Category: Habari
-

Msajili atoa kauli sakata la mamilioni ya ruzuku Chadema
Dar es Salaam. Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikidai kuzuiwa ruzuku yake ya Sh500 milioni, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekitaka chama hicho kiache kulalamika, kisubiri taratibu. Ofisi hiyo imefafanua kuwa mchakato wa kushughulikia fedha hizo unaendelea kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa, baada ya chama hicho kuwasilisha barua ya kuomba fedha…
-

Rais wa Namibia kufanya ziara ya kitaifa Tanzania
Dar es Salaam. Rais wa Namibia, Dk Netumbo Nandi-Ndaitwah, anatarajiwa kuwasili nchini Tanzania kesho Ijumaa, Juni 19, 2026, kwa ziara ya kitaifa yenye lengo la kuimarisha uhusiano wa kihistoria na ushirikiano kati ya mataifa hayo mawili. Ziara hiyo itakuwa ya pili kwa Rais Nandi-Ndaitwah kutembelea Tanzania tangu alipoingia madarakani Desemba 2024 hatua inayotajwa kuendelea kuimarisha…
-

SAFARI YA NETUMBO NA URAFIKI WA TANZANIA NA NAMIBIA – Habari Mpya
Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah akisalimiana na Bi. Salama Salehe Ghulum (Mama Salehe) na Bi. Rafran Ismail Khan ambao walikuwa majirani zake wakati akiishi Magomeni Mikumi Jijini Dar es Salaam katika miaka ya 1980s. Mhe. Rais Dkt. Nandi-Ndaitwah alikutana na jirani yake huyo wa siku nyingi katika hafla ya chakula cha…
-

Safari ya uzazi wa watoto wengi na nafasi ya Tanzania
Dar es Salaam. Furaha, mshangao na matumaini vilitawala katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Juni 13, 2026, wakati Victoria Mkwizu, mkazi wa Tabata jijini Dar es Salaam, alipojifungua watoto watano kwa njia ya kawaida. Ni tukio ambalo si tu limeandika historia mpya kwa familia hiyo, bali pia limeiweka Tanzania kwenye ramani ya matukio adimu ya…
-

SERIKALI YAIMARISHA USIMAMIZI WA MIRADI YA UMWAGILIAJI ILI KUONGEZA UWAJIBIKAJI, UFANISI NA THAMANI YA FEDHA – Habari Mpya
Nirc: Dodoma Serikali imeendelea kusisitiza uwajibikaji, ufanisi na thamani ya fedha katika utekelezaji wa miradi ya Umwagiliaji na kuimarisha usimamizi wa miradi kwa mfumo wa Washauri Elekezi. Akizungumza jijini Dodoma, wakati wa kufunga kikao kazi Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Mweli amesema Serikali imewekeza kwa kiwango kikubwa katika sekta ya Umwagiliaji ,…
-

Takwimu rasmi kuchochea uchumi, Ridhiwani ataka uwajibikaji
Dodoma. Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema takwimu rasmi ndiyo nguzo katika uchumi wa Taifa na kusaidia msukumo wa tathimini ya utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa NBS, Daniel Masolwa, wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja…
-

RAIS WA NAMIBIA KUFANYA ZIARA YA KITAIFA NCHINI – Habari Mpya
Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mheshimiwa Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, anatarajiwa kuwasili nchini tarehe 19 Juni, 2026 kwa ziara ya kitaifa. Ziara hiyo, ambayo ni ya pili kuifanya nchini Tanzania tangu aingie madarakani, inaendelea kudhihirisha uhusiano wa kindugu na wa kihistoria kati ya Tanzania na Namibia, uliojengwa katika misingi ya harakati za ukombozi wa Afrika, mshikamano…
-

Mambo yanayokwamisha vita dhidi ya ukatili wa kijinsia haya hapa
Dar es Salaam. Mila na desturi kandamizi, hofu ya kutoa taarifa, elimu kuhusu ukatili na uratibu duni wa huduma kwa manusura katika baadhi ya maeneo unatajwa kuwa miongoni mwa vikwazo vinavyochelewesha juhudi za kukomesha ukatili wa kijinsia nchini. Hayo yamebainishwa leo Alhamisi, Juni 18,2026 na Mkurugenzi wa Elimu kwa Umma na Ufuatiliaji wa Haki za…
-

WAZIRI MKUU DKT. NCHEMBA AMTEMBELEA WAZIRI MKUU MSTAAFU JOHN MALECELA DODOMA
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akiwa ameambatana na Mwenza wake Bi. Neema Nchemba, wamemtembelea na kumjulia hali Waziri Mkuu mstaafu, John Malecela nyumbani kwake jijini Dodoma leo tarehe 18 Juni, 2026.
-

Mambo yaliyotikisa mkutano wa G7, Trump na Ruto ndani
Dar es Salaam. Viongozi wa nchi saba zenye uchumi mkubwa duniani (G7) wamehitimisha mkutano wao wa siku tatu nchini Ufaransa kwa kuahidi kuendelea kuiunga mkono Ukraine, kuhimiza amani Mashariki ya Kati na kuweka msisitizo katika matumizi salama ya teknolojia ya Akili Unde (AI). Mkutano huo wa 52 uliofanyika katika mji wa Évian-les-Bains nchini Ufaransa kuanzia…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed













