Category: Habari

  • DKT. MWIGULU AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA BILIONI 29.6 ITIGI – Habari Mpya

    DKT. MWIGULU AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA BILIONI 29.6 ITIGI – Habari Mpya

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Jumapili Mei 31, 2026 amekagua ujenzi wa Barabara ya Noranga (Doroto)–Itigi (Mlongojii) yenye urefu wa kilomita 25 inayojengwa katika Halmashauri ya Itigi, Wilaya ya Manyoni mkoani Singida kwa gharama ya shilingi bilioni 29.6. Akipokea taarifa ya utekelezaji wa mradi huo kutoka kwa Mkurugenzi wa Miradi wa Wakala ya Barabara…

    Continue Reading

  • Mambo sita yanayonogesha uhusiano | Mwananchi

    Mambo sita yanayonogesha uhusiano | Mwananchi

    Dar es Salaam. Wengi wetu tunapitia changamoto nyingi katika ndoa au uhusiano wetu. Wapo ambao hawapendi hali wanazopitia lakini hawajui chanzo ni nini; wengine wanajua tatizo lilipo, lakini hawajui namna ya “kuchomoka,” jambo linaloongeza msongo wa mawazo. Ukweli ni kwamba kuna mambo ya msingi ambayo wengi hawayajui, na wale wanaoyajua mara nyingi hawayafanyii kazi, hivyo…

    Continue Reading

  • Ndoa si kikwazo cha maendeleo binafsi

    Ndoa si kikwazo cha maendeleo binafsi

    Dar es Salaam. Ndoa ni aina ya uhusiano wenye uzito mkubwa zaidi katika maisha ya mwanadamu. Ni ahadi ya kushirikiana maisha, hisia, mipango na changamoto. Hata hivyo, wataalamu wengi wa masuala ya ndoa wanakubaliana kwamba  ndoa haipaswi kumfanya mtu apoteze utambulisho au maendeleo binafsi ikiwamo umiliki wa mali. Mtaalamu mashuhuri wa masuala ya ndoa, Dk…

    Continue Reading

  • ‘Ndoa safari ya watu wanaojifunza kila siku’

    ‘Ndoa safari ya watu wanaojifunza kila siku’

    Dar es Salaam. Wengi huingia kwenye ndoa wakiwa na matarajio ya ukamilifu. Kuna wanaoamini kuwa siku ya harusi ni kilele cha furaha, na baada ya hapo maisha yatajiendesha yenyewe. Lakini ukweli wanaojifunza kwa haraka baada ya miezi au miaka michache ni kwamba ndoa si kitu kilichokamilika, bali ni safari ya watu wawili wanaojifunza kila siku.…

    Continue Reading

  • Kamati yaipongeza TRA utendaji kazi mzuri

    Kamati yaipongeza TRA utendaji kazi mzuri

    DAR ES SALAAM: KAMATI ya kudumu ya Bunge ya Bajeti imeipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa utendaji kazi ambao unaiwezesha kuvuka malengo ya makusanyo ya kodi waliyowekewa na Serikali kwa kila mwezi. Akizungumza wakati wa kikao baina ya wajumbe wa Kamati hiyo na Menejimenti ya TRA Mei 30, 2026 Dar es Salaam Mwenyekiti wa…

    Continue Reading

  • Ndoa siyo nyumba ya wageni bali nyumba ya wawili

    Ndoa siyo nyumba ya wageni bali nyumba ya wawili

    Canada. Kuna mazoea na mila za kimaskini na kinyonyaji hasa katika baadhi ya jamii linapokuja suala la ndoa.  Unakuta binti kaolewa jana, kesho yake, ndugu zake wanahamia kwake. Watu hata hawajajuana kitabia, ndugu wameishaanza kujisomba na kujijaza.  Ndoa siyo nyumba ya wageni au ustawi wa jamii. Japo si vibaya kuwakirimu na kuwatunza ndugu, wengine wanazidisha.…

    Continue Reading

  • Vijana washauriwa kusoma masomo ya sanaa

    Vijana washauriwa kusoma masomo ya sanaa

    DAR ES SALAAM: VIJANA wametakiwa kusoma masomo ya sanaa kwa kuwa ni  nyenzo muhimu katika kuitangaza nchi, pamoja na kutoa ajira na kuongeza mahusiano na utamaduni wa nchi nyingine. Hayo yamesemwa na Ofisa Uhusiano kwa Umma kutoka Kituo cha Utamaduni cha Iran, Amani Salum amesema kwa pamoja kati ya chuo Kikuu cha Dar es Salaam…

    Continue Reading

  • Wanaume waonywa kutelekeza watoto – HabariLeo

    Wanaume waonywa kutelekeza watoto – HabariLeo

    DODOMA: Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Uratibu na Watu Wenye Ulemavu, Ummy Nderiananga, amewataka wanaume nchini kuacha tabia ya kutelekeza watoto wenye ulemavu na kushiriki kikamilifu katika malezi yao. Amesisitiza kuwa serikali imeweka mifumo mbalimbali ya kuhakikisha watoto hao wanapata haki na huduma za msingi ili waweze kutimiza ndoto…

    Continue Reading

  • VYAMA VYA USHIRIKA MKOANI RUVUMA VYATAKIWA KUWEKEZA NA KUKOPA KWENYE BENKI YA USHIRIKA KWA AJILI YA KUPATA MITAJI ITAKAYOSAIDIA KUBORESHA UTENDAJI

    Meneja mahusiano wa Benki ya ushirika Tanzania kanda ya kusini Raphia Mgongolwa,akizungumza jana na watendaji wa vyama vya msingi vya ushirika(Amcos)na Chama kikuu cha ushirika wilaya ya Mbinga(Mbifacu)mkoani Ruvuma wakati wa mafunzo maalum ya kuwajengea uwezo viongozi hao namna ya uendeshaji wa vyama hivyo na matumizi ya mizani za Kidijitali mafunzo yaliyofanyika katika ukumbi wa…

    Continue Reading

  • Malisa: Safari ya demokrasia ya kweli bado ni ndefu

    Malisa: Safari ya demokrasia ya kweli bado ni ndefu

    Moshi. Mchungaji Godfrey Malisa amesema Tanzania bado ina safari ndefu kuifikia demokrasia ya kweli kutokana na kuwepo kwa makundi mawili ya watu wanaoitaka na wasioitaka, hali ambayo amesema ni tatizo kubwa linalolikabili Taifa. Kutokana na sintofahamu hiyo, amesema mazingira ya kisiasa yaliyopo sasa yakiendelea kubaki kama yalivyo, mgombea urais wa CCM ndiye atakayeendelea kushinda na…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports