, amesema hatua hiyo ni sehemu ya utekelezaji wa maelekezo…

    Continue Reading

  • Safari ya Tanzania Kuelekea Uchumi wa Kidijitali

    Safari ya Tanzania Kuelekea Uchumi wa Kidijitali

    Kutoka minara ya mawasiliano na Mkongo wa Taifa hadi ajira za mtandaoni, biashara za kidijitali na ubunifu wa vijana, Tanzania inaingia katika enzi mpya ambapo internet si tena chombo cha mawasiliano pekee bali injini ya uchumi, ungana na Sylivestre Domasa kwenye makala haya: Kila asubuhi, Baraka Mafole huwasha kompyuta yake na kuanza kazi na wateja…

    Continue Reading

  • Sh296 milioni kupunguza kero ya maji Rombo

    Sh296 milioni kupunguza kero ya maji Rombo

    Rombo. Mamia ya wananchi wa vijiji vya Mrao, Momwe na Kiraeni katika Kata ya Mrao Keryo, Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, wataondokana na changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa maji safi na salama baada ya Serikali kukamilisha mradi wa chanzo cha maji kutoka Mto Ungwasi. Mradi huo uliogharimu zaidi ya Sh296 milioni, unatarajiwa kuzalisha…

    Continue Reading

  • Wagonjwa wa moyo kupata majibu ndani ya dakika tano JKCI

    Wagonjwa wa moyo kupata majibu ndani ya dakika tano JKCI

    Dar es Salaam. Ile hali ya kutumia dakika 30 kusubiri majibu ya vipimo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) inabaki historia, baada ya taasisi hiyo kusimika mtambo wa Akili Unde (AI) utakaotoa majibu ndani ya dakika tatu. Kwa mujibu wa JKCI, mtambo huo wa AI una uwezo wa kuchakata sampuli 4,000 za wagonjwa…

    Continue Reading

  • Sh Bil 200 na safari ya kutafuta Ajira, mitaji vijana mil.20

    Sh Bil 200 na safari ya kutafuta Ajira, mitaji vijana mil.20

    SAA 12 alfajiri, wakati sehemu kubwa ya Jiji la Dar es Salaam bado ipo usingizini, Benedicto Makwisa tayari ameshaanza kazi. Pembeni mwa Daraja la Tanzanite, anapanga madafu yake kwa ustadi huku akisubiri wateja wa kwanza wa siku. Dakika chache baadaye, mamia ya wakazi wa jiji wanaanza kuwasili kwa ajili ya mazoezi. Wengine wanakimbia. Wengine wanatembea.…

    Continue Reading

  • AI kutoa majibu kwa dakika tano JKCI

    AI kutoa majibu kwa dakika tano JKCI

    Dar es Salaam. Ile hali ya kutumia dakika 30 kusubiri majibu ya vipimo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) inabaki historia, baada ya taasisi hiyo kusimika mtambo wa Akili Unde (AI) utakaotoa majibu ndani ya dakika tatu. Kwa mujibu wa JKCI, mtambo huo wa AI una uwezo wa kuchakata sampuli 4,000 za wagonjwa…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports