Category: Habari

  • UTEKELEZAJI WA SERA YA TAIFA YA USIMAMIZI WA MNYORORO WA UGAVI 2025, KUINUA UCHUMI. – Habari Mpya

    Afisa Mwandamizi wa Idara ya Usimamizi wa Sera za Ununuzi wa Umma, Wizara ya Fedha, Bi. Anne Swila, akitoa elimu kwa wananchi kuhusu Sera ya Taifa ya Usimamizi wa Mnyororo wa Ugavi ya Mwaka 2025, walipotembelea Banda la Maonesho la Wizara ya Fedha, katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2026, yenye Kaulimbiu ya…

    Continue Reading

  • G7 waahidi kuimarisha mapambano dhidi ya saratani duniani

    G7 waahidi kuimarisha mapambano dhidi ya saratani duniani

    Dar es Salaam. Viongozi wa mataifa saba yenye uchumi mkubwa duniani (G7) wameahidi kuongeza juhudi za pamoja katika mapambano dhidi ya saratani, ugonjwa unaosababisha vifo vya karibu watu milioni 10 kila mwaka duniani. Tamko hilo limeungwa mkono na nchi washirika za G7 ambazo ni Brazil, Misri, India, Kenya na Jamhuri ya Korea Kusini, zikisisitiza umuhimu…

    Continue Reading

  • SERIKALI YATENGA FEDHA KUENDELEA KUIMARISHA HUDUMA ZA AFYA YA UZAZI, UZAZI WA MPANGO – Habari Mpya

    SERIKALI YATENGA FEDHA KUENDELEA KUIMARISHA HUDUMA ZA AFYA YA UZAZI, UZAZI WA MPANGO – Habari Mpya

    Na Hassan Kimweri, WAF – Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga fedha za kununua bidhaa za afya ikiwemo afya ya uzazi, mama na mtoto pamoja na uzazi wa mpango na kugharamia mafunzo kwa watumishi wa afya ili kuhakikisha huduma hizo zinaendelea kutolewa kwa ufanisi baada ya kumalizika kwa mradi wa afya ya uzazi na…

    Continue Reading

  • Aliyekuwa mfanyakazi wa REA akwaa kisiki mahakamani

    Aliyekuwa mfanyakazi wa REA akwaa kisiki mahakamani

    Arusha. Aliyekuwa mtumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Prosper Msellem amekwaa kisiki katika Mahakama ya Rufaa, baada ya mahakama hiyo kutupilia mbali rufaa yake na kuthibitisha uamuzi wa Mahakama Kuu uliokataa kumuongezea muda wa kufungua maombi ya mapitio ya mahakama kupinga kufukuzwa kwake kazi. Katika hukumu iliyotolewa Juni 16, 2026 na jopo la majaji…

    Continue Reading

  • SERIKALI YAIMARISHA USIMAMIZI WA MIKOPO YA WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO – Habari Mpya

    SERIKALI YAIMARISHA USIMAMIZI WA MIKOPO YA WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO – Habari Mpya

    Na Jackline Minja, WMJWM- Dodoma Serikali imeendelea kuimarisha mfumo wa usimamizi wa mikopo yenye masharti nafuu inayotolewa kwa wafanyabiashara ndogondogo ili kuhakikisha fedha hizo zinawanufaisha walengwa na kudhibiti upotevu wa fedha za umma. Kauli hiyo imetolewa Juni 18, 2026 bungeni na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mhandisi Maryprisca…

    Continue Reading

  • CCM yatoa neno mradi wa umwagiliaji Mgambalenga

    CCM yatoa neno mradi wa umwagiliaji Mgambalenga

    IRINGA: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi amegiza kusiwe na pngezeko la muda wa kutekeleza mradi wa Umwagiliaji wa Mgambalenga ili wakulima waanze kunufaika nao. Kihongosi ametoa agizo hilo leo Juni 18,2026 alipotembelea na kukagua utekelezaji w amradi huo unaojengwa katika Kijiji cha Mtandika, Kata ya Ruaha…

    Continue Reading

  • Serikali yahimiza tahadhari ya Ebola, yasema Tanzania ni salama

    Serikali yahimiza tahadhari ya Ebola, yasema Tanzania ni salama

    DODOMA; Wizara ya Afya imehimiza Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Ebola huku ikisisitiza kuwa bado Tanzania ni salama na wageni kutoka mataifa mengine waje bila hofu. Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa alibainisha hayo jijini Dodoma alipotoa taarifa kwa kikosi kazi cha wanahabari kuhusu mwenendo wa tishio la ugonjwa wa Ebola na hatua…

    Continue Reading

  • Kihongosi awataka wananchi kuwaunga mkono viongozi

    Kihongosi awataka wananchi kuwaunga mkono viongozi

    IRINGA: Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapunduzi (CCM), Kenani Kihongosi amewataka wananchi wa Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa kuendelea kushirikiana na kuwaunga mkono viongozi wao ili kuharakisha maendeleo ya eneo hilo. Kihongosi amesema hayo leo Juni 18,2026 aliposhiriki kikao cha shina namba 10 Kata ya Ruaha Mbuyuni, Kilolo…

    Continue Reading

  • Pengo kukosekana sheria ya bajeti Zanzibar latajwa

    Pengo kukosekana sheria ya bajeti Zanzibar latajwa

    Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekiri kuwapo pengo la kutokuwepo kwa sheria mahususi ya bajeti kwa muda mrefu inayoongoza usimamizi wa mzunguko mzima wa bajeti. Pamoja na mambo mengine, sheria hiyo ingetambua na kutaja majukumu na mipaka ya wahusika mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kamati ya bajeti ya Baraza la Wawakilishi na wadau wengine.…

    Continue Reading

  • Mawakili waanza kuchuana kesi ya ubunge wa Baba Levo

    Mawakili waanza kuchuana kesi ya ubunge wa Baba Levo

    Kigoma. Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Kigoma imeanza kusikiliza maombi ya nyongeza ya muda wa kuwasilisha maelezo ya mashahidi wa walalamikaji katika kesi ya uchaguzi wa Jimbo la Kigoma Mjini. Kesi hiyo imefunguliwa na wananchi wanne, Johary Kabourou, Loum Mwitu, Pendo Kombolela na Luma Akilimali dhidi ya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kigoma Mjini, mbunge…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports