Category: Habari

  • WAZIRI MKUU AAGIZA USIMAMIZI MZURI WA MITAMBO YA UCHIMBAJI VISIMA – Habari Mpya

    WAZIRI MKUU AAGIZA USIMAMIZI MZURI WA MITAMBO YA UCHIMBAJI VISIMA – Habari Mpya

    *Awataka watendaji kuacha mazoea katika utekelezaji wa majukumu. WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka watendaji wa Wizara ya Maji pamoja na Wakuu wa Mikoa wasimamie vizuri mitambo ya uchimbaji visima ili iweze kufanya kazi iliyokusudiwa. Amesema Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alinunua mitambo ya uchimbaji wa visima hivyo watendaji wachukue hatua na waache kufanya…

    Continue Reading

  • Uzalishaji viazi mviringo wapaisha mapato ya Halmashauri Rungwe

    Uzalishaji viazi mviringo wapaisha mapato ya Halmashauri Rungwe

    Mbeya. Uzalishaji wa zao la viazi mviringo katika Wilaya ya Rungwe umeendelea kuimarika, ukipanda kutoka tani 507,211 hadi tani 618,278.6 ndani ya miaka mitatu, ongezeko linalotokana na kupanuka kwa maeneo ya kilimo na matumizi ya teknolojia za kisasa. Akizungumza leo Juni 18, 2026, Ofisa Kilimo, Mifugo na Uvuvi wa Wilaya ya Rungwe, Adam Nkhangaa, amesema…

    Continue Reading

  • Wananchi 850+ Katavi wapatiwa matibabu bure

    Wananchi 850+ Katavi wapatiwa matibabu bure

    KATAVI: Zaidi ya wananchi 850 waliokuwa wakisumbuliwa na maradhi mbalimbali wamepatiwa huduma za matibabu na uchunguzi wa afya bila malipo kupitia kambi maalumu ya afya iliyoendeshwa na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Empower Society Build the Nation (ESBN) mkoani Katavi. Kambi hiyo ya siku saba imehitimishwa jana baada ya kutoa huduma mbalimbali za kibingwa ikiwemo…

    Continue Reading

  • MOI kuanzisha benki ya mifupa

    DAR ES SALAAM: TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inatarajia kuanzisha benki ya mifupa ambayo itakidhi mahitaji na kuwasaidia watu ambao wamepoteza mifupa kutokana na ajali au sababu zingine. Akizungumza jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 30 ya utoaji huduma za kibingwa na ubingwa bobezi, Mkurugenzi wa MOI,…

    Continue Reading

  • 20 wapoteza maisha wakizama kwenye madimbwi ya mchanga, kokoto

    20 wapoteza maisha wakizama kwenye madimbwi ya mchanga, kokoto

    Unguja. Watu 20 wamepoteza maisha kati ya mwaka 2008 na 2023, wengi wao wakiwa watoto, kutokana na maji ya mvua kutuwama kwenye machimbo yaliyoachwa bila kurekebishwa baada ya shughuli za uchimbaji wa maliasili zisizorejesheka. Taarifa hiyo imebainishwa katika Ripoti ya Athari za Kimazingira Zitokanazo na Uchimbaji wa Maliasili Zisizorejesheka ya mwaka 2023, iliyofanywa kwa ushirikiano…

    Continue Reading

  • Sangu: Tofauti za kisiasa zisikwamishe utekelezaji Dira ya Taifa 2050

    Sangu: Tofauti za kisiasa zisikwamishe utekelezaji Dira ya Taifa 2050

    Dar es Salaam. Serikali imevitaka vyama vya siasa nchini kuweka kando tofauti zao za kiitikadi na kuimarisha mazungumzo, ushirikiano na umoja wa kitaifa wakati Tanzania ikijiandaa kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kuanzia Julai 2026. Wito huo umetolewa jana Juni 17, 2026 mjini Morogoro na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi,…

    Continue Reading

  • Absa, wadau wajadili mwelekeo wa uchumi, masoko ya fedha nchini

    Absa, wadau wajadili mwelekeo wa uchumi, masoko ya fedha nchini

    Dar es Salaam. Benki Benki ya Absa Tanzania imewakutanisha wawekezaji wa taasisi na wadau mbalimbali wa sekta ya fedha nchini katika semina iliyojadili mwelekeo wa uchumi wa Tanzania, pamoja na mwenendo wa masoko ya fedha ya kikanda na kimataifa. Semina hiyo imelenga kutoa jukwaa la wadau kujadili masuala muhimu ya uchumi, kubadilishana uzoefu na kupata…

    Continue Reading

  • Mtaala mpya waibua hitaji la walimu kujifunza upya

    Mtaala mpya waibua hitaji la walimu kujifunza upya

    KAGERA: Walimu walioko kazini pamoja na vijana ambao hawakupata fursa ya kuendelea na elimu ya juu wametakiwa kutumia vyuo vinavyotoa elimu ya ujuzi kwa njia ya masafa ili kujiendeleza na kupata maarifa yatakayowasaidia kukabiliana na mabadiliko ya mfumo mpya wa elimu nchini. Wito huo umetolewa wakati wa mahafali ya nne ya wahitimu wa Chuo cha…

    Continue Reading

  • NILIVYOMTOA NDUGU YANGU KWENYE MTEGO WA DAWA ZA KULEVYA BAADA YA KUPATA NJIA SAHIHI KUMUOKOA – Habari Mpya

    Maisha yetu yalibadilika ghafla pale ndugu yangu alipoanza kubadilika tabia. Alikuwa mtu mchangamfu, mwenye ndoto na malengo, lakini polepole akaanza kujitenga, kupoteza mwelekeo, na hatimaye kuingia kwenye matumizi mabaya ya dawa za kulevya. Mwanzoni tulidhani ni hatua ya muda tu, lakini hali ilizidi kuwa mbaya. Alianza kupoteza heshima, afya yake ilidhoofika, na hata mawasiliano ndani…

    Continue Reading

  • Buriani Mzee Simama, mtunzi wimbo wa JWTZ, ‘ni mimi mwanajeshi’

    Buriani Mzee Simama, mtunzi wimbo wa JWTZ, ‘ni mimi mwanajeshi’

    Dar es Salaam. Safari ya mwisho ya askari mstaafu wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ), (WO II) Celestine Koromba Simama, imehitimishwa Juni 16, 2026 katika mazishi yaliyofanyika katikaa makaburi ya Toangoma, Kongowe jijini Dar es Salaam, akiacha alama katika sanaa ya muziki uliotumika jeshini. Askari huyo aliyestaafu mwaka 2014, alifariki dunia alfajiri…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports