Category: Habari
-

OFISI YA WAZIRI MKUU YATHIBITISHA NYENZO MUHIMU ZA KUIMARISHA USIMAMIZI WA MAAFA NCHINI – Habari Mpya
Na Mwandishi Wetu, Dodoma SERIKALI imeendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuimarisha mifumo ya usimamizi wa maafa nchini ili kuongeza uwezo wa kuzuia, kujiandaa, kukabiliana na kurejesha hali baada ya maafa, kufuatia kuongezeka kwa matukio yanayochochewa na mabadiliko ya tabianchi pamoja na vihatarishi vingine vya asili na kijamii. Hayo yameelezwa leo Juni 18, 2026 jijini Dodoma…
-

Kamati ya Seneti ya Marekani yapitisha muswada wa kupitia upya uhusiano na Tanzania
Dar es Salaam. Kamati ya Uhusiano wa Kigeni ya Seneti ya Marekani imepitisha jumla ya hoja 24 vya muswada wa sheria unaolenga kuimarisha usalama wa taifa la Marekani, kulinda masilahi yake duniani na kupitia upya uhusiano ya nchi hiyo na mataifa washirika duniani, ikiwemo Tanzania. Hatua hiyo imebainishwa katika taarifa ya pamoja iliyotolewa Jumatano, Juni…
-
YANGA YAITOA SIMBA KILELENI LIGI KUU TANZANIA BARA – Habari Mpya
Mabigwa Watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC imerejesha kileleni mwa Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fountain Gate katika mchezo uliochezwa leo Juni 18, 2026 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. Mabao ya haraka yaliyofungwa na kiungo Pacome Zouzoua dakika ya 52 na mshambuliaji Laurindo…
-

Bajeti Kuu ya Zanzibar ya Sh8 trilioni yapita
Unguja. Bajeti Kuu ya Serikali Zanzibar imepitishwa, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Juma Malik akisisitiza Serikali kuendelea kukopa lakini deni hilo italilipa yenyewe na sio mwananchi kama inavyoelezwa. Bajeti ya Serikali iliyopitishwa leo Juni 18, 2026 na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi ni Sh8 trilioni huku deni la Taifa likifikia Sh3 trilioni. Hata hivyo,…
-

AWAMU YA NNE YA TUZO ZA WATAFITI YAFUNGULIWA, BILIONI 1.5 ZIMETENGWA – Habari Mpya
Na. Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefungua rasmi dirisha la Awamu ya Nne ya Tuzo kwa watafiti na wahadhiri wanaochapisha matokeo ya tafiti katika majarida yenye hadhi ya juu kimataifa.Akizungumza na waandishi wa habari Juni 18, 2026 jijini Dodoma, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda…
-

75 wakamatwa Tanga katika operesheni maalumu za Polisi
Tanga. Watu 75 wamekamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga kufuatia msako maalumu uliofanyika katika maeneo mbalimbali, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha usalama wa raia na mali zao. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi, amesema kukamatwa kwa watuhumiwa hao kumetokana na operesheni zilizoendeshwa kuanzia Mei hadi Juni…
-
WAZIRI KIJAJI AZINDUA MATOKEO YA SENSA YA KITAIFA YA WANYAMAPORI JIJINI ARUSHA – Habari Mpya
Na Happy Lazaro, Arusha Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Ashatu Kijaji, ameitaka Wizara ya Maliasili na Utalii, Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) pamoja na wadau wa uhifadhi kutumia matokeo ya Sensa ya Kitaifa ya Wanyamapori kufanya tathmini ya kina kuhusu hali ya swala twiga ili kubaini sababu za kupungua kwa idadi ya…
-

Mawakili walivyochuana mahakamani kesi ya ubunge wa Baba Levo
Kigoma. Wakili wa walalamikaji katika kesi ya uchaguzi wa Jimbo la Kigoma Mjini, John Seka ameieleza Mahakama kuwa, walalamikaji wameshindwa kuwasilisha kwa wakati maelezo ya mashahidi wao kutokana na kupewa muda mfupi. Wakili Seka amebainisha hayo leo Juni 18, 2026, wakati wa usikilizwaji wa maombi madogo ya nyongeza ya muda wa kuwasilisha maelezo hayo yaliyowasilishwa…
-

VYOMBO VYA HABARI VILINDE MASLAHI YA WATOTO KATIKA UTOAJI WA TAARIFA – Habari Mpya
Na John Bukuku, Dar es Salaam Waandishi, watangazaji na waandaji wa vipindi vya watoto wametakiwa kuzingatia maadili na kanuni za kitaaluma katika kuripoti masuala ya watoto ili kulinda usalama, haki na ustawi wao. Akizungumza wakati wa kuwasilisha mada katika mafunzo ya siku mbili kwa waandaji na watangazaji wa vipindi vya watoto kuhusu malezi yaliyofanyika…
-

HADI SASA TANZANIA HAINA MGONJWA WA EBOLA – Habari Mpya
Na. Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Dodoma Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amesema kuwa hadi sasa Tanzania haina mgonjwa wa Ebola na hali ya usalama wa afya nchini inaendelea kuwa nzuri licha ya tishio la ugonjwa huo katika nchi jirani za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Uganda. Akizungumza na waandishi Juni 17,2026 Jijini Dodoma…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed













